Wakuu yani nimeshajiandaa natinga Bongo kutoka mamtoni tarehe 19.
Yani mfungo unaisha tu unakaribishwa na mambo mema na matamu ya duniani.
Mrembo Janepher Sanga katoa offer ya Iddi Shilingi elfu 50 tu. Je mwanaume utakubali offer hii ikupite kirahisi na Kizembe hivi hivi.
Msikie mwenyewe...
Huyu mwanadada enzi hizo alitikisa sana hapa bongo, kiasi kwamba watu tuliamini ndio mwanamke mzuri Tanzania nzima.
Wanaume wote wa dasalama, walishirikiana kumkuwadia mwanetu Mb dogg. Ila pamoja na kubembelezwa na wanadasalama, kimwana huyo alimchomolea mb dogg ambaye hata denda hakuambulia...
Binafisi mimi nimetokea kwenye familia ya wafugaji wa mifugo karibia yote yaani mbuzi,kondoo na hata ng'ombe .
kipindi tukiwa tunachunga ilikuwa ni fahari sana kulisha mazao ya wakulima tena ikitokea mkalisha na msionwe au kukutwa mtajipongeza kweli.
Ukweli usiosemwa ukisikia vita ya wakulima...
Ngono ni laaana duh, kumbe mtoto alikuwa anapata kila kitu ambacho binti yoyote angekihitaji maana mme wa shangazi alikuwa well-off plus unajua sugar daddy akionga basi anahonga kweli, nyie agemates wake anawaona wahuni tu😁
Aisee ila yule binti hata na huruma kidogo kwamba Shangazi mtu...
Nikiwa napata lunch mahali, kwenye tv wanaonesha maandamano yanayoendelea huko Kenya, ila kilichonivutia sio hayo maandamano Bali wadada warembo wasioogopa hata risasi...nikajawa na hisia za mapenzi kwa wadada hawa
Kenyans have more bigger b*lls than us tanzanians..sisi ni wachumba tu ...
Yan...
Habari za Sabato!
Mbaya Sana! Basi tena! Akili yangu inanituma kwamba nimeshafika mwisho! Sijui kama hata nitapata nafasi ya kusema neno la mwisho! Maskini mimi! Mwisho gani huu!
Taikon wenu! Mtibeli wenu! Nimekosa balansi sheet kutokana na demand schedule ya kijinga Sana. Mimi ni kijana wa...
Niaje wakubwa
Ni Asubuhi njema na kupendeza, kumekucha kumepambazuka. Eeeh bhana nikiwa kwenye harakati za hapa na pale akapita mdada mrembo aseee. Macho yangu hayakuweza kukatika kwake na nikaona ameingia kwenye mgahawa kupata chakula. Basi namimi mtoto wa kiume nikamfuata.. Nimemsemesha akawa...
Mabinti warembo / Visu / Pisi Kali huwa wana demand kubwa, atafatwa na wanaume wa aina nyingi, yeye ni kuchagua tu
Inapotokea mwanamke mrembo kampenda hadi kumzalia mwanaume masikini huwa ni kipi .
Mapenzi ya kweli
Ni cha wote
Ushirikina / Ndumba
Bahati
ama kuna cha ziada
Wakuu habarini,
Kuna msichana nimempenda kweli,ni mrembo mno, mwenye tabia ya upole na heshima. Shepu yake ni ya kuvunja kiti,kifuani chuchu sindano, nyuma mzigo amejazia wa maana kabisa. Hana kiki wala maigizo na ana heshima balaa.
Amenieleza ukweli kwamba anaishi na HIV tangu kuzaliwa...
habarin wakuu leo nataka nishare na nyie jinsi mrembo huyu alivonifanya niswekwe mahabusu kwa mara ya kwanza katika maisha yangu
ilikua ni siku ya jumapili ya tarehe 30 mwezi march mwaka huu nilipokuwa na mrembo huyu wakuitwa x tulipokua tumetoka kazin mida ya saa mbili kasoro usiku sasa akawa...
Bi sagrada samahani kwa yote sikuwa nimekuona kwa karibu !! Na sasa nimekuona nimegundua unahitaji mapenzi ya kweli kutoka kwangu !! Achana na siasa njoo huku tutafute familia !! Siasa ni mchezo mchafu inakutumia kisha inakutelekeza !! Siasa Haina usawa haioni thamani ya mtu mpaka ufe ndio siasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.