mradi

  1. JamiiForums Tanzania Mhe. Rais usikubali eneo la Jangwani kutumika kama uchochoro wa kula pesa, limegeuka mradi wa kifisadi

    Wasalaam wana jamvi. Bila shaka kila Mtanzania aliyepata wasaha wa kupita jangwani atakubaliana nami na Watanzania wengine kuwa Jangwani kunahitaji suluhu nyingine na si kila leo kutoa mchanga na kuchimba mitaro kwa sababu hivyo vyote havijawahi kuwa suluhu kabisa pale Jangwani kwani kila leo...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kama mkoani au wilayani kwenu kuna mradi wa covid-19 Korona tafadhali tujulishe mnanufaikaje na huo mradi

    Wana Jamvi kama Mkoani kwenu au WIlayani kwenu kuna miradi ya kupambana na COVID19 tafadhali njoo utujuz mnanufaikaje.
  3. D

    JamiiForums Tanzania Wakati nchi ikiwa uchumi wa kati, mradi wa anwani za makazi "Post Code" ukamilishwe haraka

    Nimesikia Mkoa wa Kagera umezawadiwa kuhusu utekelezaji wa mradi wa anwani za makazi mwaka huu nikapata hamasa kutoa maoni yangu kuhusu umuhimu wa kukamilisha mradi huu nchi nzima kwa haraka iwezekanavyo ili kuchochea ukuaji wa uchumi. Mradi huu unaonekana kwenye macho ya wananchi kama ni kitu...
  4. JamiiForums Tanzania Hatua 3 nilizopitia kufanya Market Research na kuanzisha mradi simple

    Habari mkuu. Leo napenda share nanyi mradi simple niliouanzisha mwezi September 2020 na hadi November hii inaanza umeonesha mafanikio endelevu nikipitia hatua 3 muhimu. Hatua 3 muhimu nilizopitia ni : 1. Nilijiuliza wateja wangu ninaowalenga ni akina nani? Nikaona ni wanawake walioathirika...
  5. JamiiForums Tanzania House4Sale Mradi wa nyumba Simple, Miliki Nyumba Kwa Milioni 12 tu

    Drone Online Ads tumekuwa kwa muda mrefu tukiwasaidia watanzania mbinu tofauti na ushauri bure wa namna ya kujenga nyumba bora kwa kutumia gharama nafuu. Hii inatokana na uzofu wetu katika ujenzi, timu ya wataalam wa kutosha wanaoshirikiana sambamba na uwezo wa kupata materials ya ujenzi kutoka...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Corona imegeuzwa mradi wa kupiga pesa Kenya?

    Kenya kwa mara nyingine tena wamekwenda kulialia kwa IMF kuomba msaada wa bajeti (loan) ili wapambane na madhira ya COVID-19. Ikimbukwe kwamba hawa viongozi walipokea jumla ya US$ 739,000,000 mwezi wa tano tu mwaka huu Na kuonyesha msisitizo, Rais Kenyatta ametangaza night curfew upya na...
  7. JamiiForums Tanzania Ukisema: "Ili nilete Mradi wa maji hapa jimboni ni lazima Mnichagulie Mbunge kutoka chama changu." Hapo umewagawa Watanzania na hufai kuwa Rais wetu

    Kikatiba, ni haki ya mpiga kura kuchagua Mbunge au muwakilishi anayeona anafaa. Kanuni na maadili ya Uchaguzi yanakataza kutisha, kutoa rushwa au ahadi za vitu kwa upendeleo . Maji ni hitaji la lazima kwa mtu achilia mbali viumbe hai wengine. Fedha za miradi zinatokana na kodi inayolipwa na...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Njia nne Namanga- Tengeru mkoani Arusha mbona inasomeka ni Mradi wa EAC?

    Nimemsikia Mhe. Rais akisema barabara ya Namanga hadi Tengeru ni barabara iliyojengwa kwa usumbufu wa RC Arusha, nikipitia kwenye website na maandiko mbalimbali yanaonyesha ile ni barabara ya Afrika Mashariki na mipango yake ya ujenzi imeanza miaka mingi nyuma, aidha inaelezwa hiyo barabara...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kama mradi hauna ufadhili basi ni mkopo. Je, upinzani watakosa mikopo na ufadhili?

    Miradi mingi ya maendeleo ya Tanzania kwa miaka mingi inatokana na mikopo pamoja na ufadhili. Kinachopewa ufadhili au mkopo siyo chama Cha siasa bali ni nchi, kwa muktadha huo hakuna chama Cha siasa ambacho hakina uwezo wakuongoza nchi. Katika kuongoza nchi kinachotakiwa nikuimarisha uaminifu...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli naomba uwashughulikie haraka waliofisadi mradi wa stendi mpya Mbezi, CHADEMA wamekiri mradi ni sh bilioni 51 siyo 71!

    Kwanza napenda kumshukuru aliyekuwa Meya wa Dsm Isaya Mwita kwa kutolea ufafanuzi namna miradi wa ujenzi wa stendi mpya Mbezi ulivyoratibiwa. Mwita amekubaliana na Rais Magufuli kwamba thamani ya mradi ni sh 51 bilioni na kwamba hadi yeye anaondolewa ofisini kulikuwa hakuna ongezeko lolote...
  11. JamiiForums Tanzania Gari gani ambayo hata ukipewa bure, utaipokea ili mradi tu?

    Hata kama huna gari, huna hela na hata ukipata hela kuna baadhi ya magari yamekaa na sura/muonekano sio rafiki, hayakushawishi, yataje. Mimi binafsi sijawahi kumiliki gari ila ukinipa lift kwenye VX, Noah na vigari flani vipo hasa hasa vipo Njombe wanavifanyia biashara ya tax sijui vinaitwaje...
  12. JamiiForums Tanzania Elimu mazinigira: Hatua 9 za kupata cheti cha mazingira kutoka NEMC kwa ajili ya mradi wako

    Zifuatazo ni hatua 9 za kufuata ili kupata cheti cha tathmini ya athari za mazingira kwenye mradi wako;- 1. Usajili (Registration) Sajili mradi wako kwa kujaza fomu maalum ya maombi ya usajili kwenda baraza la taifa la hifadhi na usimamizi wa mazingira (NEMC). Gharama yake ni 70,000/=.Kwa siku...
  13. JamiiForums Tanzania Uwasilishaji wa Hitajio Katika Uandaaji wa Mchanganuo wa Mradi (Preparing a Need Statement)

    Uwasilishaji wa Hitajio (Need Statement) ni kipengele MUHIMU sana katika uandaaji wa andiko la Mradi. Uwasilishaji wa Hitajio una malengo makuu mawili (2) ambayo ni: Kuonyesha ni kwa namna gani TATIZO la mradi wako linarandana na matakwa/maslahi ya mfadhili (funder's interests/priorities)...
  14. JamiiForums Tanzania Kuna mradi wa kukarabati Shule Kongwe nchi nzima. Je, fedha za kukarabati shule ya Ihungo na Nyakato zilizoathiriwa na tetemeko Kagera zinatoka huko?

    Nasikia kuna mradi mkubwa unaofadhiliwa na mataifa ya nje ili kukarabati Shule Kongwe hapa nchini. Mradi huu hutoa pesa kwa ajili ya shughuli hii. Shule ya Sekondari Nyakato pamoja na Ihungo ni moja ya shule kongwe na hivi karibuni zimezua mjadala. Shule hizi zilipigwa na tetemeko lililoikumba...
  15. JamiiForums Tanzania DRC Congo waanza ujenzi wa mradi mkubwa wa umeme kuliko yote duniani, ‘The Inga Dam Project’, bwawa la RUFIJI linasubiri

    Sikujua kama DRC ni matajiri kiasi hiki, wanadai DRC ina utajiri wa USD trillion 2,000 katika mfumo wa rasilimali umefukiwa chini ya ardhi, huo utajiri hata hauwezi kuandikika katika pesa ya madafu. Jionee mwenyewe kwenye video clip hapo chini. Nasikia waEthiopia wanakamilisha bwa kubwa kabisa...
  16. E

    JamiiForums Tanzania Maboresho ya Elimu ni mradi chini ya Benki ya Dunia, fedha zilizuiliwa kwa pingamizi la Zitto

    Napenda kuweka wazi juu ya huu mpango wa maboresho ya Elimu, huu mradi ulianza enzi ya utawala wa Mkapa kwa ufadhili wa Benki ya Dunia (World Bank) mradi huu ni matokeo ya mpango wa serikali kusamehewa madeni chini ya HIPC na unaenda hatua kwa hatua kulingana na mahitaji ya wakati na ufanisi wa...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Ugumu wa kupata kibarua hapa Mradi wa Bwawa la Umeme la Nyerere

    Wakuu habarini za majukumu! Ni karibu miezi 2 sasa toka nilipotoka Dar na kujielekeza Morogoro eneo la Kisaki kutafuta riziki ya familia kwenye Ujenzi wa Mradi wa Bwawa la Umeme. Wakuu huu mradi ni mkubwa sana ila utaratibu wa kuchukua wafanyakazi hasa get la Kisaki ni mbovu sana. Wajumbe...
  18. JamiiForums Tanzania Tunatafuta Wabia kwa mradi wa 1.Mafuta ya alizeti (2)Kufuga kuku wa kienyeji (3)Kufungua karakana na mafunzo ya kazi ya mikono

    Tunahitaji kupata wabia kushirikiana kwa mradi wa kuchakata mafuta ya kula na usambazaji mbegu kwa wakulima,ufugaji wa kuku na mafunzo ya kazi ya mikono pamoja na kufungua Karakana kwa fani ya ushonaji,useremala,uashi,ujenzi, uchomaji vyuma na uhunzi, viatu,magari,maji na umeme kwa vijana kupata...
  19. JamiiForums Tanzania Wizara yatimua mkandarasi mradi wa maji Nyang’hwale

    Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Anthony Sanga amesitisha mkataba na mkandarasi Kampuni ya PET Cooperation Ltd na Al Baruwani Investment Ltd kwa kuwa ameshindwa kukamilisha kwa wakati Mradi wa Maji wa Nyamtukuza wilayani Nyang’hwale mkoani Geita. Msimamizi wa mradi huo, Meneja wa Wakala ya Majisafi...
  20. JamiiForums Tanzania Mradi mkubwa wa kutengeneza jua kama chanzo cha Nishati huko Ufaransa waanza

    Habari Watanzania' Mataifa zaidi ya 35 ulimwenguni mengi yakiwani ya Ulaya yameanzisha mradi mkubwa sana wa kutengeneza teknolojia kwa ajili ya kufua nishati kwa kutumia mbinu kama inayotumika na jua-Nuclear Fission. Teknolojia hio inalenga kutengeneza clean energy na ni salama zaidi kuliko...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…