mradi wa sgr

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pfizer

    JamiiForums Tanzania NIC, TRC, Benki ya Dunia kuanza ujenzi Mabwawa sita kukabiliana na mafuriko na kulinda mradi wa SGR

    NIRC, TRC, BENKI YA DUNIA KUANZA UJENZI MABWAWA SITA KUKABILIANA NA MAFURIKO NA KULINDA MRADI WA SGR NA NIRC, Dodoma TUME ya Taifa ya Umwagiliaji kwa kushirikiana na Shirika la Reli Tanzania (TRC) chini ya ufadhili wa Benki ya Dunia, inaendelea na utekelezaji wa hatua za awali za upembuzi...
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Bakhresa, Mo Dewji na GSM wajitosa kuwekeza kwenye SGR

    Ni vema ukayafahamu haya mapema kwa faida yako Bali wadau wengi wanajiuliza kwamba ni kitu gani ambacho Serikali ya Tanzania inaweza kufanya, maana unaambiwa ni afadhali hata mtoto mwenye Polio waweza kumpa Magongo akatembea mwenyewe Kampuni sita za Kitanzania ni miongoni mwa kampuni kadhaa...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mageuzi makubwa kwenye SGR

    MAGEUZI MAKUBWA KWENYE SGR. Wananchi wamefarijika kwa kiasi kikubwa sana ambapo treni hii ya kisasa inakwenda kurahisisha Usafiri kutoka Dar-Morogoro- Dodoma. Hakika Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan amefanikisha kwa kiasi kikubwa sana. #Kaziiendelee
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya: Wananchi wa Uyui wanaodai malipo ya kupisha Mradi wa SGR wafike ofisini

    Serikali imetoa ufafanuzi juu ya Wananchi wa Tambukareli, Kata ya Nsololo, Wilaya ya Uyui ambao wanadai malipo baada ya kutakiwa kuondoa kupisha mradi wa Reli ya Kisasa ya SGR. Awali baadhi ya Wananchi hao walikaa kikao na kuiomba Serikali kutoa ufafanuzi juu ya malipo yao ya fidia kupisha...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Tabora – Uyui: Wananchi waliotakiwa kupisha Mradi wa SGR waomba Serikali isaidie walipwe fidia zao

    Wananchi wa Tambukareli, Kata ya Nsololo, Wilaya ya Uyui wanaiomba Serikali kutoa ufafanuzi juu ya malipo yao ya fidia kupisha ujenzi wa Reli ya Kisasa ya SGR, wakidai awali tathimini ilifanyika Machi 2023 na mpaka Mei 2024 hawajui hatima ya malipo yao. Wameyasema hayo wakati wakidai Sheria...
  6. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Hadi sasa Mradi wa SGR umegharimu Tsh. Trilioni 10.69

    Serikali ya Tanzania hadi sasa imetumia jumla ya Shilingi Trilioni 10.69 kwenye Mradi wa Reli ya Kisasa (SGR) kama sehemu ya miradi mikubwa ya nchi. Akitoa ombi kwa Bunge kuunga mkono jumla ya Shilingi Bilioni 532.8 kwa Ofisi ya Waziri Mkuu na Mfuko wa Bunge kwa mwaka wa fedha wa 2024/25...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TRC: Suala la Nauli za Treni ya SGR tumekabidhi mapendekezo kwa LATRA

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) imefanya ziara ya kukagua Mradi wa Reli ya Kisasa (SGR) na kujionea majaribio ya treni hiyo ambayo yalianza hivi karibuni. Ziara hiyo imeongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Vuma Augustine (Mbunge wa Kasuru vijijini), ambapo...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi TRC: Tutaruhusu Wawekezaji binafsi kwenye Mradi wa SGR kuingiza Vichwa cya Treni na mabehewa yao

    Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Reli nchini (TRC), Masanja Kadogosa amesema kuwa Serikali itanatarajia kuweka milango wazi kwa wawekezaji binafsi kuwekeza kwenye mradi wa reli ya kisasa (SGR) kwa kuingiza vichwa vya treini na mabehewa yao. Akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari nchini...
  9. RUSTEM PASHA

    JamiiForums Tanzania Mradi wa SGR lot no 4, YAPI MERKEZ yaanza kufunga virago, inasemekana ni baada ya serikali kukosa fedha za kuwalipa

    Hizi ni taarifa mbaya sana kwa Watanzania wenzetu, kaya zaid ya elfu 3 zinakosa ajira ya moja kwa moja baada ya mradi wa Tabora-Isaka, kusimama, na YAPI MERKEZ kuanza kulipa wafanyakazi wake stahiki zao. Batch ya kwanza imelipwa Jumatatu iliyopita, batch ya pili majina yatatoka Jumatatu ya...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Mkandarasi Mkuu wa SGR ametusitisha kazi lakini hataki kutulipa stahiki zetu, 'tunachohitaji sasa haki itendeke'

    Kama ilivyo kawaida dhuruma na uonevu unaendelea kufanywa na Makandarasi Mkuu wa Reli ya SGR, Yapi Merkezi dhidi ya Wafanyakazi wa Mradi. Leo tarehe 25 mwezi wa 11 baadhi wetu sisi Wafanyakazi tumeanza kuchoshwa na ubabaishaji wa Mkandarasi unaoendelea. Hapo kuna Makundi mawili ya watu...
  11. Doug Stamper

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa Hayati Magufuli wanaopanga kuleta sintofahamu Bungeni mnatakiwa kutambua ufisadi alifanya aliyewaingiza Bungeni

    CAG afichua Serikali ya Magufuli ilivyoisababishia taifa hasara ya Sh 1.7 Trilioni mradi wa SGR Ripoti mpya ya CAG iliyotolewa Aprili 6, 2023, yasema Serikali ya Awamu ya 5 ilivunja sheria ya nchi kwenye utoaji wa kandarasi ya reli llikubali masharti mabovu ya Benki ya StanChart kuwapa...
  12. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Pesa zinapigwa. Kampuni ya Yepi Merkezi inakiri kupokea pesa kwa kusuasua

    Sababu zinazotajwa kusuasua SGR kipande cha Dsm - Moro. 1. Pesa zinapigwa. Kampuni ya Yepi Merkezi inakiri kupokea pesa kwa kusuasua. 2. Hujuma/Rushwa - kutoka kwa wamiliki wa mabasi na malori wakiwemo viongozi wa serikali. 3. Udhaifu wa Rais kusimamia miradi ya nchi. 4... Tuendelee kuliat...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Uchukuzi, Prof. Mbarawa: Kasi ya Mkandarasi Mradi wa SGR imepungua, yupo nyuma kwa 10%

    Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa ametembelea Mradi wa Ujenzi wa Reli ya SGR eneo la Makutupora - Tabora na kusema “Kazi inaendelea vizuri ingawa kuna changamoto kadhaa, kubwa ikiwa ni kasi ya mradi ambayo tuliitegemea imepungua, leo tulitegemea Mradi ufikie takribani 22% lakini tupo...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Hakuna Hasara Katika Mradi wa SGR

    Hakuna Hasara Katika Mradi wa SGR "Bei zilizopo ni tofuti sana na bei zilizotumika Mwaka 2017 wakati tunaanza ujenzi wa Mradi wa SGR, zaidi ya asilimia 65 Mradi wa SGR unatumia chuma na Bei ya chuma imepanda Duniani hivyo hakuna hasara yoyote katika Mradi wa SGR zaidi ya kuokoa Fedha" - Mhe...
  15. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya Mradi wa SGR Morogoro - Makutupora

  16. pantheraleo

    JamiiForums Tanzania CAG afichua Serikali ya Magufuli ilivyoisababishia taifa hasara ya Sh 1.7 trilioni mradi wa SGR

    Ripoti mpya ya CAG iliyotolewa Aprili 6, 2023, yasema Serikali ya Awamu ya 5 ilivunja sheria ya nchi kwenye utoaji wa kandarasi ya reli Ilikubali masharti mabovu ya Benki ya StanChart kuwapa kandarasi Waturuki kwa gharama ya juu bila tenda ya wazi ya ushindani ========= Na Waandishi Wetu...
  17. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Bongo Nyoso: Lori la mradi wa SGR lamakatwa likitafutiwa mteja ili liizwe

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limekamata gari aina ya HOWO tani 12 lenye thamani ya Sh180 milioni likiwa katika harakati za kutafutiwa mteja ili liuzwe mkoani Tabora. Taarifa ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Simiyu, Blasius Chatanda aliyoitoa kwa waandishi wa habari leo Februari 6, 2023, inaeleza...
  18. BigTall

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mradi wa SGR wa Itigi - Tura tunapigwa, wafanyakazi pia hawalipwi maslahi yao inavyotakiwa

    Jamani wanaohusika naomba msimamie kwa ukaribu sana mradi wa SGR unaoanza Itingi mpaka Tura, mfatilie malipo ya Wafanyakazi kutolipwa mishahara yao na kunyimwa haki kibao za kikazi Kubwa zaidi na linaloumiza zaidi ukweli tunapigwa sana SGR hakuna ubora wowote Kwa ufupi SGR inalipuliwa na ubora...
  19. Tz boy 4tino

    JamiiForums Tanzania Mradi Wa SGR Ya Tanzania Ni Mradi Mkubwa Kuwahi Kufanyika Barani Afrika

    Mradi wa SGR ya Tanzania wenye Kilomita zaidi ya elfu 2,000, ni Kati ya miradi mikubwa ya reli kuwaikufanyika Afrika. Katika utafiti wangu, miradi mengine mikubwa inayoendelea barani Afrika ni ule wa Nigeria, ambao una lengo la kuunganisha miji mikubwa na bandari ya Lagos. Pamoja na wa Misri...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wananchi walalamika kunyimwa ajira mradi wa SGR Mwanza-Isaka

    Kundi la Wananchi katika eneo la Fela wilayani Misungwi mkoani Mwanza unapojengwa mradi wa Reli ya Kisasa (SGR), kati ya Mwanza hadi Isaka mkoani Shinyanga, limesimamisha msafara wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu huku wakitoa kilio cha kunyimwa ajira katika mradi huo. Wananchi hao...
Back
Top Bottom