mpira

  1. JamiiForums Tanzania Nimeamini mpira wa kiafrika ni majanga huyu refa wa Medeama na Yanga kadhihirisha mipango ya nje ya uwanja

    Nilipata wasi wasi niliposikia kuwa wafanyabiashara wa mji wa Kumasi wameungana ili kuakikisha yanga atoki salama pale babayara stadium, na ilikuwa ni lazima yanga afie pale! Wasi wasi Wangu kumbe nilikuwa sahihi sana kwa kilichotokea uwanjani kwa refarii kumrudisha fadhira kwa waliomkarimu...
  2. JamiiForums Tanzania Yanga wanacheza kwa papara, jazba na kukamia, hawajui mpira

    Hapo vipi? Kuna jambo nimejifunza sana kwenye hii michuano ya club bingwa. Kwanza uelewe hizi timu zinazocheza ni bora sana, hilo ni la kwanza kabisa. Hivyo wanapokuja katika michuano hii hawachezi kwa lengo la kumiliki mpira na kushambulia ila wanacheza technically (mpira wa akili na...
  3. JamiiForums Tanzania Mpira wa 'Adidas Euro 2024' itatumia "Microchip" kuwasaidia waamuzi kufanya maamuzi ya mpira wa mikono

    'Microchip' ilitumika katika mfumo wa 'semi-automated offside decision-making' katika Kombe la Dunia la FIFA la mwaka jana nchini Qatar. 'Microchip' ndani ya mpira wa Adidas wa Euro 2024 itatumika kuwasaidia waamuzi kufanya maamuzi ya mpira wa mikono kwenye michuano ijayo ya majira ya joto...
  4. JamiiForums Tanzania WAFU WAZIKANE: Serikali inachukua lawama moja kwa moja janga la asili lililotokea Hanang mkoani Manyara

    Serikali na watendaji wake wanachukua lawama ya moja kwa moja kwenye Janga la asili lililotokea Hanang. Mlima Hanang, upo uchi, ni rahisi kwa mafuriko na maporomoko.Mji wa Katesh upo chini ya mlima na inajulikana kw azaidi ya miaka 500 hilo ni eneo la maporomoko ya mawe na mgogo ikinyesha mvua...
  5. JamiiForums Tanzania Kweli uchawi upo kwenye mpira, awa Jwaneng walimfungaje Wydad? Licha ya kukutana pipa na mfuniko bado simba ni wale wale tofauti ni kocha tu!

    Ama kweli la kuvunda alisikiii ubani, Simba kakutana na timu ya ovyo kabisa lakini wanatia huruma! Napata mashtaka awa jwaneng walimfungaje whydad? Nilisikia mashabiki wa whydad walisema jwaneng walishinda kwa ndumba naanza kuamini kwa ninachokiona uwanjani! Mechi hii Simba alitakiwa ashinde...
  6. JamiiForums Tanzania Moses Phiri hajagusa mpira kwa dakika 16

    Juzi hapa nilifanya marudio ya mechi ya Simba vs ASEC Mimosas ili nijiridhishe baadhi ya vitu. Moja ya jambo nililogundua na kunishangaza katika marudio ni kugundua kuwa Moses Phiri aliingia dakika ya 59 ya mchezo na alikuja kugusa mpira wake wa kwanza dakika ya 76. Imenikumbusha mechi ya...
  7. JamiiForums Tanzania Umebahatika Kuliona Bango jipya Mjini...😅😅 Mpira ni Afya na Burudani (Friends Of Mwarabu tumeweka bango)

    Ikikuuma Natuma na Video kabisa 🤣🤣🤣🤣 Kulia kupokezana
  8. M

    JamiiForums Tanzania Benchika njoo utuletee mpira wa kasi ndani ya Msimbazi

    Karibu kocha mpya wa simba na nakutakia mafanikio katika safari yako ya kuja kulibadilisha soka la simba kutoka kuwa soka la konokono (polepole) na kwenda kucheza mpira wa kisasa wa kasi kubwa. Usiwachekee wachezaji ambao hawataki kuvuja jasho uwanjani.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Kama Mpira umetushinda, tunawezaje kuleta mapinduzi makubwa kiuchumi na kisiasa?Jibu ni hatuwezi

    Pesa nyingi tunazotumia kwenye mambo ya ajabu kama vile kuwalipia mashabiki viingilio au hata kununua mechi kwenye ligi nk tungezitumia kufanya maendeleo ya soka. Wazungu wana maneno mawili kwenye soka Class Form Class is permanent, form is temporary Hadhi ya Morocco ni kubwa sana...
  10. JamiiForums Tanzania Yanga inakuwa timu ya kwanza duniani kucheza mpira angani

    Mie ni Simba lkn yanga ni kiboko dunia hii https://www.facebook.com/reel/724883866181121/?mibextid=ZKlF025XJ6KyrSs8
  11. JamiiForums Tanzania FT: Tanzania 0-2 Morocco Kufuzu Kombe la Dunia, Novemba 21, 2023

    Naam leo ndo leo majira ya saa 4 usiku kwa saa za afrika mashariki kutakuwa na mchezo kati ya Tanzania na Morocco KUFUZU WORLD CUP: TANZANIA YAPOTEZA 2-0 DHIDI YA MOROCCO KWA MKAPA Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imepoteza kwa magoli 2-0 licha ya kuwa nyumbani kwenye Uwanja wa Mkapa...
  12. JamiiForums Tanzania Ramadhani Lenny aliwezaje kucheza mpira ligi kuu akiwa na miaka 50 na yale matege?

    Huyu mchezaji alikuwa classmate wa mzee fulani mtaani,huyo mzee sasa ni mzee kweli hakosi miaka 70 shule ya msingi, Jamaa alikuwa na matege fulani hivi yanastaajabisha. Kama ungeambiwa ni namba sita bora kuwahi kutokea hapa nchini huwezi kuamini. Alimudu hiyo namba kwa kiwango cha juu sana...
  13. JamiiForums Tanzania Sheria ya droo (sare) kwenye mpira wa miguu iangaliwe upya

    Wakuu mpo? Naamini wengi tunaangalia mechi inayoelekea mwishoni kati ya Chelsea na Man City ila pia huenda tunnangalia mechi inayoendelea kati ya Lazio na Roma ambayo huenda ikaisha kwa suluhu ya 0-0. Hivi kwa logic ya kawaida ni sahihi Chelsea na Man City walifungana 4-4 wapate point moja...
  14. JamiiForums Tanzania Kutokana na kelele nyingi, Simba haikuwa inacheza mpira aliokuwa anataka Robertinho

    Nakumbuka kuangalia clip moja ya Mwalimu Nyerere akisema "kama ilivyo kwa UKRISTO, dunia haijawahi kuufuata UJAMAA kwa asilimia 100" kwa maana hiyo ni ngumu au siyo sahihi kuhukumu kama mitazamo na mifumo hiyo ni sahihi au siyo wakati haijawahi kufuatwa kikamilifu. Simba ya kipindi cha Juma...
  15. JamiiForums Tanzania Ajira za Makocha wa Mpira wa miguu ni ngumu

    Kati ya vitu vinavyoniletea shida ni Ajira za Hawa waheshimiwa na walimu wengine kwa ujumla.Ebu tufikilie hapa kocha au mwl anapewa timu na anafanya kwa kadri ya uwezo wake na mwisho wa siku yeye haingii uwanjani kucheza na Yale alowaelekeza wachezaji wake wakishindwa kutekeleza zigo...
  16. JamiiForums Tanzania Simba yamtimua kocha Roberto Oliveira Goncalves Do Carmo (Robetinho)

    Klabu ya Simba imefikia makubaliano ya pande zote mbili ya kuvunja mkataba na Kocha Mkuu wa kikosi cha kwanza Roberto Oliveira Goncalves Do Carmo (Robetinho). Vilevile tumefikia makubaliano ya kusitisha mkataba wa kocha wa viungo Corneille Hategekimana. Uongozi wa Klabu ya Simba unawashukuru...
  17. JamiiForums Tanzania Ujanja wa Rais Samia kutumia mpira kujizolea kura huku ripoti muhimu ya CAG iliyojaa wala rushwa ipo kapuni

    Frankly speaking Samia hajui chochote kuhusu mpira! Support za kinafiki ambazo huwa anatoa huwa ni ushauri anaopewa na ma-master mind wa CCM ambao wameshajua kuwa ukiwateka mashabiki wa Simba na Yanga basi kura karibia zote unazo. Swali dogo tu; je ni lini umemsikia Samia akipongeza timu kama...
  18. JamiiForums Tanzania Kuanzia Leo Simba Mjifunze Mpira sio Hamasa kubwaa bali ni uwekezaji Mzuri.

    Nahisi Leo mmeona mmefungwa mbele ya Mashabaiki wenu Lukuki na hii ni Muendelezo wa kuonyesha wapi mnakwama. Sold Out bila Usajili mzuri mtaendelea kuchezea tu. Mlipigwa na Raja kwenye Full House hamkujifunza na Leo Yanga kawapiga Tena goli Nyingi. Basi Leten mabango yenu ya kua mnahamasa...
  19. JamiiForums Tanzania Mbingu na ardhi vimejitenga rasmi, kelele nyingi na propaganda uchwara avichezi mpira uwanjani!

    Nafikiri Sasa jibu limepatikana ya kwamba ukija kucheza na yanga usije kichwa kichwa Kama vile unaenda harusini, unaweza kupigwa kipigo Cha mbwa mwizi kwa maana wanao wachezaji wenye ubora mkubwa sana hasa hasa viungo wao ni hatari kuliko corona! Simba wameingia kucheza Kama vile wanacheza na...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Maoni: Mechi ya Simba na Yanga huenda ikaghairishwa kwa sababu ya mvua

    Sababu kubwa. Mvua itanyesha kubwa sana jumamosi na itasababisha maafa makubwa. Uwanja hautaweza kuchezeka mechi. Tujiandae kwa hilo
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…