mpya

  1. U

    JamiiForums Tanzania Naim Qassem ateuliwa kuwa Kiongozi Mkuu wa kikundi cha kigaidi Hezbollah

    Wadau hamjamboni nyote? Kikundi cha Lebanon, Hezbollah, kimesema kuwa kimechagua Naibu Kiongozi Naim Qassem kuwa Hassan Nasrallah, aliyeteketezwa na shambulizi la angani la Israeli mnamo Septemba 27. Katika taarifa yake, Hezbollah ilisema kuwa Baraza lake la Shura lilimchagua Qassem, mwenye...
  2. JamiiForums Tanzania Kocha gani anafaa kurithi mikoba ya Ten Hug pale Manchester United?

    Wana Man Utd, Xavi au Nagelsmann yupi anafaa kuwa kocha mpya wa Man Utd? Kipara ngoto kashaondoka. Yupi anayefaa? Pia soma > Erik Ten Hag atimuliwa Manchester United baada ya kipigo dhidi ya West Ham United
  3. JamiiForums Tanzania KERO Miezi mitatu nafuatilia Passport mpya, napigwa kalenda tu, ni kweli UHAMIAJI mmeishiwa material ya kuprinti Passport mpya?

    Nilianza kufanya mchakato wa maombi ya kupata Pasi ya Kusafiria kwa kufuata njia halali, awali nilienda Kibaha Mkoani Pwani, kuna staff mmoja wa pale akanishauri kuwa kama nina haraka nifanye mambi yangu mtandaoni kisha nielekeze nikachukue Passport yangu hiyo Dar es Salaam Nikafanya hivyo...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Utaratibu Mpya wa Mawaziri Kukagua na Kuzindua Miradi isiyo katika Wizara zao Hauwezi kuleta migogoro?

    Ndugu zangu Watanzania, Nimeona kwa siku za karibuni kuona Waziri au Mawaziri wakifanya kazi ya kukagua ama kuzindua ama kutembelea miradi isiyo chini ya wizara zao. Sasa katika utaratibu huu mpya nilikuwa na Maswali kadhaa ila leo nauliza machache. Je utaratibu huu hauwezi kuleta migogoro ya...
  5. JamiiForums Tanzania Kutoka Ndoto Kuweka Uhalisia: Jinsi Teknolojia Inavyosaidia Watu Kujifunza Stadi Mpya kwa Kucheza Michezo

    Tuko kwenye zama za kidijitali ambapo michezo ya video haipo tu kwa ajili ya kuburudisha. Zamani, ilikuwa kawaida kuona michezo ya video kama njia ya "kupoteza muda," lakini sasa, teknolojia imeleta mapinduzi makubwa – unaweza kujifunza stadi mpya kwa kucheza michezo! Fikiria hili, wewe...
  6. JamiiForums Tanzania Rasmi, Israel yathibitisha kumuua Hashem Saffiedine, kiongozi mpya wa Hezbollah aliyechaguliwa hivi karibuni

    Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) limetangaza kumuua Hashem Safieddine, kiongozi wa kidini aliyekuwa anatajwa kuwa mrithi wa Hassan Nasrallah, kiongozi wa Hezbollah. Kifo chake kilitokea kwenye shambulio la anga lililofanyika karibu na Beirut, Lebanon, takriban wiki tatu zilizopita. IDF...
  7. JamiiForums Tanzania INAUZWA Kuna Heavy duty balance scale tonnes 80 used na tonnes 60 new karibu sana

    Heavy Duty Scale Balance 1. 80 Tonnes (Used) - Tsh 76.3M 2. 60 Tonnes (New) - Tsh 81.75M Karibu
  8. JamiiForums Tanzania BRICS yafanya demo ya mfumo wa malipo kwa kadi (BRICS payment system cards) ikiwa ni maandalizi ya mfumo mpya wa malipo BRICS Pay

    Ni miaka miwili imepita sasa tangu umoja wa BRICS kuanza kusaka na kutafuta mfumo mbadala na huru wa wa malipo ya kifedha ambayo itatumika kufanya manunuzi na kulipia bidhaa mbali mbali baina ya nchi wanachama wa BRICS. Huu ni moja ya mpango kabambe wa kuondoa utegemezi wa mfumo wa kimagharibi...
  9. JamiiForums Tanzania Computer4Sale Nauza Laptop yangu mpya Lenovo ideal pad 3

    Kipi ni bora kati ya SSD na HDD
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kinara wa ODM, Raila Odinga Amezindua uongozi mpya wa chama hicho

    Raila Odinga ametoka kwenye uongozi wa chama cha ODM naona ni maandalizi ya kwenda AU hapo February 2025. Je ikitokea amekosa uenyikiti wa AU atarudi kwenye nafasi yake ya Kiongozi wa ODM au atabaki kama mshauri na mzee wa chama ? Salamu kwenu watu wa Sayansi ya Siasa.
  11. JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano wa dini zinazoweza kuja kuzipiku dini za Ukristo na Uislamu?

    Katika historia inaonyesha kabla ya Ukristo na Uislamu baadaye kulikwa na dini kubwa za maeneo mbalimbali lakini hazikuwa dini za kidunia kama Ukristo na Uislamu ambavyo zimekuwa dini za kidunia. Je kuna uwezekano zikaja dini nyingine zikapiku Ukristo na Uislamu na kuwa dini za kidunia au...
  12. B

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Tunauza Smart watch na Earpods zake Mpya kwa bei nafuu sana

    Jipatie Smart watch Original leo 1. Smart watch na earpods - unapata smart watch, earpods na mikanda yake saba yenye rangi tofauti tofauti kwa 55,000 tsh th 2. Smart watch mbili na mikanda yake mitano yenye rangi tofauti tofauti kwa 65,000 tsh tu 3. Smart watch na headphone hii na mikanda...
  13. JamiiForums Tanzania Sitashiriki chaguzi za serkali za mitaa wala serikali kuu mpaka KATIBA mpya yenye maoni yetu itakapothaminiwa.

    Tunataka Katiba Mpya,hatutaki uchafuzi tena kinachofanyika ni kiini macho. Waziri Mchengerwa hastahili kusimamia uchaguzi kutokana na kuwa mwanafamilia wa Rais ambaye ni mwenyekiti wa chama kinachowania serkali za mitaa na serkali kuu.
  14. JamiiForums Tanzania The power of AI, sasa unaweza kuwa unapata ngoma mpya kabisa za wasanii wako waliokwishakufa

    Hizo sauti za xxxtencion, juice world in Ai generated na ngoma kali https://www.youtube.com/watch?v=W41Zg2sxsOc Hata hiii ya xxtencion ni Ai generated https://www.youtube.com/watch?v=mvQBbPReWbo Technology iko kasi. AFadhali tuendelee kufaidi ngoma mpya
  15. N

    JamiiForums Tanzania Natafata mume, mwenye sifa hizi

    Mimi ni Binti mwenye umri wa miaka 30, Natafata mume, Sibagui umri wala kabila, Karibuni kwa mwenye kuhitaji mke aliyekamilika na anayempenda Mungu. Atakaewahi atapewa kipaumbele Tukutane PM
  16. Q

    JamiiForums Tanzania Hotel mpya na nzuri Dar es Salaam

    Naombeni kunitajia hotel nzurii na mpya za hivi karibuni hapa Dar es Salaam bei iwe affordable na sehemu iwe imetulia nawakilisha.
  17. JamiiForums Tanzania Mwekezaji wa Simba SC, Mohammed Dewji, Awaonesha Mashabiki Ramani Mpya ya Mo Simba Arena

    Mwekezaji wa Simba SC Mohammed Dewji (MO), amewaonesha Wapenzi na Mashabiki wa Simba ramani mpya ya Mo Simba Arena akisema huo ni mradi mkubwa ambao utaweka msingi wa mafanikio ya Club hiyo baadaye. Akiongea leo October 06,2024 kwenye Mkutano Mkuu wa Club hiyo, Mo Dewji amesema "Hii ni ramani...
  18. JamiiForums Tanzania Kocha mpya unaekuja wa United panga timu yako hivi ili umalize top 6

    Leo kipara ngoto anasepa.
  19. JamiiForums Tanzania Nauza Sabufa yangu. Ni mpya

    🔊 MziKi mNeNE 🔊 *Sabufa ni mpya, Ina wiki tatu tu tangu itoke dukani. Ina njia mbili za umeme, AC na DC, yaani inapiga kazi hata kwenye solar au betri tu ya gari au pikipiki. Ina Bluetooth FM Radio USB AUX Memory Card NOTE: Ipo na box lake na kila kitu chake, yaani waya zote na remote yake...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Naungana na Dkt. Lwaitama kuhusu Katiba Mpya

    Kwanza niwashukuru wale wate waliotoa mada na waliotoa maoni kwenye Kongamano lililopangwa na TLS. Ahsanteni sana. Kipekee naungana na wazo la Dr. Lwaitama kuwa ni muda muafaka suala la Katiba mpya lianze na wakati wa kuandika katiba hiyo wasijumuishwe Vyama vya Siasa na jukumu hili waachiwe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…