msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania 🧐Magari ya Rais Samia: Msaada JamiiForums! Hizi Range Rover za Misafara Zina Sifa Gani Hasa?

    Ndugu Zangu Wanajukwaa! Mimi si mtaalamu wa magari kabisa, nimeona Range Rover hizi nyeusi, ndefu katika misafara ya Rais Samia Suluhu Hassan hasa baada ya kuapishwa kwake. Nimejaribu "ku-Google" (gugo huko!) na nimejifunza mambo machache. Ninaomba mnisaidie kufafanua kwa wale wenye ufahamu...
  2. JamiiForums Tanzania Huu mti unaitwaje kwa kiswahili. Msaada tafadhari

    Markhamia lutea
  3. JamiiForums Tanzania Msaada kwenye : Binam Nyama ya hamu mwisho ni miaka mingapi?

    Wajuvi na wanumbi naombeni maelekezo yenu. Uzi tayari
  4. JamiiForums Tanzania Atakaeyenda kupiga kura ajue amefuta utegemezi wake kwangu ndani ya miaka 5

    Kwa huzuni sana nimelazimika kuweka status kuwa mwanafamily yeyote ambae kwa namna moja ama nyingine kutokana na tamaduni zetu kiafrica wenye nafuu huzisaidia jamii zao mimi kwangu nimetoa angalizo kwa yeyote atakae kwenda kushiriki kupiga kura ajue nitasitisha msaada wangu kwao. Kwa watoto wao...
  5. JamiiForums Tanzania Tech guyz, Msaada wa kutoka kwenye hii Error message: 0x80070057

    Hii PC mwenyewe anasema ghafla tu ilizima. Nikiwasha inalizimisha kufanya Auto repair. Inakaa hivyo kwa zaidi ya masaa 12. Nimejaribu kureset, kufanya system restore, kufanya new installation of window. Inaleta Error message hii: 0x80070057
  6. I

    JamiiForums Tanzania Kama unaingiza kipato kipitia kazi za online, nakuomba nijifunze kutoka kwako

    habari wakuu poleni na mjukumu. Ndugu zangu naombeni msaada kwa wale mnao tumia MB kama chanzo cha mapato. Hapa namaanisha yani wewe ukisha kuwa na MB basi tayari tonge limesha enda kinywani. Naomba unifundishe nipo tayari kujifunza kuwekeza muda nguvu na akili kujifunza. naombeni msaada...
  7. JamiiForums Tanzania Msaada wa malipo kwa njia ya mtandao(Nimekatwa hela huduma sijapata na hela haijarudi)

    Habari wanajukwaa. Mnamo mwanzoni mwa September mwaka huu nilitengeneza kadi ya malipo ya mtandaoni(master card) kwa kutumia akaunti ya mix by yas. Kadi ile ilikuwa kwa ajili ya malipo ya ticket ya ndege kupitia kampuni ya uwakala ya ndege. Baada ya kutengeneza hiyo kadi nikafanya malipo, hela...
  8. JamiiForums Tanzania JWTZ tunaomba msaada wenu wa haraka

    Naomba mtusaidie, kwa leo tuu nimeona wamepotea watu wasiopungua watano, na ambao wanapotea bila taarifa hapo bado hatujajua. Hembu hili jambo fanyeni kweli, sio jambo la kisiasa tena hili nahisi KUNA BIASHARA YA VIUNGO VYA BINADAMU INAFANYIKA. JESHI LETU WAKATI NDIO HUU. Leo nimeona watoto...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Nyie watu wa JF nipe msaada, mbona mnakuwa wakorofi?

    Ni VPN gani naweza tumia kwenye desktop computer?
  10. JamiiForums Tanzania Msaada: Parking lot karibu na Ferry (Dar)

    Habari wakuu, Naomba kufahamishwa eneo salama na secure la maegesho ya magari karibu na ferry. Nahitaji kusafiri kwenda Zanzibar, niache gari kwa siku 3, nitachukua wakati wa kurudi ili kuepukana na adha ya usafiri. Asanteni.
  11. JamiiForums Tanzania Sometimes michepuko ni msaada sana wakuu

    Pamoja na kwamba tunaburudika na kuondoa stress za familia kwenye michepuko(nje ya ndoa) bado michepuko huwa ni msaada sana kwenye majanga au mahali ambapo unahitajika msaada wa haraka wake zetu/wanafamilia huwa ni wazito sana kufika kwa wakati. Kuna kipindi niliugua nikalazwa hospital ya mbali...
  12. JamiiForums Tanzania Msaada wa kisiasa

    Unapochagua kusuka, hakikisha unaujua vyema mtindo utakaosuka, vile vile na kunyoa, Nilipowapa ushauri wa nini Cha kufanya waliniona hamnazo, huku wakifikiri ni mjinga wao mmoja, Leo kinawatokea puani, ni rahisi sana, kitaalamu niwafunze tena, chuki inapojenga Imani, hakuna mwenye kushindana...
  13. JamiiForums Tanzania Msaada wa app ya mpira

    Kwenu wanajamvi. Naombeni msaada wa app ya mpira uefa nzuri. Nilizo nazo zinazingua.
  14. G

    JamiiForums Tanzania Copper Cathodes trader nchini genuine supplier ?

    Msaada anaefahamu supplier au trader wa Copper Cathode nchini
  15. JamiiForums Tanzania Naomba msaada kwa wenye uzoefu wa practical interview serikalini

    Wakuu mwenye uzoefu wa practical interview Serikalini anipe mwanga huwa inakuaje natanguliza shukrani
  16. JamiiForums Tanzania Msaada: Ushiriki wa mikutano ya vijana mitandaoni.

    Msaada kwa wana JF kw anayeweza kuwa anajua site ambazo naweza ku'join na nikashiriki mikutano ya moja kwa moja ya vijana mtandaoni ili niweze kupata ujuzi na maarifa kidogo naomba anisaidie, nitashukuru sana. Naomba kuwasilisha.
  17. JamiiForums Tanzania Naomba msaada

    Habari zenu wana jf. Mimi ni kijana wa kitanzania ndugu yenu wa damu. Mzaliwa wa mkoa kigoma kwa sasa naishi dar. Nimemkimbia mke na watoto wangu wawili nilio wazaa mwenyewe, kutokana na ugumu wa maisha ya nyumbani. Kwa sasa wanaishi nyumbani kwa kaka yangu mkubwa, najua wanakula lakini ni...
  18. JamiiForums Tanzania Wapalestina sio watu wakuwapa msaada makazi ndio maana waarabu wenzao waligoma

    Wenye imani na kuwaonea uchungu wapalestina nendeni mkawachukue ila siku mtajikuta nyie ndio mkipigwa viboko. Hawa watu bora tu mataifa yawatambue waachiwe taifa lao ila sio kwenda kwenye mataifa mengine.
  19. T

    JamiiForums Tanzania Msaada nasumbuliwa na maumivu ya shingo

    Habari za wakati huu wana Jf, Jamani kama miez miwili iliyopita nilikuwa nasumbuliwa na maumivu ya kichwa na macho kuvuta, misuli ya shingo kuuma nikaenda hospital nikaambiwa nina shida ya macho (Myopia) nikashauriwa tiba yake ni miwani. Baada ya vipimo nikaambiwa natakiwa kuvaa miwani yenye...
  20. JamiiForums Tanzania Msaada kwa watafsiri wa ndoto za usingizini

    Kwa mara kadhaa zisizopungua tatu na zikiachana kwa muda wa zaidi ya mwaka mmoja nimekuwa nikipata ndoto mbaya sana zinazopelekea kukosa usingizi hadi asubuhi. Kuna muda huwa nawaza huenda huwa najisahau kusali pale ninapopitiwa na usingizi lakini pia kuna muda huwa nafikiri namna ya kulala pia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…