msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Msaada waku

    Kijana wangu amechaguliwa kujiunga na kidatu cha tano tahasusi ya HGL Nimepewa orodha ya vitabu. Je vitabu gani yaniapasa kuvinunua kutoka katika orodha ambavyo atasoma navyo kidatu cha tano?
  2. JamiiForums Tanzania Msaada kwa mwenye operation system ya kali linux au Linux ya kwenye PC

    Habarini wakuu Naomba msaada wenu, nahitaji kupata OS ya Kali Linux au toleo lingine la Linux kwa ajili ya PC yangu. Ningependa nijifunze zaidi kuhusu cybersecurity na command line tools, lakini sijui ni wapi salama pa kudownload na jinsi ya kuiweka. Kama kuna anayejua sehemu salama ya...
  3. JamiiForums Tanzania Msaada nokia c31

    wakuu nina hii simu Nokia c31 niliiweka bila kuitumia muda kidogo sasa nimesahau password naomba msaada wenu mwenye kufahamu njia ya kufanya,ahsante.
  4. JamiiForums Tanzania Wana JF kwa heshima kubwa naomba msaada wenu

    Nimeanzisha channel WhatsApp nataka kuandika habari za matukio ya kisiasa kijamii na kiuchumi na. Kuandika historia mbali mbali hasa wale wapenzi wa siasa so naombeni mnifollow mdogo wenu kunisapoti Asanteni...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Msaada kwenye tuta

  6. A

    JamiiForums Tanzania Msaada, hofu imenitawala sana mpaka usingizi umekuwa wa tabu

    Habari zenu tafadhali husika na hiyo mada, hofu imenitawala sana kiasi ambacho hata usingizi wangu unakuwa wa tabu sana ikitokea nimeshtuka saa 7 usiku nahangaika sana kupata usingizi naomba kueleweshwa hili tatizo nafaa kwenda hospitali? NB: Nilimpoteza kaka yangu mwaka ulopita hivyo...
  7. JamiiForums Tanzania Wanaofanya kazi za stationery. usisubiri wateja wa ku-print tu, ongeza huduma mpya kwa msaada wa ChatGPT!

    Dunia ya kidijitali imerahisisha sana maisha. Siku hizi hauhitaji kuwa na ofisi kubwa au degree ili kutengeneza pesa. Ukiwa na simu tu na ChatGPT, unaweza kufanya kazi nyingi sana ambazo watu wanahitaji mtaani — na kulipwa. Hapa nitakuonyesha kwa lugha rahisi jinsi unavyoweza kutumia ChatGPT...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu kamaliza O LEVEL (FORM FOUR) ameniuliza afanyeje ? amepata DIV 2

    Mdogo wangu kamaliza O LEVEL (FORM FOUR) ameniuliza afanyeje ? amepata DIV 2 CHEMISTRY.... C BIOLOGY.....C GEOGRAPHY...D MATH.....F Naombeni msaada japo amechaguliwa form 5, je nimpeleke huko au nimpeleke chuo na chuo gani? naamini kupitia uzi huu watu wengi wataneemeka na kufarijika...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Tuombe msaada kutoka wapi?

    Hapa tulipofikia wenyewe hatuwezi. Tuombe msaada wapi? 1. Bunge si letu 2. Mahakama si yetu 3. Serikali si yetu
  10. JamiiForums Tanzania Tengeneza Incubator Yako kwa gharama (W1219 Digital Thermostat) – Step by Step na Msaada Bure!

    Habari wana Jamii Forums, Kama wewe ni mfugaji wa kuku au unapenda kujaribu idea mpya ili kukuza ufugaji wako kuwa wa kibiashara inayolipa, basi hii post ni kwa ajili yako. Leo nakushirikisha kuhusu kifaa kinachoitwa W1219 Digital Temperature Controller — ambacho kinasaidia sana kutengeneza...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu UTT , Treasury Bonds/Bills na Fixed deposit accounts

    Habari zenu wadau? Nilikua naomba maelezo kwa mifano halisi namna ya ku calculate hiyo mifuko , nikiwa na maana nikitaka kupata income ya kila mwezi kwa kiasi cha uwekezaji wa Milioni 100,000,000/= , natanguliza shukran.
  12. JamiiForums Tanzania Msaada wakuu....!!!

    Salamu wakuu, Straight to the point, naomba msaada wakuu gari yangu (automatic) ina changamoto ya kuwakia kwenye Gia. Yani gear lever inaweza kua kwenye D au R lakini ukipiga stata ngoma inawaka bila shida. Changamoto itakua ni nini? Nawasilisha
  13. JamiiForums Tanzania Secretarybird nahitaji ushauri nasaha, no reforms no election imenitia matatani

    Asalamaleku wakuu! Wakuu naombeni mnipe ushauri Kwa hili lililonitokea maana yaonekana nimejichanganya na masikitiko pamoja na majuto yamenijaa hadi pomoni. Kama mnavyojua sasa hivi Kuna vuguvugu la "no reforms no election" na mimi ni mmoja wa mtu ninayeunga mkono hii movement na katika...
  14. JamiiForums Tanzania Wananchi Jimbo la Mpendae Wanufaika na Msaada wa Sikukuu

    Mwakilishi wa Jimbo la Mpendae, Mhe. Shaaban Ali Othman kwa kushirikiana na Mbunge wa Jimbo la Mpendae, Mhe. Taufiq Turky pamoja na Madiwani wametoa sadaka ya sikukuu kwa wazee, watu wenye ulemavu na wanaoishi katika mazingira magumu ikiwa na lengo la kuwasaidia kipindi hiki cha sikukuu...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali - Kifungu cha 31(10) cha sheria ya kazi na mahusiano kazini kinanichanganya

    Kifungu cha Sheria ya Kazi na Mahusiano Kazini Sura 366, Toleo Rekebu 2019 kinasema hivi: - 31(10) The pro rata amount of annual leave referred to in subsection (8) shall be calculated at the rate of one day’s basic wage for every 13 days the employee worked or was entitled to work. Na kifungu...
  16. JamiiForums Tanzania Tutorial Assistant in Accounting - Msaada Mwenye uelewa na maswali yanavyoulizwa kwenye Written & Oral interview

    Msaada wakuu, mwenye uelewa wa maswali ya Interview ya Tutorial Assistant in Accounting Written na Oral huwa wanauliza nini naomba kujuzwa. Natanguliza Shukran 🙏
  17. JamiiForums Tanzania Msaada simu imetoa mistari

    Wakuu msaada ,simu aina ya samsung s21 imetoa mistari kwenye kioo
  18. JamiiForums Tanzania MSAADA

    Habari za wakati huu wakuu, kwa wakubwa zangu shikamooni na wadogo zangu mambo vipi. Baada ya miaka minne ya kukomaa shamba na kuambulia mabua, sasa naona ni muda muafaka wa mimi kujaribu bahati yangu kwenye gurudumu hili la utumishi kama wengine walivyojaribu. Nimekuja mbele yenu kuomba...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Wayahudi wana huruma sana wagawa msaada mkubwa sana wa dollar billion 281 kwa ndugu zao wa Gaza

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Times Israel. Advertisement ============ Serikali ya Israel imetuma mamia ya mamilioni ya shekeli kufadhili utaratibu mpya wa misaada ya kibinadamu katika Ukanda wa Gaza, kituo cha habari cha Kan kiliripoti Jumatano, kinyume na...
  20. JamiiForums Tanzania Ushauri na msaada

    Habari wana JF. niende straight kwenye mada. Nina kiwanja kina ukubwa wa sqmtr 405 maeneo ya mbezi beach goig upande wa juu. Ndani ya kiwanja kuna nyumba la zamani au niseme ni gofu sasa nilikua nataka kupaendeleza na pesa hiyo sina nafikiria niingie bank sababu ni sehemu ukipafanyia planning...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…