mpya

  1. JamiiForums Tanzania Usilolijua kwa Hamornize ni ujenzi mpya wenye mvuto. Fagio lake mtalishukuru baadae

    Wana JF Watu wengi wamekalia lawama nyingi sana na kuhukumu kila kukicha nafasi ya kondeboy Harmonize katika mikakati ya kuangushwa na mpenzi wake na mtu mzima Kajala. Pengine ufagio mpya alioutumia unaonekana kuwakera wengi tu lakini kwa jicho jipya ni kwamba kisafisha nyumba na kuweka vitu...
  2. JamiiForums Tanzania Kanitafuta tena na namba mpya!

    Bila hustle mingi! Si yule mrembo kanitafuta tena na namba mpya! Nikamuuliza vipi, mbona namba mpya? Oooh! Nikikupigia na yangu ya kawaida haushiki simu. Eeeh bwana eh, mwenzenu sijala nyama tangu mwezi wa kumi na mbili, mwaka uliopita! Mtanisamehe kwa kweli, hapa napita mpaka na mifupa...
  3. JamiiForums Tanzania Aliyemfukuza Trump twitter na yeye afukuzwa na mmliki mpya wa twitter Elon Musk

    Salama wadau Unaambiwa binadamu hukutana lakini milima haikutani na malipo ya ubaya ni hapahapa duniani. Sasa jamaa baada ya kununua Twitter kwanza kawatimua management yote na baadaye staff wapewa alerts Fagio LA chuma litapitishwa kuondoa baadhi ya wafanyakazi. Sipati picha bwana Trump...
  4. JamiiForums Tanzania Kikwete kuzindua albam mpya ya Ommy Dimpoz

    Msanii Omary Nyembo aka Ommy Dimpoz ametangaza kuachia album yake leo Ijumaa Nov 4, 2022 ambapo katika kuizundua amesema Rais Mstaafu Jakaya Kikwete ataongoza shughuli hiyo "Tuna-launch rasmi album na itakuwa weekend ndefu kidogo kwa sababu tutaanzia hapa Johari Rotana, itakuwa invitees only...
  5. JamiiForums Tanzania TFF hali tete, yahaha kusaka mdhamini mpya Ligi Kuu

    RAIS wa Shirikisho la Soka nchini (TFF), Walace Karia amesema wapo kwenye mazungumzo na kampuni mbalimbali kwa ajili ya udhamini wa Kombe la TFF. Akizungumza na Waandishi wa Habari, Karia amesema kombe hilo halina mdhamini mkuu na hata kuitwa kombe la Shirikisho Azam ni kutokana na kutokuwa na...
  6. JamiiForums Tanzania bedsofa 5 kwa 6 mpya dodoma kwa bei rahisi

    Habari wakuu,wale wa Dodoma ninawaletea bedsofa 5 kwa 6 mpya kwa 175000 tu. Piga simu hapa 0624008133 mipango
  7. L

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais wa Tanzania nchini China kuleta fursa mpya kwa maendeleo ya uhusiano kati ya nchi hizo mbili

    Mkuu wa Taasisi ya Confucius katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Profesa Aldin Mutembei, amesema, ziara ya Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan nchini China itaendeleza uhusiano kati ya nchi hizo mbili. Profesa Mutembei amesema, ziara hiyo ya siku tatu kuanzia tarehe 2 hadi 4 itatoa fursa zaidi...
  8. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanzo mzuri kwenye ushirikiano kati ya China na Kenya katika Serikali mpya

    Ni muda mfupi sasa tangu Rais William Ruto aingie madarakani, na polepole ameanza kuweka mipango ya utekelezaji wa sera atakazozipa kipaumbele katika kipindi chake cha uongozi. Wakati vumbi la uchaguzi sasa limetua, ufuatiliaji hasa kuhusu sera za uchumi na jinsi zitakavyogusa wananchi wa...
  9. JamiiForums Tanzania INAUZWA Bedsofa mpya Dodoma

    Habari wakuu nauza bedsofa mpya hiyo 190000 mipango Dodoma 0624008133
  10. JamiiForums Tanzania Lema: ACT Wazalendo hawakujenga ofisi. Wamechukua iliyokuwa ya CUF. Hii ni mpya hii ofisi ya Act imewauma sana Chadema

    Sikiliza
  11. JamiiForums Tanzania Katiba Mpya Muhimu, Mawaziri na Makatibu wakuu ni wadhaifu

    Muundo wa serikali yetu, rais analazimika kuteua mawaziri kutoka ktk wabunge. Akikosa mtu anayefaa, rais amepewa nafasi za kuteua wabunge. Utaratibu huo unampa rais nafasi ya kuteua mbunge ili amtumie ktk nafasi ya uwaziri. Ubunge wa kuteua umekuwa ni kama sadaka na zawadi tu. Katika uteuzi wa...
  12. JamiiForums Tanzania Ukiona viongozi fulani wametawala kwenye vyombo vya habari basi jua bosi wao anatoa mkeka mpya karibuni

    Imekuwa ni tabia sasa au tuite formula kabisa kwa hawa viongozi wa kiserikali wanaopata ajira zao kupitia teuzi. Kipindi hiki utasikia maekezo mengi sana kuhusu wakuu wa wilaya hasa kwenye vyombo vya habari sana sana wanaonekana kama ndiyo wametoka kuamka au ndiyo wamepewa kazi leo. yaan...
  13. JamiiForums Tanzania Unai Emery atangazwa kocha mpya Aston Villa

    Klabu hiyo imemtangaza kocha huyo wa zamani wa Arsenal na Villarreal kuchukua nafasi iliyoachwa na Steven Gerrard. Emery anatarajiwa kuanza majukumu Novemba Mosi, 2022 mara baada ya kukamilisha taratibu za vibaki vya kazi, kwa sasa timu itaendelea kuwa chini ya kocha wa muda Aaron Danks. Aston...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge yapokea taarifa ya Ujenzi wa Shule mpya kupitia mradi wa Sequip

    KAMATI YA BUNGE YAPOKEA TAARIFA YA UJENZI WA SHULE MPYA KUPITIA MRADI WA SEQUIP. OR -TAMISEMI Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala Bora na Serikali za mitaa (USEMI) ikiongozwa na Mhe. Jaffari A. Chaurembo, Mbunge wa Jimbo la Mbagala imepokea na kujadili taarifa kuhusu Utekelezaji Mradi wa...
  15. JamiiForums Tanzania Huyu hapa anayetazamiwa kuwa Waziri Mkuu mpya wa Uingereza mwenye Asili ya Asia

    Rishi Sunak pichani chini anategemewa kuwa Waziri Mkuu mpya wa Uingereza. Sunak alizaliwa katika mji wa Southampton mnamo mwaka wa 1980. Wazazi wake wana asili ya nchi ya india, walihamia nchini Uingereza wakitokea nchini Tanzania kwenye miaka ya 1960. Huyu jamaa ndiye anatizamiwa atakuwa...
  16. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo kuzindua Ofisi Mpya ya kisasa huku CHADEMA wakiwa wamepanga uswahilini zaidi ya miaka 20

    Penye njia pana njia Act Wazalendo wana nia thabiti ya kuwa ruling political party. Chadema imejaa waswahili na wajanja ambao hawana nia njema kabisa.
  17. JamiiForums Tanzania Covid-19 yaibuka kwa kasi mpya China, watanzania tumejipangaje?

    Ugonjwa wa Covid-19 umeibuka tena China kwa speed ya 5G . Waziri wa afya wajulishe watanzania mapema cha kufanya tusisubiri gharika hadi ije. Ubalozi wa Tanzania china umepiga kimya ila Hali kule Sio shwari.
  18. JamiiForums Tanzania CHADEMA: Kikosi Kazi kiliundwa ili kuchelewesha mchakato wa Katiba Mpya

    Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika ameitaka Serikali kuweka wazi gharama ambazo kikosi kazi kimetumia huku akisema hakukuwa na haja ya kuundwa kwa kikosi hicho kwa sababu kazi ya kutafuta maoni ya wananchi ilifanywa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba iliyoongozwa na Jaji Joseph Warioba. Mnyika...
  19. JamiiForums Tanzania Prof. Tumaini Joseph Nagu ateuliwa Kuwa Mganga Mkuu wa Serikali, Dkt. Florens Martin Turuka bosi mpya DART

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemteua Dkt. Florens Martin Turuka, Katibu Mkuu Mstaafu kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART). Amemteua Bi. Beng’i Mazana Issa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mikopo ya Serikali za Mitaa. Bi. Beng'i ni...
  20. Z

    JamiiForums Tanzania Sera mpya ya Elimu, nahisi inatatua matatizo binafsi ya Waziri

    Nchi yetu imefikia hatua sera ya nchi inaweza kutungwa ili kutatua matatizo ya familia ya waziri. Inasadikiwa Mungai alikuwa na watoto walioshindwa Sayansi ya sekondari, akaamua kuyaunganisha masomo. Bodi ya mikopo ya elimu ya juu ilipigwa shinikizo kwa mwaka mmoja kuwapa mikopo wanafunzi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…