msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Msaada Mtanzania Anayeishi Namibia.

    Habari za wakati huu wanajukwaa? Naomba kupata mawasiliano ya Mtanzania anayeishi nchini Namibia,Kuna jambo la muhimu naomba kumshirikisha ili niweze kupata ushauri stahiki. Kama yupo yeyote hapa,tafadhali naomba tuwasiliane kwa Direct Message (DM). Naomba kuwakilisha.
  2. JamiiForums Tanzania Msaada kwenye tuta wakuu

    Tangu wife ajifungue ni miezi mitatu sasa, na ndio nimeanza kushiriki tendo la ndoa na mke wangu Vipi hapa, kutakuwa na shida yoyote kwenye swala kumbebenda mtoto?
  3. JamiiForums Tanzania Muwasho wa mwili unanitesa, msaada ndugu zangu

    Asubuhi nikiwa baharini kwenye shughuli zangu nilipatwa na kiwashi, ni kiwashi cha rangi ya njano ambacho hujificha kwenye mwani wa bahari. Nimeenda Duka la dawa nikapewa dawa aina tatu zote nimeanza kutumia mchana lakini hakuna hafadhali maumivu ndiyo yanazidi (hasa huu usiku) mwili unawasha...
  4. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu sikio kuwa na hali kama ya kujaa maji, nifanyaje kabla ya kwenda hospital?

    Nilipata maumivu ya jino yaliyopelekea sikio kuuma na kufika baadae nikapata kama presha katika sikio, ile hali kama kuna kitu sikioni au maji hivi. Ni siku mbili sasa jino limepona kelele zimepungua ila ear fullness ,bado ipo Dawa za matone zimedoda, kuna njia yoyote ya huduma ya kwanza...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wakuu wa idara za afya na vyombo vya ulinzi na usalama

    Kuna nafasi za ajira jeshi la Magereza zimetoka na nna mdogo wa kwa upande wa mama wa kambo anataka kuomba,lakini yeye ana changamoto ya kuishi na Virusi vya ukimwi. Je kwa mwenye uzoefu anijuze ; inawezakana akapata nafasi endapo vigezo vyote anavyo isipokua hapo kwenye suala la afya ambalo...
  6. JamiiForums Tanzania Nitazipata wapi pepeta (rice flakes) nchini? Nipo Mbeya

    Habari wanajamvi, naomba msaada wenu. Natafuta pepeta (rice flakes) kwa ajili ya matumizi ya biashara ya vyakula. Nipo Mbeya lakini niko tayari kuagiza hata kutoka nje ya mkoa kama kuna wauzaji wa jumla au rejareja. Naomba mnisaidie kujua ni wapi naweza kuzipata au hata kama kuna mtu anayeuza...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata passport

    Wapendwa naomba mnisaidie mawazo ya Nini nifanye ili niweze kupewa passport yangu,inazaidi ya mwezi sasa yangu niombe,na uhamiaji wanataka nipeleke barua kutoka kazini kwangu,Jambo ambalo ni gumu maana I'm jobless at the moment,na Nina ihitaji before 25 this month.
  8. D

    JamiiForums Tanzania MSAADA WA NDOA: Mke wangu anauza supu za mbuzi kwa Siri?

    Eti wakuu, mimi ni tandiboi wa Malori ya kwenda Congo na Malawi. Sasa baada ya kukaa nje ya Tanzania kwa miezi miwili, juzi nilirudi kusalimia mke wangu na mtoto mmoja. Kuna jamaa mmoja akatuma meseji katika simu ya mke wangu akamuuliza, "HIVI HUYO MBUZI BADO YUPO?" Sasa najiuliza, mke wangu...
  9. JamiiForums Tanzania Msaada wa kutuma maombi ya Mkopo HESLB

    Nimeenda kwenye stationary kwaajili ya kuomba mkopo bodi ya MIKOPO HESLB sasa tumeanza hatuaa wakanambia kuwa wamemaliza ... Sasa nimeingia kwenye akaunti yangu nimekuta pako kama Hivyo kwenye picha...hapo chini. Je hapo kweli wameshamaliza kuniombea mkopo? Au kuna hatua nyingine? Kama...
  10. JamiiForums Tanzania Msaada Wadau Wenye Uzoefu Wa Biashara Ya Dry Cleaner.

    Jamii pendwa habari zenu. Naomba ushauri juu ya hii biashara ya dry cleaner imekuwa kwenye kitabu changu cha kumbukumbu kwa muda mrefu. Naomba msaada wamawazo gharama zake hasa za mtaji wa vitu vinavyohitajika Naishi Tanga Mjini
  11. JamiiForums Tanzania MSAADA - ambaye ameshadeal na kuachwa na ndege / “no show” na Turkish airlines anisaidie

    Mdogo wangu amechanganya tarehe na muda akamiss flight yake. Tiketi yake inaonyesha kwamba kuna penalty ya $200 ya no show. 

 MASWALI: Je anaweza kuchange flight na kulipia hiyo $200 au how does it work? Au inabidi akate tiketi nyingine halafu aclaim refund? Kwa sasa akiingiza taarifa za...
  12. JamiiForums Tanzania Msaada kwenye tuta fadhari

    Wakuu naitaji msaada wa database au pdf ambayo ina majina ya kampuni za Tanzania na vitu inavyozalisha
  13. K

    JamiiForums Tanzania Habarini wapenzi. Naombeni msaada wa Mwanasheria wa Moshi mjini. Ni dharura sana naombeni msaada wa haraka.

    Natanguliza shukrani🙏🙏
  14. K

    JamiiForums Tanzania Naomba Msaada: Nyumba yetu inakaribia kuuzwa

    Habarini ndugu. Sisi tumezaliwa wa5 ke4 me1 na wote tuna miaka 40+ Baba yetu alifariki 89 aliacha mali chache ikiwemo nyumba iliyopo katikati ya mji, nyumba hiyo baba aliinunua ila aliandika jina la mama kwakuwa alishtakiwa kwa kesi ya uhujumu uchumi hivyo alifanya hivyo ili kuinusuru...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Msaada wa namna ya kufungua mfuniko huu!

    Wanajf ninaomba mnisaidie kwa anayejua,namna ya kufungua mfuniko huu wa chemba inayotoka chooni!Choo kimejaa maji nataka nizibue.
  16. JamiiForums Tanzania Wakuu Msaada kozi ya kusoma kwenye vyuo vya mzumbe na T.I.A kwa mwanafunzi aliyesoma comb ya HGL

    Jamani huyu ni last born kwenye familia yetu kapata division 2 ya kumi na moja,dogo anataka chuo asome mbeya na vyuo ambavyo ana vitamani ni mzumbe na T.I,A changomoto iliyopo ni kwamba dg o level alipata hesabu F na vyuo hivi kozi nyingi najua ni zile ambazo zinataka angalau hesabu uwe...
  17. JamiiForums Tanzania Wakuu Msaada kozi ya kusoma kwenye vyuo vya mzumbe na T.I.A kwa mwanafunzi aliyesoma comb ya HGL

    Jamani huyu ni last born kwenye familia yetu kapata division 2 ya kumi na moja,dogo anataka chuo asome mbeya na vyuo ambavyo ana vitamani ni mzumbe na T.I,A changomoto iliyopo ni kwamba dg o level alipata hesabu F na vyuo hivi kozi nyingi najua ni zile ambazo zinataka angalau hesabu uwe...
  18. JamiiForums Tanzania Binti ameugua ugonjwa ambao umeshindwa kutambulika

    Habari wana jamii. Nahitaji msaada wa ugonjwa ambao umempata binti ambaye ni mtoto wa rafiki yangu mwenye umri wa miaka 18. Binti huyu ameugua ugonjwa ambao umeshindwa kutambulika ni ugonjwa gani. Alianza kwa kuugua tu kawaida alipoenda kupima afya akagundulika ana U.T.I na malaria. Baada ya...
  19. JamiiForums Tanzania Msaada Ajira Portal NIOMBE IPI?

    Kwenye tangazo la kazi Serikalini, kuna nafasi 3 katika shirika moja, Marketing, customer service, sales, business development Kote huko nina vigezo vya kuomba, je ninaweza kuomba zote? Na nikiomba zote, ninaweza kutokea kwenye interview zote? Na je barua ya maombi IANDIKWE KWA MKONO AU...
  20. JamiiForums Tanzania Msaada wa hospital/Dermatologist Mbeya

    Habari, kama Kuna mtu anafahamu hospital nzuri Mbeya yenye wataalam wa magonjwa ya ngozi au kama unamfahamu dermatologist hapa Mbeya unisaidie kuniunganisha nae. Natanguliza shukrani
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…