OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,244
- 103,937
Simba inamtangaza muda huu aliyekuwa kocha wa Vipers SC, kama kocha wao mkuu mpya mpaka mwaka 2025 sambamba na Juma Mgunda ambaye atakuwa ni msaidizi wake.
Kocha huyo atajiunga na kikosi cha timu hiyo kilichopo Zanzibar katika mashindano ya Kombe la Mapinduzi kuanza majukumu rasmi.