mrejesho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Palm Beach

    MKURUGENZI WA SHERIA CHADEMA: Mrejesho wa shauri la marejeleo Na. 8323/2026 na Kesi ya Msingi ya mgawanyo wa mali na maombi madogo Na. 8960/2025

    Mahakama ya Rufaa, iliyoketi jijini Dodoma jana ilipata maelezo kutoka kwa mawakili wa wadawa kuhusiana na marejeo ya shauri la madai Na. 8323/2026 shauri la msingi, pamoja na Maombi madogo namba 8960/2025 maombi ya zuio kwa Chama kufanya shughuli za kisiasa na kutumia mali za chama. Kuhusiana...
  2. A

    Responded Mrejesho: Lile dimbwi la pale Police Mbande limefukiwa, tunashukuru kwa wahusika

  3. SuperHb

    Mrejesho wa 3, Mke kakimbia ndoa yake kisa anataka kazi

    Baada ya MKE kurudi kwangu na kuconfess makosa yake yote na yale ambayo nilikuwa sijui...,,, Na akasema ametambua makosa yake yote ndo amekili ametaka MOYO wake uwe huru... Na amesema kilichomuharibu zaidi ni makundi aliyokuwa nayo ya wanawake kudanganyana...na kushawishiana... Soma MREJESHO...
  4. SuperHb

    MREJESHO 2,, Mwanamke akimbia ndoa yake kisa kazi

    Habari ndugu ZANGU... Baada ya MKE kwenda kwa wazazi wangu na wake ,,,, Mimi nilikuwa naendelea na uchunguzi wangu...,,Kuna taarifa niliipata wakati anaondoka Nyumbani kwangu kuna JAMAA ambaye anaishi NYUMBA ya Jirani,, aliyekuwa akimtongoza ,,, kwahiyo mwanamke alimtafuta JAMAA huyo akiomba...
  5. Meja Jenerali Isamuhyo

    Aliyetumia router ya halotel aje atupe mrejesho kuhusu ufanisi wake

    Hivi karibuni Halotel waliansa kuuza rouer zao za 5g. Naamini humu ndani naamini kuna mtu au watu watakuwa washaitumia. Tunaomba mtupe mrejesho kuhusu ufanisi wake Ahsante
  6. JOHNGERVAS

    Mrejesho wa Zoezi la Kutoa Tabasamu Tarehe 24 Desemba

    Nilikuja na post Zawadi yangu ya kuzaliwa: Kuwapa wengine tabasamu Jioni ya juzi, tarehe 24 Desemba, nilihitimisha safari yangu ya kuwasaidia familia kadhaa. Ingawa hazikuwa nyingi, familia wachache tulizozitembelea walifurahia msaada wetu. Kila familia ilipokea mchele, sukari, na kuku mmoja...
  7. Hance Mtanashati

    Watu wa Arusha tupeni mrejesho ,Je Nandy alifanya show yake huko Arusha?

    Nandy alitangaza show tarehe 19 dec arusha. Leo tarehe 20, je alifanya hiyo show au kapima upepo kaona show itadoda?
  8. Y

    Mrejesho maumivu ya kiuno

    Habari Wana JF Haponyuma nilileta tatizo la kuumwa na kiuno Hadi miguu kuwaka moto. Mrejesho :Nilienda hospital nikafanyiwa x Ray nakuonesha niposawa ikabidi wanipeleke kwenye MRI ambapo majibu yalionesha kulikua namsuguano kwenye UTI wa mgongo maeneo ya kiuno ambapo tatizo Hilo lilisababishwa...
  9. Y

    Mrejesho baada ya kulala na muathirika wa VVU

    Habari Wana JF siku tatu nyuma nilileta thread ya kulala na muathirika. Watu wengi walinishauri nikapime na wengine walinishauri nianze kuchimba kaburi, Kwa siku ya Juzi nilifanya dhiara kwenye mochwar Moja na kupata mafunzo ya vitendo jinsi yakumuosha maiti na kumvalisha sanda lengo...
  10. Ghayo El Yehudi

    Uzi Maalumu wa kuwatag Keyboard warriors watupe mrejesho na kujikumbusha mikwara Yao humu

    Mzuka wana Jamvi ? Miezi kadhaa ilikuwa ukichungulia Jf na mitandao mingine Keyboard warriors kusema wameupiga mwingi sana kwa upande wa Kushambulia kupitia keyboard hatuwadai wameuwasha moto kisawasawa mpaka ikawa unadhani kama hawa ni Makamanda na nchi itaenda kukombolewa Tarehe 29 kama...
  11. N

    Mrejesho wa kuanzisha biashara na kampuni ya Pombe Kali

    Wakuu miezi kadhaa iliyopita nilitoa uzi wa kuzungumzia hii biashala ya pombe kali lakini changamoto ilikuwa capital. Nikaomba kama kuna MTU anaweza tukaungana tukatengeneza kitu kikubwa lakini bado hakutokea. Leo nimewaletea sample kuwaonesha hatua niliyofikia hivyo tayari nina jina, lable...
  12. H

    Mrejesho: Harakati za kutafuta mpaka kuandikishwa JWTZ

    Habarini ndugu ? Ninawashirikisha baadhi ya harakati nilizofanya katika kutafuta kuandikishwa na kuwa askari JWTZ. Ni ndoto yangu tangu nikiwa mdogo kiumri kuwa askari wa JWTZ hususa ni kuwa komandoo. Baada ya kuhitimu kidato cha nne nilitaka kwenda jeshini wazazi wangu wakanikatalia wakasema...
  13. McLaren

    FBI wameleta mrejesho: Aliyempiga risasi Charlie Kirk alikuwa na umri wa mwanachuo, silaha aliyotumia tumeikamata

    Wakuu, FBI wameashaanza kutoa clue huko kuhusu nani alihusika na kumpiga risasi Charlie Kirk. Kwenye briefing yao wamesema kwamba aliyehusika kwenye unyama huo wameshamfahamu lakini details kuwa yeye ni nani hawatazitoa sasa hivi Wamesema umri wake ni kama wa mwanachuo na bunduki...
  14. kiss ov love

    Mrejesho wa thread ya “Hapa kuna mapenzi kweli au napotezewa muda?”

    Habarini wakuu Husika na kichwa cha habari hapo juu hiyo thread naimani wengi mna ikumbuka. Guys hiyo siyo chai kwanza sina hizo tabia za kuleta vitu vya uongo watu wapoteze nguvu zao kunishauri. Nilivyoleta hiyo thread wengi mlinishauri kwa namna mlivyoona inafaa kwa namna mimi nilivyokuwa...
  15. mkokamoto

    Mrejesho: Baada ya kumpa kibano cha maana amekubali kuwa walishaga mnanilii tokea sekondari😥

    Habarini jamani!!!! Mwendo ni ule ule Oktoba hakuna uchaguzi utayeyuka shwaaaa baada ya mauza uza apo mwezi kati😃 Jana nilileta uzi kumhusu shemeji yangu mwenye dalili za kishoga ambazo amekuwa akizionesha mitandaoni hasa Tiktok yy amekuwa akisingizia ni mbinu za kuongeza followers lkn ikanitia...
  16. Leejay49

    Mrejesho: Ile ndoa ni Kesho wakuu...

    Hi guys.. Hope mko poa na Mambo yenu yanaenda vizuri, Kwa ambao mko na changamoto Allah awafanyie wepesi insha'Allah kila kitu kitakua sawa Nimeleta Mrejesho wa Thread 'Ila kuna namna Wanaume mnapenda sana matatizo' Ila kuna namna Wanaume mnapenda sana matatizo Juzi watu wamesherehekea Send...
  17. A

    Responded Mrejesho: Kero huduma ya majisafi Kibaha Pangani

    Habari JF Naomba mtafute ile post tulituma kupitia jukwaa la malalamiko / fichua uovu Hatimaye tunawashukuru DAWASA wameanza mchakato wa huduma ya maji Kibaha-Pangani Pia soma ~ Mradi wa Maji Kibaha-Pangani wenye thamani ya Tsh. Bilioni 9.8. uliosainiwa Mwaka 2023 waanza kutekelezwa
  18. matunduizi

    Kama unamuda wa kusali huna muda wa kusikiliza mrejesho wa Mungu unapoteza muda bure

    Kusali au kuswali ni kuzungumza na Mungu. Mazungumzo huwa ni ya pande mbili. Kwa bahati mbaya dini zimewafundisha watu kuongea na kupiga kelele kisha kuondoka. Hayo maombi yanakosa uhalisia wa mazungumzo. Baada ya kuomba tulia kidogo sikilizia kama utapokea maelekezo au maagizo yoyote kupitia...
  19. Youbettersleep

    Mrejesho kuhusu gari la kuanzia maisha

    Asanteni sana wadau wa jukwaa hili, jana niliomba ushauri kuhusu gari la kuanzia maisha dogo dogo aina ya Toyota. Kuna mdau alinipa option zaidi ya 5 kuhusu gari hizi IST ALLEX RUNX PREMIO PASSO Nilipenda jinsi RUNX na ALLEX zilivyo na muundo mzuri na kapo safi, baada ya kutoka kanisani...
  20. Nyamwage

    Mliobahatika kupata vitu vizuri kwenye mnada unaoendelea pale Bunju mianzini naombeni mrejesho

    Mnada wa kampuni inayoitwa KC GLOBAL unaoendelea pale Bunju mianzini jamaa anajinadi anauza tv 43 inch smart laki tatu na 55 inch laki tano laptop laki moja monitor 24 inch elfu 50 nimefika pale kwa lengo la kununua monitor 24 inch lakini zilikua zimeisha zimabaki za inch 17 bei yake ni elfu 30...
Back
Top Bottom