DuuhKwa wanaume tu naombeni mnipe sifa zangu. Ila mimi ni single mama
Toa neno mwaegoo, 😂😂😂😂Duuh
Nakupenda na kukupendelea bibie 😋.Kwa wanaume tu naombeni mnipe sifa zangu. Ila mimi ni single mama
Ameita wanaume tu, sijui hata tunatafuta nini hapa 😅Toa neno mwaegoo, 😂😂😂😂
Mkuu nimecheka mpaka watoto wangu wameamka usingizini 😂.Ila Ertugrul Bey una akaunti nyingi sanaaa
Kitatulambaaaa!! Tusatukee mwayaaa.Ameita wanaume tu, sijui hata tunatafuta nini hapa 😅
Hii ni akaunti ya manyau nyau, muulize secretarybird uone🤣Kumekuchaaaaaa!!!
Windo la X-mass ktk 1 na 2. Woiiiiiih
😂😂😂😂😂😂
😂😂Mkuu nimecheka mpaka watoto wangu waneamka usingizini 😂.
Coca mzungu, na wewe tupia yako hapa uwachanganye watu 🤣Kumekuchaaaaaa!!!
Windo la X-mass ktk 1 na 2. Woiiiiiih
😂😂😂😂😂😂
Parody langu halina mbinu ya kiwaki hivi? Ni very strategically, ni mwendo wa kupuna tyuu.Hili siyo parody lako coca?
😂😂😂😂😂 nasemajeee aseme vizuri ma expert tumpe mbinu ya kupuna wajaaa.Coca mzungu, na wewe tupia yako hapa uwachanganye watu 🤣