Desierto
JF-Expert Member
- Aug 26, 2019
- 901
- 3,112
Kuna watu wangu wa karibu wananilaumu siwatafuti kuanzia mashemeji zangu mpaka na familia yangu wanasema siwapigii simu.
Mfano mashemeji zangu wengine Sina hata namba zao.
Shida hata nikiwapigia nitawaambia Nini yaani salamu TU basi?
Lakini Kuna watu wengine haipiti siku tatu nawapigia na ni wanaume wenzangu pia najisikia tu furaha kuliko hata ninapokuwa naongea na hao mashemeji?
Najisikia tu uvivu kuongea na baadhi ya ndugu ambao story zinaishia TU kwa salamu.
Je? Nifanyaje ili jisilaumiwe hivi? Nakuwa nakosa hata Raha muda mwingine nikiona simu zao.