mpya

  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mary Baine ateuliwa kuwa Katibu Mtendaji Mpya wa Jukwaa la Usimamizi wa Kodi Afrika (ATAF)

    03 Juni 2025, Pretoria — Jukwaa la Usimamizi wa Kodi Barani Afrika (ATAF) lina furaha kutangaza uteuzi wa Bi. Mary Baine kuwa Katibu Mtendaji wake mpya, kuanzia tarehe 1 Julai 2025. Bi. Baine anachukua nafasi ya Bw. Logan Wort, ambaye ametumikia kama Katibu Mtendaji wa ATAF tangu kuanzishwa...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Ndugu Rhimo Simeon Nyansaho Mkurugenzi mpya PSSSF mtazame vizuri huyo mhasibu hapo ofisini

    Kwanza kabisa nikupongeze kwa kuamininiwa na mh. Rais kuisimamia taasisi hiyo nyeti inayohusika na maslahi ya watu wanaotaabika kwa miaka kibao. Kumekiepo na malalamiko dhidi ya mtangulizi wako kwani alishindwa aidha nguvu na hao watumishi wa ofisi au ilikua ni maelekezo yake. Mambo yalikua...
  3. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Kuanzishwe Kodi mpya ya Kusanyiko la watu

    Habari Tanzania !. Naomba kupendekeza wazo la kodi hasa toka chanzo kipya " KUSANYIKO LA WATU". Pawepo na utaratibu wa kutoza Kodi sehemu ambapo mtu au watu au taasisi wanaotaka kunufaika na Umma kwa namna yoyote ile walipe Kodi ya kusanyiko ili liwe chachu kwa taifa letu. Kukusanya watu...
  4. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ujenzi wa Shule Mpya 35 za Msingi na 148 za Sekondari Umefanyika Katika Maeneo Yasiyopimwa

    OR-TAMISEMI imekuwa ikitekeleza mradi wa BOOST ili kuimarisha upatikanaji sawa wa elimu bora katika shule za awali na msingi kote Tanzania Bara. OR- TAMISEMI inatekeleza pia Mradi wa Kuimarisha Elimu ya Sekondari (SEQUIP) wenye lengo la kuongeza upatikanaji wa elimu ya sekondari, kuweka...
  5. zaby toto

    JamiiForums Tanzania Mgeni mpya JF

    Hello wakubwa zangu Ninafuraha kujumuika katika jamii forum...letsay nikama mwenyeji maana nimeanza kufuatilia JF kwenye simu ndogo ya batani.. Naombeni muwe Nami jamani mgeni malikia.thanks for all
  6. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Hii kusema Chama kitaanza kutekeleza Mchakato Wa Katiba Mpya wakiingia Madarakani 2025-2030 ni uongo, kila muhula wanakuja na Uongo huu.. shituka wewe

    Swala la katiba Mpya lilianza kupigiwa kelele na kupamba moto toka enzi za Kikwete akaingia magufuli naye akasema yupo kwenye mchakato wa kukamilisha, Mzee Magufuli alahudumu miaka yake 5 akaaga Dunia, jambo hilo halikukamilika, badae akaingia Samia kwa Tiketi ya Magufuli akapalilia pale pale...
  7. Akhi

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Alphard mpya inauzwa

    Habari zenu ndugu zangu Kwa mtu ambae anahitaji Alphard (new model) ipo inauzwa unguja ata ukitaka kusafirisha Dar msaada utapata Bei ni 22M Karibuni
  8. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vipi maendeleo ya uwanja mpya wa Dodoma?

    Kuna jambo linanishangaza kidogo, embu tusaidiane. Kila siku naona ziara za kutembelea ujenzi wa uwanja mpya wa Arusha, ila sijawahi kuona wala kusikia maendeleo ya uwanja mpya wa Dodoma. Je, uwanja huo haupo katika plan za AFCON? Pia nina wasiwasi sana hizi ziara za uwanja wa Arusha...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais wa TFF, Karia aipongeza Kamati mpya ya Waamuzi Mpira wa Miguu, ahimiza Weledi

    Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia ameipongeza Kamati mpya ya Utendaji ya Chama cha Waamuzi wa Mpira wa Miguu Tanzania (FRAT) inayoongozwa na Emmanuel Chaula, iliyochaguliwa leo Mei 30,2025 katika ukumbi wa Maktaba jijini Tanga.
  10. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kauli mbiu mpya ya CCM ina maana gani?

    Maana ya kazi nimeelewa , ila UTU ndio sijaelewa.
  11. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ukisikia yaliyomo kwenye ilani ya mpya ya CCM 2025 to 2030 ni kama wimbo wa profesa Jay ndio mzee

    1. Dar es salaam kujengwa tren ya chini ya aridhi kupunguza foreni hii ni sawa na mabomba kutoa maziwa nchi nzima, kwani mwendo kasi tu tunaona unavyopumulia pua je hiyo treni. 2. Kujengwa viwanda kila mkoa na kila mtaa haaa haaa hii sawa na ile wanafunzi wa vyuo vikuu kufanya practical...
  12. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Silaha mpya ya kutisha inayobadilisha vita nchini Ukraine

    Harufu kali imetanda kwenye mji wa Rodynske. Dakika chache baada ya kuingia mjini, tunatazama inatoka wapi. Bomu lenye uzito wa kilo 250 liliharibu jengo kuu la utawala la jiji hilo na kutandaza vyumba vitatu vya ghorofa. Tumewasili eneo hilo siku moja baada ya bomu kupigwa, lakini moshi bado...
  13. mbozimbozi kumwitu

    JamiiForums Tanzania Jamani haya ndio maswali kutoka mtaala mpya?.

    Kwa elimu yetu ya kibongo na shule zetu za st kayumba ambazo mara nyingi ukute shule Haina mabechi ya kutosha,mara madarasa hayatoshi,mara wazazi wachangie Hera za mitihani na kuanda report sijui km mtoto wa darasa la kwanza anaweza kujibu swali Hilo hapo.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Bila fedha , No reform, no katiba mpya , No kikomo ufisadi, Bora CHADEMA watoe ahadi ya kukabidhi Madini yote kwa marekani , Ili msaada upatikane.

    Kwasababu sasa nchi ishakuwa na inequality, watu wachache wanakandamiza wengi, katiba mbovu, ufisadi wa kuwanufaisha watu wachache wa CCM, Kutumia dola kuumiza raia, utawala wa kiimla, kujiweka madarakani, hii Tanzania sasa imekuwa ni nchi ya kikundi cha watu wachache. Na kwasababu wameshikilia...
  15. mzeemkavu

    JamiiForums Tanzania Nauza Home appliances & Kitchen appliance kwa bei nafuu sana!

    Tunauza bidhaa Bora & Original kwa Bei nafuu sana!! Tunakusaidia Kujua bidhaa Original na zenye Ubora kwa hali Ya Juu sana! mawasilino zaidi Mimi nauza online(winga) sina duka. soko la electronics nalijua vizuri sana huduma ya usafiri bure ndani ya dar yote na bei zangu ni ndogo sana bidhaa...
  16. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Budget ya 500k-700k Samsung mpya version ipi nzuri camera quality,betri chaji mda mrefu,fast charging

    Habar wakuu nataka kuhama kutoka kwenye Xiaomi kuja sumsung ,naombeni msaada wenu nitoleo jipi hasa matoleo mapya naweza pata Samsung yenye camera quality,betri kukaa na chaji mda mrefu,na iwe fast charging na je maduka Gani Hasa kariakoo napata mpya fullbox,
  17. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Borussia Dortmund kama Yanga, wapata mdhamini mpya lakini hawataki rangi nyekundu ya mdhamini huyo

    Klabu ya Borussia Dortmund ya Ujerumani imepata mdhamini mpya ambao ni kampuni ya Vodafone. Kampuni hiyo hutumia rangi nyekundu. Sasa Dortmund wamegomea rangi hizo nyekundu za mdhamini na kuwataka watumie rangi ya njano kama ilivyo jezi yao. Ikumbukwe rangi nyekundu waliogomea Dortmund huwa...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Gwajima ni Ndesamburo mpya hazuiliki

    Marehemu Ndesamburo alikuwa hazuiliki kwasababu alikuwa tajiri na pesa yake haikutegemea serikali alikuwa na viwanda muhimu na biashara za utalii pesa yake ilikuwa ndefu huwezi kuizuia na nyingine inabaki huko huko wanakotoka wazungu wageni wake Gwajima anapesa kwanza za kanisa na misaada...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni dini mpya

    Viongozi wote wa Kiafrika wakubali wakaungana na kusimama katika mshikamano watafanikiwa kuwakomboa watu wao wanaoishi katika umaskini. Waafrika wote wanahitaji kuungana tena na kuacha kuruhusu Magharibi kudhibiti utajiri wa Afrika. Viingozi wa Afrika yote mnahitaji ka kudhibiti utajiri wa...
  20. Fbn

    JamiiForums Tanzania Joseph Kabila Ajitangaza Rasmi kama M23 vita Mpya inakuja DRC

    https://www.youtube.com/watch?v=IntpG2fhmAE
Back
Top Bottom