msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Msaada: Nimepima presha ipo juu

    Habari zenu naomba husika na mada apo juu jana baada ya kujsikia vibaya nikaenda hosptal na kupima baadhi ya magonjwa ila nimekutwa na presha 140/100 nina miaka 32 naomba kueleweshwa njia za kutumia ili kupunguza iyo presha tofauti na kula dawa ahsante
  2. JamiiForums Tanzania Msaada Hotspot na Wi-fi hazifanyi kazi kwenye simu yangu

    Habari wadau wa Technologia natumai mko poa Msaada wi-fi na hotspot hazifanyi kazi kwenye simu yangu nahii imetokea baada ya AC kuzingua sasa nimejaribu kureset mobile network lakini bado inaleta shida
  3. T

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ajira

    Hello, kwa unayeitaji huduma kama 1.urejesha username and password 2.KUFUNGUA akaunti kama NSSF portal, AJIRA portal, utumishi portal NK 3.Kuapply kazi kwa mpangilio mzuri wa documents zako kulingana na kada,.. tuwasiliane, tusaidiane,..kwa 0623446608
  4. JamiiForums Tanzania Kupenda kuomba au kuhitaji msaada Kwa marafiki au washikaji kunashusha hadhi na heshima yako, mwanaume jikaze

    Naongea na wanaume tu Leo Tabia ya kuomba ovyo haifai Unajishushia brand Hakuna mtu anahitaji kuombwa hata kama Leo umpigie simu Bakhresa umwombe elfu 2 atakuona wewe ni msumbufu lakini sio kwamba uweZo wa kukupa anao Mwanaume onesha kujiamini na kujitegemea hata kama unapitia hali ngumu...
  5. JamiiForums Tanzania Hili jambo linawezekanaje? Mhusika ameogopa sana anahitaji msaada

  6. JamiiForums Tanzania Naomba msaada natumia VPN lakini (X) twitter haifunguki

    habari ndugu mbona huu mtandao wa x twitter kwangu haufunguki na ninatumia vpn kama proton na 1.1.1.1 wrap lakini wapi,msaada tafadhari
  7. JamiiForums Tanzania Naomba msaada natumia VPN lakini (X) twitter haifunguki

    habari ndugu mbona huu mtandao wa x twitter kwangu haufunguki na ninatumia vpn kama proton na 1.1.1.1 wrap lakini wapi,msaada tafadhari
  8. JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa hili la kutopigia ndugu simu

    Kuna watu wangu wa karibu wananilaumu siwatafuti kuanzia mashemeji zangu mpaka na familia yangu wanasema siwapigii simu. Mfano mashemeji zangu wengine Sina hata namba zao. Shida hata nikiwapigia nitawaambia Nini yaani salamu TU basi? Lakini Kuna watu wengine haipiti siku tatu nawapigia na ni...
  9. M

    JamiiForums Tanzania (KUMBUKIZI) Hili limeniuma sana: Marekani yatoa msaada wa MABOZA sita ya maji kwa Tanzania

    Marekani imetoa msaada wa maboza sita ya maji yanayojiendesha yenyewe ya lita 2400 kila moja, kwa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), ambayo yataipa uwezo wa kusukuma na kusambaza maji. Hii inaiwezesha JWTZ kusambaza maji safi na salama kwa maeneo ya vijijini ambayo hayana huduma ya...
  10. JamiiForums Tanzania Nina Milioni 12 na nina mawazo ya kufanya biashara moja kati ya hizi mbili. Naombeni ushauri

    Habari wana Jamii forums Ee bhna katika harakati za huku na kule nmefanikiwa kujikusanya nina 12 milioni, kichwa kinawaka moto, sjui nifanye biashara gani Nipo mkoani kwenye hii mikoa ya pwani yenye shughuli kuu za uvuvi. Nina kijana ambaye nawaza atakuwa muuzaji na mie nitakuwa msimamizi coz...
  11. JamiiForums Tanzania JF Madaktari msaada wenu juu ya hii alama inaongezeka kila kukicha

    jamani hii ALAMA haiwashi wala haiumi ila inaongezeka kila Siku naona mabadiriko
  12. JamiiForums Tanzania Msaada: Wakuu hii Application ya X (Twitter) inakula sana nafasi kwenye simu. Nifanyeje?

  13. S

    JamiiForums Tanzania Msaada kwenye tuta

    Wakuu kwema. Na imani mnaendelea poaa. Wahenga walisema kama nitakuwa sijakosea "omba nyavu ukavue samaki mwenyewe kuliko kuomba samaki kila siku" Naomba msaada wenu kwenye hili kwa yule atakayeguswa. Niweze kupata laptop kwa ajili ya kuendeleza project yangu (ajira binafsi) ya web development...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Msaada, natafuta professional microphones za shure original hapa dar

    Habari zenu wakuu, ninatafuta professional wireless microphone za shure original kabisa kariakoo sijaona anaeuza wengi wanauza shure za kichina, kuna yeyote anaeziuza hapa tanzania? na kwa wazoefu wa hizi mic ni frequency zipi ni nzuri kwa bongo mana kuna h9(512-542Mhz) h10(542-572Mhz)...
  15. JamiiForums Tanzania Uovu hustawi zaidi kwa msaada wa wale wanaoufanya uovu uonekane jambo la kawaida

    Nilipokuwa shule ya sekondari nikisoma historia ya Ulaya, hasa kuhusu ukatili uliotekelezwa chini ya Hitler na Mussolini, nilikuwa nadhani kwamba dunia—hasa Ujerumani—lazima ilikuwa imejaa watu wakatili na waovu. Sikuweza kuelewa jinsi uhalifu wa namna hiyo ungeweza kutokea bila kulaaniwa kwa...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Sheria kuhusu sikukuu za kitaifa kwa watumishi wa umma

    Habari wana bodies,napenda kujua Juu ya Sheria na miongozo juu ya watumishi wa umma wanaofanya kazi hadi siku za mapumziko ya sikukuu za umma,je wanastahili kupata stahiki gani kwa mujibu wa sheria?
  17. A

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa mawazo ndugu zangu

    Kuna maswali ambayo najiuliza Mwanzo na mwisho ndugu yangu tulikutana mwanza Alivyofika nairobi ndugu zake na mke wake Sasa familia yangu wamenitenga Dar es salam ndiko mke wangu anaishi Mimi nipo uku morogoro kutafuta dawa Atapata bus nikasema hapana ilo ni swali lake Sasa tupo hapa...
  18. JamiiForums Tanzania Ndugu zetu wanahitaji msaada wetu ili waweze kupata matibabu

    . Hawa mnaowaona hapa ni Watanzania wenzetu ambao wamepata madhira mbalimbali. Picha ya Kwanza anaitwa Kuringe Sawere huyu alitekwa na Maofisa wa Polisi Disemba 4, 2025 baada ya wiki mbili kupita kuna msamalia mwema alitujulisha kwamba Kuringe kafichwa kituo cha Polisi Chang’ombe Dar es salaam...
  19. JamiiForums Tanzania Msaada wa kushauri kuhusu NSSF

    Habari zenu wakuu, naomba mwenye ufaham wa kupata mafao ya NSSF endapo mwajiri hajakupatia barua ya kukuachisha kazi.
  20. R

    JamiiForums Tanzania Msaada, natafuta mic original za shure hapa dar

    Habari zenu wakuu, ninatafuta professional wireless microphone za shure original kabisa kariakoo sijaona anaeuza wengi wanauza shure za kichina, kuna yeyote anaeziuza hapa tanzania? na kwa wazoefu wa hizi mic ni frequency zipi ni nzuri kwa bongo mana kuna h9(512-542Mhz) h10(542-572Mhz)...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…