mpya

  1. JamiiForums Tanzania CHADEMA watakuja na sera ipi mpya kwenye mikutano yao?

    Najaribu kijiuliza sioni jipya watakalokujanalo kwa wananchi, kama ni ufisadi, mgao wa umeme, utendaji mbovu wa baadhi ya watendaji wa serikali vyote vilikemewa na kudhibitiwa na serikali CCM wakati wa JPM. Zaidi Mbowe yeye alikuwa analazimisha wananchi wafungiwe ndani (lockdown) kipindi vha...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Urais unachosha, ila ni mzuri. Rais Samia akituachia katiba mpya akastaafu 2025 itampa heshima yeye na kizazi chake kuliko kutuachia katiba baada 2025

    Nitaeleza Kwa kifupi faida za Mhe. Rais kutuachia katiba awamu yake ya Kwanza then akastaafu Kwa heshimu 1. Tayari amaeshakuwa Rais na hakuna Jambo jipya analoweza kulipata kwenye urais hata aliongoza miaka Mia. 2. Endapo ataamua kuingia kwenye uchaguzi 2025 Ndipo mchakato wa katiba uanze...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Kiburudisho cha mwaka mpya cha Tamthiliya ya Ukoloni wa Yesu

    ONYESHO DOGO KUTOKA TAMTHILYA INAYOITWA "WE ARE ONE", by Tanzanian British. It is just After THE AFRICAN KING ASKED THE MISSIONARY FROM BRITAIN,WHAT DOES SLAVE MEAN!? CHECK IT please.- MISSIONARY LEADER SLAVE is some one who you own and works for you, under all conditions, and obeys you in...
  4. JamiiForums Tanzania Maoni yangu juu ya katiba mpya na changamoto zake

    Hivi ndugu mtanzania mwenzangu, umeona wapi baba kuruhusu taratibu ambazo zinamyima amani kwenye nyumba yake? Mimi kama mtanzania mtazamo wa katiba mpya n8 mzuri sanaa, lakini bado hauna nguvu. Kipindi tulichonacho sio cha kuleta mchakato huo ni mwakani hapo tunaingia uchanguzo mdogo ninani...
  5. JamiiForums Tanzania Mapadri na mashehe wanavuta sana sigara. Je, hawajui kuwa hiyo ni dhambi mpya iliyosahaulika kuwekwa kwenye vitabu vitakatifu?

    Kwenye miaka ya 60 kushuka chini sigara ilionekana ni kitu cha fahari kutumia,ni mpaka wataalam wa afya walipogundua zinasababisha kansa, sigara ikaonekana ni kitu hatari kwa afya. Hata mwalimu nyerere kavuta sana sigara enzi zake. Nafahamu mapadri kadhaa wa kanisa katoliki wanaovuta sigara...
  6. JamiiForums Tanzania Kama Rais Samia ataacha Katiba Mpya basi itatupatia picha kuwa uongozi ni akili na siyo nguvu

    Yaani huyu Mama naona anaenda kuwa Rais was pili ukimtoa Baba wa Taifa, maana Kama atatupatia katiba Mpya Basi Legacy yake itakuwa kubwa Sana. Nilichogundua Uongozi ni akili. Legacy sio kujenga barabarani mbovu zenye mashimo na ujanja ujanja. Mama akiacha katiba Basi peponi moja kwa moja.
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia katukumbusha kuwa Katiba Mpya ni dhana tu na mkachakato unapaswa kuwahusisha Watanzania wote

    Hivi tumemsikia Mama na kumwelewa kuhusu Katiba Mpya? Neno "KATIBA MPYA" Ni dhana tu, ni neno la kudanganyia watu kujipatia POLITICAL POPULARITY, hakuna jipya tunatakiwa kubadilika kulingana na wakati na ndiyo nasema; Mimi nimemsoma mama mambo matatu (Na ngoja niandike kwa herufi kubwa...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Said Hussein Masoro Mkurugenzi mpya Usalama wa Taifa (TISS) ni Nani haswa?

    Masoro Said, Boss mpya TISS, ni nani haswa? Mwenye CV yake tunaiomba! ====== Update:
  9. JamiiForums Tanzania Simba SC Tanzania yamtambulisha kocha mpya Robertinho

    Simba inamtangaza muda huu aliyekuwa kocha wa Vipers SC, kama kocha wao mkuu mpya mpaka mwaka 2025 sambamba na Juma Mgunda ambaye atakuwa ni msaidizi wake. Kocha huyo atajiunga na kikosi cha timu hiyo kilichopo Zanzibar katika mashindano ya Kombe la Mapinduzi kuanza majukumu rasmi.
  10. JamiiForums Tanzania Dhamira njema ya Katiba Mpya ni kuwa na jopo jipya lisilohusisha Wabunge waliopo

    Salaaam! Kuhusu kuundwa katiba mpya serikali haina budi kutenda haki juu ya muundo wa jopo au kamati au bunge ambalo halitahusisha mbunge yeyote na wa chama chochote, katiba iundwe na wasiofungamana na siasa za uwakilishi wa kibunge na Baraza la wawakilishi. Ni matumaini yetu ya kwamba...
  11. JamiiForums Tanzania Mandonga aibukia Kenya na ngumi mpya aina ya Sungunyo kutoka Ukraine

    Mwamba mwenyewe, Karimu Mandonga, mtu kazi a.k.a Sungunyo kaibuka kivingine huko Nairobi Kenya na aina ya ngumi kali sana itakayomvagaa mtu tarehe 14.01.2023. Kazi ya hatari inaenda kufanywa na Mandonga kaingia msitu wa Mau Mau na ngumi Sungunyo, awe Mkenya awe Mjaluo atakutana na kipigo cha...
  12. JamiiForums Tanzania Sherehe ya Mwaka Mpya ni ya Kikristo, Waislamu tumeivamia tu bila kujua

    Hii kalenda tunayotumia, Gregorian Calendar ilikuja baada ya Julian Calendar, zote zina uhusiano na Issa ndio maana utakuta maneno kama AD au BC yote yanamrefer Nabii Issa. Sasa sisi Waislam imekuwaje hatulijui hili au kufuata mkumbo? Au ndio dunia inaongozwa na mfumo Kristo?
  13. J

    JamiiForums Tanzania Uelekeo mpya wa bandari, Kampuni ya TICTS yakabidhi rasmi mikoba TPA

    UELEKEO MPYA BANDARI Kampuni ya TICTS yakabidhi Rasmi mikoba TPA ‘’Tunapenda kuwahakikishia kwamba Bandari ya Dar es salaam itaendelea kutoa huduma za hali ya juu kama ambavyo zilikuwa zikitolewa na kampuni ya TICTS lakini pia kuzipeleka juu zaidi ya zilivyokuwa zikitolewa’’. Alisema Mbossa...
  14. JamiiForums Tanzania Karibu nikuuzie M.2 SSD kwa Ofa ya Mwaka mpya

    Ni Ofa ya mwaka mpya na mambo mazuri kwa bei poa kabisa. Ni Adata Legend M.2 SSD Mpya kabisa kwa Tsh 150,000/= kila moja. Description ● PCIe Gen3 x4 interface ● Fast read/write performance ● Heat sink keeps things 15% cooler ● Great upgrade option for creators ● High capacities ● Supports...
  15. JamiiForums Tanzania Mwaka 2023: Kodi mpya za kusajili gari

    Karibuni tujadili gari zenye unafuu wa Kodi kwa mwaka 2023. Calculator ya TRA imeshafanya yake.
  16. JamiiForums Tanzania Heri ya Mwaka Mpya wapenzi wangu hapa JF, nawapenda sana

    Sina maneno mengi. Mapenz yangu kwenu ni ya kutoka moyoni mwangu. Mwaka huu 2023 na ukawe faraja kwenu. Pale kwenye tumaini na Mungu aweke tumaini pale penye Nia Mungu akaihuishe iwe na itendeke.
  17. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Watu tisa wafariki huku wengine wakijeruhiwa kutokana na mkanyagano

    Watu tisa wamefariki dunia, wengine kadhaa kujeruhiwa katika mkanyagano uliotokea jana usiku nje ya Mall ya Freedom City mjini Kampala wakati wa kukaribisha mwaka mpya.
  18. JamiiForums Tanzania Salamu za Mwaka Mpya kupitia Twitter

  19. JamiiForums Tanzania Tunaoanza mwaka mpya 2023 kwa penzi jipya tujuane

    Inshallah Mungu ajalie January 1, 2023 naanza na penzi jipya la mtoto wa kisagara. Ni hatari sana hii mashine nafungua mwaka kivingine. New year New mashine new show. Nyota ya "Pisi mpakato" imesoma matokeo ya chumvi bahari na maombi ya upako yameweka neema kama zote. Ni hayo tu kwa uchache...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa nini hatujakuza utalii wa 'kuuona mwaka mpya mapema'?

    Kuna aina nyingi sana za utalii. Mwingine unatokana na asili ya eneo husika, historia, utamaduni, nk. Dunia ya leo, utalii wa kisasa unatumia asili ya eneo husika na unaliongezea thamani kwa kutengeneza unique experience kwa mtalii anayekuja. Tanzania tumebahatika kuwa eneo kigeographia ambalo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…