Maoni yangu juu ya katiba mpya na changamoto zake

ThisisDenis

Senior Member
Apr 14, 2013
149
129
Hivi ndugu mtanzania mwenzangu, umeona wapi baba kuruhusu taratibu ambazo zinamyima amani kwenye nyumba yake?

Mimi kama mtanzania mtazamo wa katiba mpya n8 mzuri sanaa, lakini bado hauna nguvu. Kipindi tulichonacho sio cha kuleta mchakato huo

ni mwakani hapo tunaingia uchanguzo mdogo ninani atakua msimamizi wa hili. Tunataka Katiba mpya inatupaswa tuchague viongozi ambao
watasimamia maslahi yetu. Lakini kwa muda huu hatutaweza chochoye tutajaribu tu.

Tuwe na subira tusubiri uchaguzi mdogo tuchague wenyekiti na madiwani wanaoweza kusimama na kuongea nini
wananchi wanataka na hata aliechaguliwa anataka jambo hili, hapo tutacheza mziki mzuri.
Ni maoni tu.
 
Kwa kifupi unataka tume huru ya uchahuzi!
Sasa tume hiyo itafanya kazi chini ya katiba hii? Utapata tume huru yenye makada wa ccm tupu, ndipo hapo utakapogundua kuwa katiba mpya ndio iunde tume huru sio hii, hata ikipigwa kiraka wataweka kiraka chenye rangi ya kijani
 
WAJUMBE, HAWA WAJUMBE HAWA NDUGU ZANGU TUWAANGALIE VIZURI, TUNAWEZA KULIA KATIBA MPYA KUMBE YANAYOTOKEA SIO YANAYOTARAJIWA.
 
Back
Top Bottom