msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Melancholic

    Mwenye uzoefu na hili naomba msaada

    Wakuu nilianza kupata changamoto ya hairline kurudi nyuma japo umri wangu ni miaka 28 nilijaribu kutumia mafuta mbalimbali but sikupata matokeo. Ni kwamba nywele zangu za mbele zimeanza kuondoka. Baada ya kufeli nikaamua kutumia Minoxidil kirkland nakimbilia mwezi sasa but changamoto nayikutana...
  2. Naxria abdalla

    Nimetumia dawa za H-pylori kwa wiki moja ili sipati ahueni, naomba msaada wa dawa

    Ninatumia dawa za h-pylori dozi ya pili leo natimiza wiki moja ila sipati afueni yoyote kizunguzungu km nataka kuanguka bado kipo mwili kujiskia vibaya hali bado ipo,nikitembea kdg tu maruerue km naanguka bado yapo,ivi niendelee na dawa au nirudi hosptal?
  3. H

    Tanzania yakabidhi msaada wa chakula kwa Msumbiji

    TANZANIA YAKABIDHI MSAADA WA CHAKULA KWA NCHI YA MSUMBIJI Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imekabidhi msaada wa tani 500 za mahindi kwa Serikali ya Jamhuri ya Msumbiji kufuatia mafuriko yaliyoikumba nchi hiyo kutokana na mvua kubwa zilizonyesha. Msaada huo umekabidhiwa Machi 24...
  4. Wakusolve

    Kutoa msaada ni sadaka inayoweza kukufanikisha katika mambo mengi kwenye maisha yako

    Kutoa msaada kunaweza kukupa fursa kubwa maishani mwako soma hapa chini Kutoa msaada kama vile pesa, mali , ushauri n.k kwa ndugu, jamaa na marafiki au mtu yoyote mwenye uhitaji ni sadaka pia, Unapokuwa mtu wa kusaidia unajijengea baraka au fursa kuzipata bila kutegemea kutoka kwa Mungu...
  5. wilsonwizzy

    Msaada wakuu,Nimerogwa na mpenzi

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, Natumaini jamiiforums ina watu wenye experience na ujuzi katika mambo mbalimbali, Tatizo langu, Nimerogwa na mpenzi,sasa siwezi kufanya mapenzi na mwanamke mwingine tofauti nayeye tu. Nikiwa na yeye mashine inasimama safi tu, Lakini nikiwa na mwanamke...
  6. Baba Rhobi

    Msaada: Printer gani itafaa kwa matumizi ya ofisi ndogo

    Wakuu kama title inavojieleza, tunahitaji Printer itakayoweza Copying, printing colored na Scanning. Sifa iwe na running costs ndogo japo pia matumizi yetu ni madogo labda ku print Karatasi 10-15 kwa wiki au chini ya hapo. Budget ni haizidi 450K, labda iwe pungufu ya hapo. Kuna zile naskia...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    Ukikua utajua wale uliokuwa unawategemea wakusaidie kumbe nao wanahitaji Msaada. Jifunze kujitegemea

    UKIKUA UTAJUA WALE ULIOKUWA UNAWATEGEMEA WAKUSAIDIE KUMBE NAO WANAHITAJI MSAADA. JIFUNZE KUJITEGEMEA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Sisi Watibeli tunajifunza kujitegemea mapema tuu baada ya kujua uchi ni nini. Baada ya kusikia haya na aibu kutembea bila nguo. 2. Ndio maana maisha yetu...
  8. Bei rahisi Electronicks

    Chuo gani Zanzibar kinachotoa Degree ya saikolojia

    Je Chuo gani Zanzibar kinachotoa Degree ya saikolojia nimesoma HKL je nitakubaliwa mwenye experience naitai msaada
  9. MamaSamia2025

    Ommy Fitness: Kukimbia ni zoezi baya sana lisilofaa kufanywa. Halina msaada

    Kwa mujibu wa huyu mtaalamu wa mitandaoni KUKIMBIA ni zoezi baya sana lisilofaa. Sababu aliyotoa ni kuwa mbona wanyama hawafanyi mazoezi ya kukimbia na wana spidi kali kuliko sisi?.. Unakubaliana naye? https://www.facebook.com/share/v/1ZnKNHuYMT/
  10. BarakaMkekusi

    Aliyefanikiwa kutumia dawa za kuongeza uume nahitaji msaada

    Aliyewahi tumia dawa za kuongeza uume na kufanikiwa nahitaji anipe recommendation. Kama hutaki kucomment unaweza kuja PM Kama hujawahi tumia tafadhali achana na hii thread 🤣🤣 Ushauri wa kipuuzi sihitaji. Side effects nazijua kwahyo sitaki comment zakijinga
  11. Chizi Maarifa

    Sheikh Matimbwi hizo Tende za Msaada umezibinafsisha unakula wewe na familia yako tu. Huo ni Ukorofi

    Hili tatizo la ulafi litaisha lini? Tende zimetolewa msaada toka Uarabuni. Sisi hizi ndo zinatufanya tutembee tukisema tumefunga ili tuje zipata. Wewe unakula tende na wake zako na watoto. Unanywea chai, unalia ugali. Si sawa. Hizo tende walitakiwa wapate watu wote. Zigawiwe msikitini hapo...
  12. T

    Nipo Chuo, najijenga kiuchumi lakini mahusiano yananipiga Chenga, msaada!

    Hofu yangu kubwa ni kuendelea kukaa single naona kama sijakamilika bila kuwa kwenye mahusiano wala kuwahi kuchakata mbususu hadi namaliza, naamini kuna jf experts mliowahi kuvuka hii hatua naombeni muongozo. Ahsanteni sana.
  13. Ritz

    Trump aomba msaada kwa mataifa waungane kupigana na Iran kupita Homuz, mataifa nengi yamekataa

    Wanaukumbi. Trump anataka mataifa yaungane washirikiane na Marekani kupeleka majeshi Iran wakapigane kupita mlango wa Homuz Japan imekuwa ya kwanza kukutaaa. Trump alianzisha vita ambavyo sehemu kubwa ya dunia ilikuwa dhidi yake, na sasa anaomba China, Uingereza, Ufaransa, Japan na Korea...
  14. KEKO JUU

    Msaada wa tiba ya tatizo la kushindwa kubana mkojo

    Habari za uzima wana JF! Mpenzi wangu amepata changamoto ya kiafya hivi karibuni. Hawezi kubana mkojo hata kwa dakika moja, ile feeling ya kukojoa ikifika mkojo unatoka wenyewe tu, hawezi kuuzuia. Hii changamoto ni nini, na inaweza kutatuliwa vp?
  15. Mijadala Migumu

    Naomba mwenye connection au anayeweza kunisaidia kupata kazi ya ULINZI, Kampuni ya SGA au G4S

    Habari zenu ndugu zangu, Naomba mwenye connection au anayeweza kunisaidia kupata kazi ya ULINZI, Kampuni ya SGA au G4S anisaidie ndugu zangu. Nina miaka 29 Nina mafunzo ya JKT - Miaka miwili (volunteer). Uwezo wa kutumia silaha. Elimu - Shahada ya kwanza Nazungumza Kingereza fasaha. Uzoefu wa...
  16. didy muhenga

    Msaada wenu kuhusu PEP ( dawa za kuzuia ukimwi baada ya ngono)

    Wanazengo nimemvaa mwanamke mmoja ila na wasiwasi sana na mbaya zaidi nilipiga kavu. Kwa mwenye ufaham hivi zile dawa za kuzuia maambukiz baada ya kupiga demu mweny ugonjwa yaan PEP zinapatikana kweny hii hospital ya sinza Palestine???
  17. Mrao keryo

    Msaada wa dawa kwa anaejua!

    Wakuu wa JamiiForums natumai hamjambo wote humu!kama kuna mwenye changamoto kama mimi basi Mungu ampe uponyaji.Amina! Kwa miezi ya karibuni nimekuwa nikisumbuliwa na kinyama kinashuka kutoka njia ya haja kubwa hata sijui ni ugonjwa gani?wakati kama nimesimama muda merefu au kutembea kwa muda ndo...
  18. M

    Msaada nimeambiwa mkojo una protein3+,na leu2+ nimeambiwa ni uti

    Habar wakuu nimeambiwa Nina UTI nimepewa dawa amosclave na Panadol nin nifanye kutoa protein kwenye mkojo na dawa ipi sahihi kwa UTI kali
  19. Y

    Wanawake wengi wananikataa, nifanyaje ?

    Wasalam Wana JF Mimi nikijana mwenye umri wa miaka 27 katika harakati zangu zamaisha nimeshakua na mahusiano na wanawake tofauti tofauti na swala la kuchakata lilikua siolakuniumiza kichwa. Mwanzoni mwa mwaka uliopita nilibadili makazi ya utafutaji na mwanamke niliekua nimemweka kwenye malengo...
  20. Melancholic

    Wakuu msaada

    Kuna hii datting site inaitwa bibo mwenye uzoefu nayo wanatumia mfumo wa credit(coin) aisee credit inaliwa kama maji. Na madem nawaona ni wengi mpaka najiuliza ni watu halisi au ni marobot japo lugha inayotumiaka kiswahili. Mbaya zaidi ukijaribu kufupisha stori ukaomba namba text aiendi Kama...
Back
Top Bottom