Karibu nikuuzie M.2 SSD kwa Ofa ya Mwaka mpya

Mpinzire

JF-Expert Member
Jan 18, 2013
7,224
12,946
Ni Ofa ya mwaka mpya na mambo mazuri kwa bei poa kabisa.

Ni Adata Legend M.2 SSD Mpya kabisa kwa Tsh 150,000/= kila moja.

IMG20221231131654.jpg

Description
● PCIe Gen3 x4 interface
● Fast read/write performance
● Heat sink keeps things 15% cooler
● Great upgrade option for creators
● High capacities
● Supports NVMe 1.3
● LDPC & AES 256-bit encryption
● 5-year warranty

Tuwasiliane kwa +255622901670 Location: Kariakoo Dar es Salaam.
karibuni sana
 
Ni Ofa ya mwaka mpya na mambo mazuri kwa bei poa kabisa.

Ni Adata Legend M.2 SSD Mpya kabisa kwa Tsh 150,000/= kila moja.

View attachment 2466319
Description
● PCIe Gen3 x4 interface
● Fast read/write performance
● Heat sink keeps things 15% cooler
● Great upgrade option for creators
● High capacities
● Supports NVMe 1.3
● LDPC & AES 256-bit encryption
● 5-year warranty

Tuwasiliane kwa +255622901670 Location: Kariakoo Dar es Salaam.
karibuni sana
Hizi SSD zimeshashuka bei kiasi hiki, wow finally ntatafuta laptop yenye SSD niweke
 
Hio ni mfano wa Hard Disk Drive za computer sema yenyewe haina moving parts inaitwa SOLID STATE DRIVE. Inafanya kazi kama Memory card tu kwenye simu sema yenyewe inakupa memory kubwa sana mahususi kwa computer.
Nashukuru mkuu kwa kunitoa tongotongo.Nimeona inakuwa plugged kwenye PCI slot.Kwa hiyo tuseme ni Storage Device
 
Vizuri kabisa na latest pc zinakuja na hio pre-installed hazina hard drive.
Dah hii ni habari njema hard disk huwa kuna terminology wanaitumia nadhani kumaanisha life span yake toka imetengenezwa mpaka inakufa tunaita MTBF(Mean Time Between Failure.Huwezi Predict lini hasa itakufa mimi nimekuwa muhanga wa hili.Nimepoteza sana Data.Pengine kwenye hii kitu kuna some Improvement
 
Hii ndio muarobaini wa kupoteza data, haifi haraka hata kama ukiangusha pc. SSD+Cloud Storage ni Timeless.
 
Back
Top Bottom