Ni siku nyingi zimepita, nimeona ni vyema nitoe mrejesho. Kesi ilimalizika mwaka 2017, na nilipata talaka yangu, hilo ndilo jambo la msingi kwangu.
Alifanikiwa kuchukua gari polisi maana polisi walisema ni kesi ya madai na sio ya jinai. Baada ya kuchukua gari alienda kuiuza na kununua gari...