mpya

  1. J

    JamiiForums Tanzania Mpya: Askari polisi wa kituo cha Mbalizi Mbeya wafanya Ibada kituoni kuomba Mungu atuepushie janga la Corona

    Askari polisi wa kituo cha Mbalizi mkoani Mbeya leo wamefanya Ibada kituoni hapo kutimiza maelekezo ya Rais Magufuli ya kufanya maombi dhidi ya ugonjwa wa Covid 19. Ibada hiyo iliongozwa na mkuu wa kituo afande Lusekelo na kuhudhuriwa na mkuu wa wilaya. Source ITV habari. My take; Tukio hili...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi wakati wa Katiba ya mwaka 1977, na mchakato wa katiba mpya 2011-2014 uchumi ulikuwa imara kiasi gani?

    Ndugu wanajamvi kuendana na kichwa changu cha habari, najaribu kuuliza uimara wa kiuchumi uliokuwepo 1977 wakati tunapata katiba hii, na uimara wa uchumi uliokuwepo 2011-2014 wakati wa mchakato wa katiba mpya chini ya rasimu ya Warioba? Kuna lugha tuliyopewa siku mbili hizi na serikali kuwa...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Manispaa ya Dodoma, utaratibu huu mpya wa kuomba fremu za biashara katika stendi mpya ya mabasi na soko jipya unastahili pongezi

    HALMASHAURI ya jiji la Dodoma imezindua mfumo rasmi kwa njia ya mtandao ambao utatumika kila mwananchi kujaza fomu ya maombi ya kupata kibanda cha biashara katika miradi ya soko kuu la Job Ndugai pamoja na stendi kuu iliyopo Nzyuguni ikiwa ni jitihada za kupambana na ugonjwa wa COVID-19. Hayo...
  4. JamiiForums Tanzania Nahitaji HP Desktop Mpya

    Naitaji Desktop Mpya yenye Specifications za kisasa kabisa na window 10 genuine. Kioo cha inch 14 CPU i7 Microsoft Office DVD room Ram 8gm Kwa mtu yeyote mwenye nayo ani- DM
  5. K

    JamiiForums Tanzania CHINA DASHENG BANK (CDBL), Benki mpya inayotishia soko.

    Taarifa za fedha za mabenki kwa robo ya tatu ya mwaka 2019 zimetolewa kuanzia mwezi wa tisa mwishoni na mwezi wa kumi katika vyombo mbalimbali vya habari hasa magazeti kama ambavyo kanuni ya mabenki na taasisi za fedha ya mwaka 2014 inaelekeza. Kiujumla kumekuwa na kupanda kwa faida kwa mabenki...
  6. JamiiForums Tanzania Msanii mpya wa WCB (Zuchu) ni sifuri

    Diamond ametuletea msanii gani? Yani haka kasichana kanakoitwa Zuchu kweli ndio kaje kushindana kwenye hili soko lenye waimbaji mahiri wa kike kama Nandy, Ruby, Maua Sama, Vanessa, Jide na wakali wengine wa kike wa hapa bongo? Kweli? Kwa sauti ile? Pengine kwa kuwa ni mtoto wa yule mama ndio...
  7. K

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Tablet mpya

    Galaxy Tab A mpya haijatumika inauzwa 32GB storage, 2GB RAM na 8MP rear na 5MP selfie. Bei ni 450k Mpya kabisa Location : Ilala, Dar es salaam Mawasiliano: 0759007696(WhatsApp) 0712625416(normal) Karibu jipatie
  8. JamiiForums Tanzania BoT yatangaza Noti mpya

    Kuanzia Sasa kutakuwa na maboresho katika noti zetu hapa Tz, Kama zinavyojieleza kwenye picha.Source BOT. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. JamiiForums Tanzania Ushauri mpya kuhusu uvaaji wa Barakoa (Masks) kujikinga na maambukizi ya Covid-19: Tujielimishe ili tuamue vema

    Ushauri wa barakoa na mkanganyiko wake Jana Marekani na Uingereza, ambazo ni nchi zenye nguvu kiuchumi na kuongoza katika ugunduzi na tafiti za kisayansi, zimetoa kauli zinazokinzana kuhusu uvaaji wa barakoa (masks) kama njia ya kujikinga na maambukizi ya ugonjwa wa Corona kwa mtu ambaye...
  10. JamiiForums Tanzania Tunauza pochi mpya zenye watoto

    Wauzaji wa pochi mpya zenye watoto kuanzia sh elfu 40 tuu. Tunapatikana Tegeta Dar na popote tunadeliver. Ukihitaji tupigie/whatsapp 0714 191 429. Picha za pochi zitapostiwa kadiri thread inavyoendelea. Karibuni.
  11. JamiiForums Tanzania Wito: CJ Prof. Ibrahim Juma, make a historia kwa Mahakama kutimiza wajibu wake kulinda haki. Tumia Suo Moto kui-check Serikali pia ruhusu Pro Bono

    Wanabodi Samahani. Naomba kuanza na kuomba msamaha kwa kutumia maneno ambayo sio ya lugha ya Kiswahili wala lugha ya Kiingereza bali ni maneno ya lugha ya Kilatini kwasababu sikijui Kiswahili chake, wala Kiingereza chake, ni maneno ambayo yanafundishwa hivyo hivyo. Imani Kubwa na Jaji Mkuu wa...
  12. JamiiForums Tanzania Israel: Mahakama yaamuru Bunge lifanye uchaguzi wa Spika mpya bila kisingizio cha Corona

    Mahakama ya juu nchini Israel imeamuru spika wa bunge aandae uchaguzi wa mrithi wake kufikia Jumatano ijayo, amri inayoongeza mkwamo uliopo kati ya wapinzani na wanaomuunga mkono waziri mkuu Benjamin Netanyahu. Spika wa sasa Yuli Edelstein wa chama cha Likud cha Netanyahu alikuwa amepuuzilia...
  13. JamiiForums Tanzania Meya mpya wa Arusha anapatikana?

    Kwa wale wajuzi wa serikali za mitaa, ninaomba kujua kama sheria zinaruhusu kupata Mwenyekiti mwingine kwa muda uliobaki baada ya yule aliyekuwa Mwenyekiti kuunga juhudi. Mwenye majibu yeyote ya kufanyika uchaguzi au kutokufanyika ninaomba anisaidie na vifungu vya sheria vinavyosapoti hoja...
  14. JamiiForums Tanzania Tetesi: Virusi vya corona silaha mpya ya kibaiolojia toka Marekani

    Ukiwa unakimbizwa na mbwa wewe rusha mifupa nyuma tu,wakiwa bize kugombea ww tayari unachanja mbuga. Hii ni moja ya mbinu mpya kabisa ambazo ni ngumu kujulikana na kila mtu. Lengo la US ni kumdhoofisha Mchina kiuchumi baada ya kuona anakuja juu kama moto wa kifuu. Kirusi icho inasemekana...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo teknolojia mpya zinavyoua biashara kubwa na jinsi ya kuzuia biashara yako isife kwa mabadiliko ya teknolojia

    Maendeleo ya teknolojia yanatokea kwa kasi kubwa sana. Lakini kasi hii ya maendeleo na ukuaji wa teknolojia, pamoja na kuwa na manufaa kwa watumiaji wake wa mwisho, yamekuwa na maumivu makubwa kwa makampuni makubwa yaliyo kwenye sekta ambayo teknolojia mpya inaingia. Kuna mifano mingi sana...
  16. JamiiForums Tanzania INAUZWA Machine ya kukoroga sabuni za maji inauzwa

    Machine ya kukoroga sabuni za Maji inauzwa. Ina uwezo wa kukoroha Lita 200 kila dk,15 bei ni sh million 5 tu. Sema nami namba hizo: 0784692584: 0715888376 welcome.
  17. N

    JamiiForums Tanzania CARTOON: Hakika nchi imefika mahali pazuri mno. Katuni mpya ya Gado imemaliza kila kitu. Magufuli for Life

    Kama una nyongeza ongezea mwenyewe.
  18. JamiiForums Tanzania Hii ndiyo njia mpya ya kuzika mwili wako au wa ndugu yako

    Kampuni moja ya Marekani imetoa taarifa za kina kuhusu namna ya kuzika mtu kwa njia ambayo ni rafiki kwa mazingira. Utafiti wa majaribio ulifanyiwa maiti za watu walitoa idhini kabla ya wao kufa, umeonesha kwamba tishu laini mwilini huvunjika vunjika kwa njia salama na kuoza kabisa baada ya siku...
  19. JamiiForums Tanzania Mkakati mpya wa kivita kwa kutumia Drones umesambaratisha vikosi vya Syria Idlib

    Battle for Idlib: Turkey's drones and a new way of war Turkish forces destroyed two Syrian Su-24 fighter jets, two drones, 135 tanks, and five air defence systems and "neutralised" more than 2,500 fighters loyal to the Syrian government. The term neutralised is used for the killing, wounding...
  20. JamiiForums Tanzania Natafuta Samsung mpya kwa Dodoma

    Habarini za muda huu, naomba kujuzwa ni duka gani Dodoma, morogoro au iringa na weza kupata simu za samsang s10+,S20 na S20+. Kwa moja ya mikoa twajwa ,shukran kwa details n PM.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…