msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Msaada: Namna ya kununua shiba coin

    Wakuu tafadhali mwenye kujua ABC about shiba coin namna ya kuji-regist; kununua...nimevutiwa na aina hii ya uwekezaji wa pesa ya kidigtal Mwenye kujua steps by steps tafathali anielekeze, niko tayari hata nimpoze ya voucher kwa usumbufu na muda atakaokuwa amepoteza. Nawasilisha.
  2. JamiiForums Tanzania Kozi ya Construction Management ajira zake zipoje?

    Msaada kuhusu construction management endproduct yake anakuwa mtu gani na ajira zake zikoje Naomba msaada wa hio course wakuu
  3. JamiiForums Tanzania Msaada wa taarifa - natafuta empty glass bottles

    Naomba kujua - kwa anayefahamu - mahali ninakoweza kununua chupa tupu za glass za robo lita, nusu lita na lita moja kwa ajili ya kuhifadhia vitu mbalimbali. Natanguliza shukrani.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu St Teresa of avila girls Secondary school

    Habari wana jf, Naomba nisiwachoshe niende moja kwa moja kwenye mada. Naomba mwenye mawasiliano ya shule tajwa hapo juu ya St Teresa of avila girls Secondary iliyopo MWANGA, KILIMANJARO. Nimejaribu kutafuta address zao kwenye website nimepata namba ambazo hazitumiki kwa Sasa. Naomba...
  5. JamiiForums Tanzania MSAADA: Naomba mwenye ujuzi wa mashine za kubeti anisaidie tafadhali

    Ndugu, habari za wakati huu. Bila kupoteza muda ningependa kuomba msaada kwa yeyote mwenye uelewa juu ya zile mashine ambazo zinatumiwa kwa ajili ya kubeti mfano, premier bet, pm bet n.k Naomba kujua cost ya kuwa wakala au kununua. Pia naomba kujua commission yake kwa mwezi, namna ya...
  6. JamiiForums Tanzania Msaada kwa watumiaji wa Microsoft Word au Any text editing software

    Mimi ni mwandishi mchanga wa vitabu, nimekutana na hii document somewhere; naomba kuuliza kwa Anayefahamu jina la font hizo kwenye picha hii
  7. JamiiForums Tanzania Hili ndilo desa la Kibatala kwa msaada wa KAS ya ujerumani

    Discrediting Evidence in a Criminal Trial Discrediting evidence can be the best line of defense. By Deborah C. England Types of Evidence In general, three types of evidence will typically be offered at trial: testimonial evidence (statements of witnesses on the stand); physical evidence (such...
  8. JamiiForums Tanzania Msaada wa kutuma mzigo Rwanda

    Habari ya asubuhi? Naomba kupewa namna mbali mbali niweze kufikisha mzigo (simu) rwanda. Leo hii Ahsante
  9. H

    JamiiForums Tanzania Wapi nitatibiwa Deviated septum?

    Habari za muda huu ndugu zangu. Kwa muda mrefu nimegundua nina tatizo kitaalam linaitwa Deviated septum,hivyo nahitaji kwenda kufanyiwa operation yaani septoplasty, Tatizo langu naona limekua severe sana mpk kufikia pua moja kuziba kea muda mrefu kabla ya kupokeazana na ingine. Naomba kupata...
  10. I

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria: Nitawezaje kujitoa kwenye chama cha wafanyakazi CWT?

    Msaada wa kisheria: Nitawezaje kujitoa kwenye chama cha wafanyakaz cwt? Ikumbukwe sijawah hata kujiunga nacho ila nakatwa makato ya 2%?
  11. JamiiForums Tanzania Msaada Biashara ya Vijora

    Wapendwa salaam! Amani ya Mungu baba muumba iwe juu yetu sote! Jamani mwenzenu nilikuja humu ndani kuuliza biashara ya vyombo ila nasikitika sana sikufanikiwa katika biashara ile kwani nilipata mtihani wa maradhi! Pesa yote ikaisha! Mimi naishi Dar, Nimevutiwa sana na biashara ya Vijora ila...
  12. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu biashara ya kuagiza laptops nje ya nchi

    Wakuu salaam sana. Nimepata kamtaji kidogo nataka nijiongeze nianzishe biashara ya kuagiza laptops used toka Uk. Tayari nina contacts na suppliers kadhaa ambao wameonesha utayari wa kufanya nao biashara. Tatizo langu kubwa na lilofanya niombe ushauri ni kuhusu kiwango cha kodi wanachotoza kama...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Msaada: Hii ina maana gani? Kwanini wasiandike Judgement wanaandika ORDER of the Court?

    Nimekuwa nikikutana na hii kitu hapo juu marakwa mara. Ina maana gani. Judge anaandika Order of the Court badala ya kuandika Judgement anaposikiliza pingamizi. Naweka hii order muione . Halaf hiyo kesi ya tarehe 12 nai attach for convinience and quick reference...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Sifa hizi za kocha mpya wa klabu ya Simba, zina msaada wowote kwa timu?

    Imekuwa kila kukicha tunaelezwa uzoefu wa mwalimu mpya wa klabu ya Simba kwamba ametokea katika kufundisha timu kubwa na kwamba anafahamiana na walimu wengi na wakubwa katika mataifa ya nje. Swali langu ni je; sifa na umaarufu wa mwalimu huyo unamchango gani kwa klabu ya Simba?
  15. JamiiForums Tanzania Msaada Hospital nzuri kwa kutibu vidonda vya tumbo Dar, vitaniua jamani

    Msaada Wana jf yaani hivi vidonda vitaniua jamani
  16. JamiiForums Tanzania Nimeibiwa gari na majambazi nyumbani, msaada tafadhali

    Ni gari aina ya pajero io nyeupe T893 DWT maeneo ya bahari beach wameiba vitu vingi atakayeona msaada tafadhali gari haina mafuta ya kutosha kwa hiyo itakuwa imezima njiani popote
  17. E

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kufahamu bei za kreti za bia tofauti tofauti kutoka kwa wauzaji wa jumla

    Naomba kufahamu bei za kreti za bia tofauti tofauti kutoka kwa wauzaji wa jumla. Nitashukuru.
  18. JamiiForums Tanzania Kuna nini nyuma ya ndoto hii? Naomba msaada

    Habari zenu wakubwa kwa wadogo. Niende kwenye mada kuwa Leo nimeota tena kuwa nimegombana na mdogo wangu aliyenifata kufikia kiasi cha yeye kukimbia/kuhama kabisa nyumbani na kwenda kwa majirani kuomba msaada huku nikiwa sijui chanzo chake. Wakati huohuo ninamuona bibi yangu mzaa baba huyu ni...
  19. JamiiForums Tanzania Msaada: Nawezaje kufuta account ya mtu ambaye alishafariki Facebook?

    Habari waugwana wa humu, je salama!? Ok. Sasa bwana mimi nina shida moja kuna account ya mtu wangu wa karibu alishafariki alikuwa na account Facebook na mpaka sasa nikiwa napita kuona baadhi ya vitu lazima nikutane nayo. Je, naomba nataka niwaambie Facebook waifute nifanyeje msaada wenu
  20. R

    JamiiForums Tanzania Kondomu zimeadimika, nini tatizo?

    Nakumbuka hizi condom zilikuwa zimetapakaa kote katika sehemu za wazi kla mtu anachukua bure. Sasa hivi ni "almas" maana hazipatikani na zikipatikana ni bei kubwa -- a pack of 3 per 1,000 Kulikoni? Au kwa Msaada wa watu wa Marekani ilisitishwa? na kama ni hivyo kwanini walisitisha?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…