mpya

  1. S

    Hujuma za SGR ni mbinu mpya ya kuuza kwa Mwarabu

    Mambo yanayoendelea SGR ya wananchi kulalamikia huduma ni mchezo unatengenezwa ili Serikali ije na maelezo kuwa TRC haiwezi kusimamia SGR hivyo Serikali imepata mwekezaji atakayeendesha kwa ufanisi na hapo ndipo mali ya umma itakapouzwa kwa bei poa kwa mwarabu. Huyu mwarabu anakuwa kama kivuli...
  2. Majambazi yameua alafu yamejiundia tume kujichunguza wananchi mlipsaswa kuandamana mkesha wa mwaka mpya kupinga huu upuuzi

    Majambazi yame uwa alafu yamejiundia tume kujichunguza wananchi mlipsaswa kuandamana mkesha wa mwaka mpya kupinga huu upuuzi
  3. Tunaingia mwaka mpya huku mtu akiwa ameuwa maelfu ya watanzania wenzake sio hivyo tu amewasingizia watoto wadogo wa miaka 13 uhaini

    Tunaingia mwaka mpya huku mtu akiwa ameuwa maelfu ya watanzania wenzake sio hivyo tu amewasingizia watoto wadogo wa miaka 13 uhaini. Sio hivyo tu amewafunga wababa wa watu wakina polepole kinyume cha sheria kwa hirq zake.
  4. Bajaji zinauzwa used na mpya

    Uzi huu ni maalumu kwa kupost bajaji, pikipiki na magari yanayouzwa..... Bajaji numbe ELV Ipo dar es salaam inauzwa Tsh. 7.5mil.
  5. T

    Ajira mpya kada mbalimbali

    Ukihutaji msaada wasiliana na 0623446608
  6. Huwa unaweka malengo kabla ya kuanza mwaka, au baada ya mwaka mpya?

    Watu wengi hutofautiana katika namna ya kujiwekea malengo—wapo wanaoanza kupanga kabla mwaka haujaisha, wakitumia muda kutafakari yaliyopita na kujipanga mapema, na wapo wanaosubiri Mwaka Mpya uanze ndipo waanze kuandika malengo yao. Wewe uko upande upi, na ni nini kinakusaidia zaidi kufanikisha...
  7. Ajira Mpya Uhamiaji Tangazo La 29 Desemba 2025

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI IDARA YA UHAMIAJI TANGAZO LA AJIRA Kamishna Jenerali wa Uhamiaji kwa Mamlaka niliyonayo chini ya Kanuni Namba 11(1) ya Kanuni za Uendeshaji za Uhamiaji za Mwaka 2018, natangaza nafasi za Ajira Mpya za Konstebo wa Uhamiaji kwa...
  8. K

    Vita mpya yanukia dhidi ya Iran. Ikitokea itakuwa ya mda mrefu au mfupi?

    Iran imekua ikifanya mazoezi ya kijeshi ya makombora na drones kufikia wiki ya pili hadi sasa. Duru ya Times of Israel inaeleza kuwa serikali ya Tel Aviv inalalama kuwa mazoezi haya ya Iran ni tishio kwa usalama wa Israel na inaonekana Iran amerejesha uwezo wake wa makombora zaidi ya mwanzo...
  9. Karibuni kusikiliza EP yangu mpya, inaitwa STREET CODES

    Habari wana Jamiiforums, Karibuni kusikiliza EP yangu mpya niliyotengeneza Kwa AI inaitwa Street codes, Ngoma Karibu zote ni melodic rap Track 1: Hustle everyday Track 2: life is simple Track 3: Nipe kazi bro Track 4: kitaa kinaongea Track 5 : Sibanaba Track 6 : Usiwe mzembe
  10. L

    Salaam za X-Mass na Mwaka Mpya 2026

    Wanabodi, Mliokaribu na Mh. Rais Dr. Samia Suluhu Hassan kipenzi cha watanzania wenye nia Njema na Taifa tunayempenda, Tunaomba kwa heshima na tahadhima tuweze kupata salamu kutoka kwake za Kheri ya X-Mass na Mwaka Mpya 2026 uliojaa kheri na fanaka tele. Ni hayo tu, tuendelee kumuombea Dua...
  11. Mwaka 2026 katika numerolojia: Mwanzo mpya na nyota ya matumaini

    Katika numerolojia namba ndiyo siri na nguvu itawalayo maisha kama nilivyowahi kuandika juu ya mwaka 2025 ni njia ile ile ninayoitumia kuhesabu mwaka wa 2026: 2 + 0 + 2 + 6 = 10, na kisha jumlisha tena: 1 + 0 = 1. (Kwa sababu lengo ni kupata namba ukiwa katika dijiti moja "single digit") Kwa...
  12. K

    Katiba mpya isiweke masharti ya mgombea mwenza

    Tumepita wakati wa kulazimisha mgombea mweza kutoka upande wa bara au visiwani. Tuweke uhuru wa wagombea kuchagua mgombea mwenza bila ubaguzi wowote au kulazimishwa na sheria. Hakuna sababu yeyote tena ya msingi baada ya miaka 60 hatuhitaji upendeleo wowote tena tunahitaji watu makini bila...
  13. Katika umri huu najitahidi sana angalau kila wiki niangalie movie moja mpya! Katika soko la china hii movie ndo the best kwangu

    Epiphyllum Dream: hii movie ina story line bora sana katika movie zote za china nlizowahi kuziona, Sjajua mtunzi na director ni nani ila walifanya kazi moja kubwa sana hapa, japo ni ya mda kidogo
  14. Huu ni muda muafaka wa kuja na Sera mpya ya ulinzi dhidi ya uvamizi wa kikoloni!

    Toka kabla ya Uhuru mababu zetu walipambana dhidi ya mikakati na madhila yaliyoletwa na mabeberu kuja kutawala na kubeba mali na rasilimali zetu kwa njia za kibabe au ulaghai. Somo nililojifunza ni kuwa kwao wao mabeberu kuchukua au kunyang'anya rasilimali zetu ili wao na vizazi vyao waweze...
  15. Naombeni playlist ya nyimbo za kusindikizia sikukuu ya Christmas & Mwaka mpya

    Miondoko yote. Afrobeats, Gospel mix, Gospel Catholic, amapiano, 3 Step's, R&B's, n.k.
  16. W

    Nay Wa Mitego awashukuru Watanzania kwa kuufanya wimbo wake mpya kuwa No. 1 trending, awasifu kwa misimamo na umoja

    Msanii Nay wa Mitego kupitia ukurasa wake wa Insta ameeleza hayo hii ikiwa ni katika kipindi amabacho wananchi wanajitahidi kuwawajibisha wasanii waliokataa kusimama nao kipindi cha matatizo. Nay ameanika; "Watanzania Wa Sasa Sio Watu Wa Kuchezea Wana Maamuzi , Wana Misimamo Na Umoja✊. Jana...
  17. Mzigo mpya umeingia karibuni

    Wakuu mzigo mpya huu sokoni karibuni
  18. L

    TRA imeanzisha Mfumo Mpya Unaitwa IDRAS

    Ndugu Mjasiriamali habari, Kwa miaka kadhaa tumekua tukipiga kelele TRA irahisishe huduma zake ziwe kama za Brela na Tausi maana struggle ilikua ni kubwa. TRA wameanzisha mfumo unaitwa IDRAS ambao ni mfumo unaokuwezesha -kusajili Kampuni yako TRA -Kupata TIN certificate -Kufanya Tax clearance...
  19. S

    PostGE2025 PICHA: Hii ndio Ambulance mpya ya Mbunge Sara Msafiri aliyoikabidhi kituo cha Afya Mziha, Yeye amshukuru sana Rais Samia

    MBUNGE SARA MSAFIRI AKABIDHI AMBULANCE KITUO CHA AFYA MZIHA Mbunge wa Jimbo la Mvomero, Mheshimiwa Sara Msafiri, amekabidhi rasmi gari la wagonjwa (ambulance) kwa Kituo cha Afya Mziha, huku akitoa maagizo mazito kwa uongozi wa kituo hicho kuhakikisha gari hilo linatumika kikamilifu kwa lengo la...
  20. JWT yampata mwenyekiti mpya wa wafanyabiashara

    Jumuiya ya Wafanyabiashara Tanzania (JWT) imefanya Uchaguzi wa Viongozi wa Kitaifa kwa nafasi za juu, ambapo aliyekuwa Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo kwa kipindi kilichomalizika, Bw. Hamisi Abdallah Livembe, amechaguliwa tena kuendelea kushika nafasi ya Mwenyekiti. Uchaguzi huo umefanyika tarehe 15...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…