mpira

  1. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Pesa ni kama mpira, always unatembea (Somo muhimu la mwisho wa mwezi)

    Juma Mgunda ana msemo wake mzuri sana. Anakuambia 'Ball itembee'. Na ukichunguza ni kweli bana, ball ama mpira, muda wote huwa unatembea. Vivo hivyo, pesa kama ball tu, huwa ina kawaida ya kutembea. Ukiwa na pesa mfukoni lazima kutatokea sababu ya kuitumia hiyo pesa kwa sababu pesa siku zote...
  2. adriz de mbusii

    JamiiForums Tanzania Wabongo wanakera sana tabia ya kusikiliza mpira redioni kibanda umiza wakati mechi inaendelea

    Moja kwa moja. Inakera sana unakuta upo kibanda umiza mnaangalia mechi mtu anaanza kushangilia goli kabla ya mpira kuingia wavuni au mtu anahadithia tukio la mbele kabla kutokea wakati mechi inaendelea. Watu wa namna hii nashinda kuwatafsiri kichwani mwao kupo vipi, natamani niwatandike makofi...
  3. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Saa 11 jioni siyo muda sahihi wa kuanza mechi ya mpira

    Nimefuatilia kuhusu mechi ya kesho ya Simba na Yanga, nimesikia mechi inatakiwa kuanza saa 11:00 jioni. Najua hata huko nyuma, kuna mechi kadhaa zilianza muda huo ila naona hili ni kosa la kiufundi. Mechi ikianza muda huo inamaanisha nusu ya mechi itakuwa wakati wa mwanga wa jua na nusu itakuwa...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Yondani anaweza kupata pesa nyingi kuliko kipindi chote alichocheza mpira

    Kwa wale wanaofatilia Azam TV, kuna mahojiano na mashabiki kuelekea mechi ya Yanga na Simba. Katika mahojiano hayo kuna shabiki mmoja wa Yanga anatamka bila wasiwasi na Azam TV kumuweka hewani kuwa, Simba hawawezi kufunga Yanga bila makandokando na hata walipomfunga nne walimhonga Yondani...
  5. Choosen85

    JamiiForums Tanzania Nina proposal kuhusu watu kila siku asubuhi kukaa vikundi na kubishania mpira

    Wakuu mjue kile knachowakusanya watu kila sku tena makundi yenye elimu, kpato, uelewa tofauti na wakakaa wakaanza kuzungumza tena bila kiongoz yaani ni wao tu wanajiongoza mjue hapo kuna fursa ya kupata chochote. Sasa kuna ile tabia ya watu wengi kila mkoa ukienda utaikuta ile asubuhi unakuta...
  6. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Mpira wa Tanzania ni wa kibosi. Mashabiki, wachezaji na viongozi wote ni mabosi

    Ndiyo, nimeona tofauti ya mashabiki wa Tanzania na nchi zingine. Yanga jana imefungwa lakini mashabiki walichangia kuwavuruga wachezaji wetu! Ile kelele na lile vibe, ni lazima timu yoyote inayokwenda kucheza uwanja ule ijipange! Sisi mashabiki wa Kitanzania tukiingia uwanjani utaona watu...
  7. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Vipers kutoboa kwa Mazembe inaonesha hakuna lisilowezekana kwenye mpira

    Habari za jioni wadau wa soka la Bongo. Nimetoka kuangalia hapa Live Score hadi nimeshtuka baada ya kuona Vipers ametoboa kwenda makundi mbele ya Tp-Mazembe ambayo ilikua mwenyeji. Hili swala limenipa kitu cha kufikiria na kuamini kile kitu nipo nakiamini kuwa hata Yanga anaweza kupita pale...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ukikutana na Shabiki wa Mpira mwenye Kauli zifuatazo jua Hospitali ya Mirembe kunamuhusu

    1. Tunaenda kupindua meza kwao. 2. Mungu ni wa wote. 3. Wao wamewezaje na sisi tushindwe? 4. Mpira unadunda kokote pale. 5. Iwe jua iwe mvua. 6. Kikubwa ni kumuomba tu Mwenyezi Mungu. 7. Wamewezaje kupata alama kwetu na sisi tushindwe kuipata kwao? GENTAMYCINE nasisitiza, ukibahatika tu...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Michezo inaendeleza biashara ya watu na utumwa mambo leo

    Michezo inaendeleza Biashara ya watu Kwenye michezo sahivi ni pesa kwanza, maana yake biashara, watu wanauzwa na kununuliwa kama bidhaa mithili ya ilivyokuwa kwenye zama za utumwa miaka ile. Timu zinakaa mezani kupitia viongozi wao na kujadili bei ya wachezaji kisha kulipana pesa. Hii ni...
  10. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Ushabiki wa mpira ni uchawi

    Dakika ya 44 Yanga hawajapata bao, nimejikuta natamani sana Yanga ifungwe. Moyo unaniuma kabisa, nahisi hii itakuwa roho ya kichawi kabisa!
  11. S

    JamiiForums Tanzania Wadada mnaotaka kuolewa. Chondechonde msiolewe na wanaume wanaoshabikia mpira. 98% hufa masikini kabisa

    Dada unayetafuta mchumba wa kukuoa waepuke kama ukoma wanaume ambao ni mashabiki wa mpira. Hawana ndoto kubwa maishani, hawana mipango, na kwa hulka yao muda wao wote huwaza orodha ya vikosi vya timu za mpira. Kama mtu anaweza kukariri wachezaji 11 wa timu 10 tofauti tofauti na walikotoka...
  12. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania James Samwel: Mpira ulishatoka kabla ya Simba kufunga goli lao

    Mchambuzi wa Azam Sports 1, James Samwel amelichambua goli la Simba na kukiri wazi kuwa mpira ulishatoka kabla ya Kibu kuurudisha tena uwanjani na Mkude kuuweka ndani ya nyavu. Ameyasema hayo kwenye uchambuzi baada ya mchezo huo.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kuna Timu Kubwa imeshinda Leo ila imecheza Mpira mbovu kiasi kwamba huko mbeleni ikikutana na Wanamume itafungwa 5 au 7

    Mabeki wake Wanakatika ( siyo Viuno vya Vitandani ) halafu Viungo wake ni wa aina Moja tu, Wachezaji wake wanapoteza Mipira kiurahisi halafu ina Washambuliaji wa Kubahatisha na Mmoja wao anayependa Kuzunguka zunguka hovyo kama Inzi wa Chooni halafu hana Madhara kabisa na Msaada kwa Timu.
  14. D

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday fundi wa mpira, Luka Modric!

  15. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania Tamthilia na Mpira zinavyochangia migogoro ya ndoa

    Wanawake na wanaume wengi ni wapenzi tamthilia za vipindi vya maigizo na mechi za mpira na kuwa wakati wengine hujikuta wakisalia sebuleni au kuweka umakini kwenye TV na kuacha wenza wao wakitangulia kulala peke yao au kukosa wa kuzungumza nao mambo mengine ya kimaisha Vitendo hivyo vinafanya...
  16. kavulata

    JamiiForums Tanzania Juma Mgunda afungiwe kufundisha mpira ligi kuu Tanzania

    Kufundisha timu mbili za ligi moja kwa wakati mmoja wa ligi haikubaliki na sio weledi. Madhara yake ni pamoja na: 1. Juma mgunda ana mapenzi/maslahi na timu mbili za ligi kuu kwa wakati mmoja. 2. Juma mgunda anaweza kupanga matokeo ndani ya ligi kuisaidia Coastal au Simba katika mazingira...
  17. Championship

    JamiiForums Tanzania Kumi bora ya wacheza mpira wa miguu kuwahi kutokea hapa duniani mpaka sasa

    Wafuatao ndio wachezaji bora wa mpira wa miguu kuwahi kutokea duniani. Vigezo ni mafanikio binafsi, mafanikio kwenye timu walizochezea ikiwepo timu za taifa: 1. Lionel Messi 2. Edson Pele 3. Diego Maradona 4. Christiano Ronaldo 5. Franz Beckenbauer 6. Johan Cruyff 7. Zinedine Zidane 8. Ronaldo...
  18. Maleven

    JamiiForums Tanzania Maumivu ya ushabiki wa vita ya Urusi - Ukraine ni zaidi ya mpira

    Ni siku ya tatu tangu kuanza kwa counteroffensive attack katika mji wa kherson na leo wameanza na Kharkiv, kwa kweli mimi kama team Russia kuna muda hata kuingia Twitter naogopa mana upepo sio mzuri sana upande wetu. Wasiwasi wangu ni kua huenda NATO wameamua kupeleka jeshi kimya kimya mana...
  19. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania Tuisila Kisinda is yellow and green

    Yanga sc imemtambulisha kiungo wake wa zamani, Tuisila Kisinda kuwa amerudi kikosini kabla ya dirisha la usajili kufungwa 31/08/2022. Mashabiki wengi wa Yanga wamefurahishwa na ujio wa Tuisila Kisinda. Jambo ambalo hawalijui ni Nani kampisha Tuisila kwasababu usajili wa wachezaji kutoka nje ya...
  20. Poker

    JamiiForums Tanzania Simba Queens ni mfano wa kuigwa namna taasisi imara inavyoendeshwa kwenye mpira!

    Simba queens imekuwa timu ya kwanza ya wanawake kutoka Tanzania kwenda kushiriki ligi ya mabingwa Africa. Hapo unaona uwekezaji mkubwa unaofanywa na mo dewji ukisimamiwa na mwanamama babra Gonzalez ambaye ni moto wa kuotea mbali kwenye usimamizi wa taasisi ya mpira. Simba kwa sasa sio level...
Back
Top Bottom