Mwonekano mpya wa simu ya OnePlus 11 Pro umevuja

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,117
OnePlus ilikuwa ni brand nzuri sana katika design, lakini kwa zaidi ya miaka mingi inabadili mwonekano wake kila muda na fans wake hawapendi kuona kila model ina design yake.

Mwaka jana katika OnePlus 10 Pro ilikuwa na mwonekano mpya wa kamera lakini wengi hawakupenda mwonekano ule. Jambo la kushangaza, OnePlus zinaendelea kubadilika kila mwaka na mwaka huu imebadilika tena.
1663594224027.png
 
Tangu pei aondoke Na kufata mfumo wa bbk imekuwa shida sana kwa kampuni la oneplus
Kama wana wavalue wateja wamvute designer wa reno akabe nafas Na syo kuintroduce utumbo Unaitwa color os
Over oxygen os
 
kazi ya kudesign muonekano hata wangekuwa wananipa mm,nadhani ningewapa kitu makini kuliko huo upupu hapo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom