mpya

  1. JamiiForums Tanzania Baada ya utata wa ndoa mpya ya Mrema, je, ni kweli ndoa zinaruhusiwa Kipindi cha Kwaresma?

    Baada ya mzee Lyatonga Mrema kufunga ndoa mpya Machi 24, 2022 mitandaoni kukaibuka maneno mengi kuwa inakuwaje mwanasiasa huyo mkongwe anafunga ndoa wakati wa kipindi cha mfumo wa Kwaresma, imebidi niingine chimbo kutafuta majibu. MDAU WA KWANZA (KATEKISTA) Kwanza kabisa nimewasiliana na...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan, umesahau Watanzania wanaitaka Katiba Mpya au ni hofu tu?

    “Rais Samia Suluhu Hassan, umesahau watanzania wanaitaka katiba mpya au ni hofu tu?” Katika nchi yoyote, msingi wa uendeshaji wa nchi unategemea Katiba. Katiba ni sheria kuu/sheria mama katika nchi yoyote. Sheria nyingine zote zinategemea au zinatungwa kwa mujibu wa Katiba. Wakati mwingine...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Lissu atoa msimamo rasmi dhidi ya Rais Samia, Zitto Kabwe, Katiba Mpya na ACT Wazalendo

    Wanabodi, sehemu ya mazungumzo ya fuatayo ni msimamo wa Lissu dhidi ya watu husika na mambo tajwa hapo juu. Mengi amewahi kuonya ama kuyaweka bayana na yakajiri, alikuwa wa kwanza kusema wazi wazi Magufuli ni dikteta na Rais wa ajabu, akasema kuhusu watu wasiojulikana na mauaji ya...
  4. JamiiForums Tanzania Kibonzo cha Gado, ni Rais Samia na Katiba Mpya

    Alipoingia madarakani hali ya hewa ilikua shwari sasa katiba mpya inamletea maumivu ya kichwa.
  5. JamiiForums Tanzania Kutana na maoni ya kushangaza ya Katiba mpya kama yalivyokusanywa na Tume ya Warioba

    Una lipi la kusema?
  6. JamiiForums Tanzania Inashangaza kusikia Nyati na Pundamilia wakidai Katiba Mpya mbugani

    Kwema! Nikiwa pale Mbuga ya Mikumi nilishangazwa na habari niliyoikuta pale. Muongoza watalii alikuwa akitupa simulizi ya vuguvugu linaloendelea hapo mbugani. Stori yenyewe Imakaa hivi; Hapo Mikumi Nyati na Pundamilia wanataka Mabadiliko ya kimfumo, wanataka Katiba mpya itayaolinda maslahi ya...
  7. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais Samia: Kuliko kusitisha rasmi mchakato wa Katiba Mpya ni bora ungeuanzisha uendelee walau kwa muda mrefu

    Baada ya jana kupokea ile taarifa ya KAMATI ambayo KWA mawazo yangu wanakamati wameandika kile unachopenda kusikia na kukiona nikaona ni bora nikuandikie KWA mara nyingine KWA mstakabali wa afya ya siasa zako Baada ya kushika hatamu. Ni bora jana ungezindua rasmi mchakato wa katiba mpya na...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: Tuungane kuidai ni haki yetu

    Pamoja na hatua zote zinazoweza kuchukuliwa dhidi ya mapendekezo batili ya akina Mukandara, tupanue wigo. Walisema umoja ni nguvu. Kwa hakika wananchi wanataka katiba mpya na wako pote. Wako CCM, NCCR, CHADEMA, nk na wengine hata vyama hawana. Shughuli hii inahitaji watu, tena...
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania yafatilia uwapo wa aina mpya ya kirusi cha UVIKO-19

    Waziri wa Afya nchini Tanzania , Ummy Mwalimu, amesema serikali ya nchi hiyo inafuatilia uwapo wa aina mpya ya kirusi cha UVIKO-19 kilichothibitishwa na Shirika la Afya Duniani (WHO). Alisema kirusi hicho, kinajumuisha kirusi cha Delta na Omicron, ambacho kimejiunda na kuwa kirusi kipya cha...
  10. JamiiForums Tanzania Ni kweli Watanzania wanahitaji Katiba Mpya?

    Ni kweli watanzania wanahitaji katiba mpya? Kabla ya kuanza kutekeleza hitaji la katiba mpya, ni lazima tujue watanzania wangapi ni wahanga wa katiba ya Sasa. Tukishajua wako wangapi ni lazima pia tujue pia muamko wao pia. Kupitia muamko huo, tutapata kujua uelewa wao wa katiba iliyopo...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya si kwa Utashi wa Zitto, Mukandara wala Samia

    Nchi si shamba la bibi. Katika nchi, yote ni kwa mujibu wa katiba. Kwa mujibu wa katiba, sote tuna haki sawa ambapo uamuzi ni kwa kura. Kura moja kwa mtu. Si Samia, Zitto, Mukandara, Dr. Hosea au awaye yote kwamba wanaweza kujimilikisha mustakabala wa msingi wa nchi hii. Labda kama wanataka...
  12. JamiiForums Tanzania Kikosi Kazi: Tanzania ianze mchakato wa kupata Katiba Mpya baada ya Uchaguzi Mkuu 2025

    Kikosi kazi cha kuratibu maoni ya wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya siasa kilichoundwa na Rais Samia Suluhu leo kinawasilisha taarifa ya yake na mapendezo kwa Rais Ikulu, Dar es Salaam. Kikosi kazi chini ya mwenyekiti wake, Rewakaza Mkandala kimependekeza Tanzania ianze mchakato wa kupata...
  13. JamiiForums Tanzania Hii nchi kila siku upigaji unaibuka mpya

    Naona siku hizi utapeli umehamia kwenye kuagiza mizigo na upatu. Hapa utakuta mtu na akili zake anatoa ela halafu baadae anadai kapigwa. Wonders shall never end.
  14. JamiiForums Tanzania Naiona Tanzania mpya kupitia Rais Samia Suluhu

    Wakuu kwanza nikiri kabsa kwamba mwanzo kabsa wakati mama anakabidhiwa kijiti nilikua side yake kutokana na namna alivokua anaupiga mwingi lkn badae nkaona kama anaanza kupoteza nafas za waz kabsa za kufunga hvo nikaanza kujitoa taratibu upande wake nikabaki kuwa mtazamaji tuu ila kama...
  15. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo wanapodai Tumehuru kabla ya Katiba mpya nia yao ni kumsaidia swahiba wao

  16. JamiiForums Tanzania Taifa halina budi kumuandaa Magufuli Mpya

    Tukiadhimisha mwaka mmoja wa kumpoteza Jemedari mwenye uthubutu hususani uthubutu dhidi ya wakoloni mamboleo kama Taifa tunapaswa kumuandaa "Magufuli " wa Pili. Inaeleweka wazi kuwa The legend JPM alisimama imara na kwa kujitolea uhai wake kwa watanzania ili tufanikiwe. Kamwe walami hawawaezi...
  17. JamiiForums Tanzania Emoji mpya za mwanaume kubeba mimba kwenye ios 15.4, ushoga unazidi kupromotiwa

    Hawa wazungu ni wapuuzi sana, sasa hivi wameleta emoji mpya kwenye simu ambazo zinaonekana wanaume wamebeba mimba. Naona agenda ya kutangaza ushoga inazidi kushika kasi, tunaelekea wapi?
  18. A

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Harufu ya rushwa kuelekea ugawaji wa fremu stendi mpya ya mabasi Nyamhongolo (mkoani Mwanza)

    Wanajamvi, Habari zenu. Moja kwa moja kwenye mada. Ni kama wiki imepita tangu mkuu wa mkoa( mhandisi Gabriel) alipo fika stendi mpya ya mabasi iliyoko nyamhongolo kwa ajili ya makabidhiano kati ya mkoa na mkandarasi. Wakati wa makabidhiano mkuu wa mkoa aligusia mchakato wa wilaya husika ya...
  19. Q

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila Mkumbo: Tangu 2014 tulishakubaliana kuwa na Katiba Mpya, kilichobaki ni utekelezaji

    "Tulishakubaliana kama nchi kuwa tunataka Katiba Mpya tangu mwaka 2014 ndiyo maana tukaanzisha mchakato wa Katiba na kupata Katiba inayopendekezwa, tunachopaswa kuzungumza kwa sasa ni nili tunaendelea na mchakato na siyo kurudisha mambo nyuma" Mbunge wa Ubungo Prof. @kitilam.
  20. JamiiForums Tanzania INAUZWA Printer MFP Canon IR 2425 Mpya at discount price

    Habari wadau, Nauza printer ambayo ni photocopier pia, Model Canon IR 2425, Ina print, copy na Scan. Ina uwezo wa kuunganishwa kwa Network, Bei ni 2 million kamili. Ipo Dar es salaam. Dukani mpya ina range 2.4m Sababu ya kuuza ni order ilikuwa tofauti na ilivyohitajika. Hivyo ni ipo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…