Luhaga Joelson Mpina (born 5 May 1975) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Kisesa constituency since 2005. He was the Minister of Livestock and Fisheries for 3 years in the Magufuli cabinet.
Huo ndo ukweli, mwaka huu tuna mgombea kutoka kabila kubwa na namba moja tanzania na lenye idadi kubwa ya watu, na tunavojua wasukuma wanapendana na wanaaminiana, ila najua suala la kumchagua mtu ni mapenzi yake ya moyo, hivyo kabila la mtu sio factors.
Japokuwa Mpina anatokea chama kidogo...
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano kupitia ACT Wazalendo, Luhaga Mpina amesema kuenguliwa kwa waliokuwa wabunge 28 katika katika kura za maoni za CCM akisema yamelenga kuondoa wabunge wanaouliza maswali na kutoa hoja bungeni.
Akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari leo Agosti 14 jijini...
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya chama cha ACT Wazalendo Luhaga Mpina anasema ‘’sasa hivi tuna mikatakata 43 iliyoingiwa na serikali bila kuambiwa Bunge na kama halijaambiwa Bunge, hawajaambiwa wananchi’’
Niwe mkweli, public reception ya Mpina haijawa kubwa kivile kama ilivyotegemewa. Hii ni tofauti na public reception waliyopata Maalim Seif alipoanzisha KAMAHURU na baadaye CUF, Mrema kuhamia NCCR na Lowassa kuhamia CHADEMA. Hawa walipohama walihama na wanachama wa CCM na viongozi wao na jamii...
Maalim Seif alikuwa na nguvu kisiasa lakini serikali 3 zilimzuia kwenda Ikulu hadi akaondoka zake. Nyie mna mikakati Gani tofauti na Seif?
Kushinda sio kazi ila kazi ni kutangazwa, Shauri mjaribu kuhubiri serikali 1 au 2 hizihizi hadi hapo mtakapokwenda Ikulu kwa kutumia Katiba hiihii ya...
Wakuu
Seleman Bungara (Bwege), aliyewahi kuwa Mbunge wa Kilwa Kusini, amefunguka kuhusu Luhaga Mpina, mgombea wa Urais kupitia tiketi ya chama cha ACT Wazalendo, akisisitiza kuwa “Mpina hajatoka CCM amefukuzwa CCM”
,
Nimekaa na kujiuliza ivi mtu ambae amewahi kua rais na makamo wa rais wa JMT na chama kikubwa kama CCM huoon aibu kugombea urais na salim mwalim mtu hana Ata mvuto siasa hajui kuongea Ata kuvutia watu 100.
Hivi akina Mwalimu na Mpina wangekuwa ni Wagombea wa Vyama vyetu pendwa (siyo CCM) bado tungewadharau hivi?
Tafadhali tumpinge Rais Samia kwa Hoja za maana na siyo za kutufanya Wote tuonekane ni Wapumbavu.
Akizungumza katika mapokezi ya Wagombea wa nafasi ya urais Pemba leo Agosti 10, 2025 Kiongozi wa zamani wa ACT Wazalendo Zitto Zuberi Kabwe amesema kuwa Mgombea wa nafasi ya urais ambaye ni Luhaga Mpina akishinda urais wamtangaze, wasimtangaze atakuwa rais.
https://youtu.be/bUHv7OhYLzA?si=QYkQwS6JTsb4cmgk
Baada ya Rais kumfahamisha Mpina kuwa yeye ni mbunge wa Taifa na alisema ata Metis katika zile nafasi zake kumi. Leo hii Mpina ni mgombea U-Rais kwa tiketi ya ACT Wazalendo. Hii ni moja ya zile nafasi kumi za Rais?
Kule Zaire Mobutu alikua na...
Unadhani watu bado mambumbu? Acha maigizo ya kisiasa
==================
Mgombea urais kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, ameapa kuendeleza mapambano dhidi ya ufisadi nchini, akisisitiza kuwa hatapumzika hadi Watanzania wote wanufaike na rasilimali za taifa, na chama hicho kipo makini...
Makala ya Uchambuzi wa Kisiasa: Hatma ya Taifa, Mgombea Mpina, na Mvutano wa Madaraka
📅 Toleo maalum | Agosti 7, 2025
✍️ Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
“Ukombozi haujawahi kupokelewa kwa shangwe na waliovuna kwenye mateso ya wengi.”
Hayo ni maneno yaliyotolewa jana na mmoja wa wachambuzi wa...
Haihitaji akili nyingi kujua kuwa ACT ni CCM na Mpina kaenda kifichwa huko ACT kwa niaba ya CCM kwa makusudi ili kuipa nguvu CCM na kuvunjavunja upinzani feki kwa kuwaaminisha wananchi kuwa wamegombana.
Kama Mpina ni jasiri na ana nia ya kuwasaidia wananchi wa jombo lake na anakubalika basi...
Habari za leo Watanzania
Tukiwa tunaelekea ktk Uchaguzi mkuu, zimefika zile nyakati za Wanasiasa kuhama Chama hiki kwenda kile kwa Maslahi ya Kisiasa.
Naomba kuwagusia hawa Wanasiasa wawili kama mfano wa namna Wanasiasa wasivyo na Mioyo yenye Shukrani.
1.Freeman Aikael mbowe ameingia ndani ya...
Hawa ni wale wanaotembea na kufuata itikadi ya Mwalimu Julius Nyerere. Hawa hawawezi kupendwa na kundi la makabila, mabepari, na wezi wa mali ya umma. Kundi hili liliweza kutawala 2015 hadi 2020 baada ya kundi la makabila kusinzia, ila hawatasinzia tena.
Wanadunda tu mtaani
Juzi tu Gwajima na Mpina wamelipwa mafao ya mamilioni ya ubunge
Wanalindwa na CCM
Wanakula CCM
Wanalala CCM
Wanaishi ndani ya CCM
Lakini Wala hawakamatwi kubambikiwa kesi why ?
Lissu alifanya Nini special mpaka kupewa kesi? What's wrong with Samia ?
Samia Kama...
Kwa mwenendo wa uchaguzi wa mwaka huu mwaka huu namuona MPINA anashinda URAIS octoba 29,2025 nawaona wana CCM wengi watakwenda kumpa KURA MPINA kuwa RAIS ,
Nb:CCM yangu ina nafasi ya kujirekibisha ,vinginevyo Kiti cha Urais kinaweza kwenda upinzani kwa mara ya kwanza SITE wananchi wana...
Chama cha ACT Wazalendo kimependekeza majina ya wagombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Urais wa Zanzibar kufuatia kikao kilichofanyika jana Jumanne, Agosti 5, 2025 katika makao makuu ya chama hicho, kwenye ukumbi wa Hakainde Hichilema.
Soma pia: Mpina agonga hodi ACT Wazalendo na...
GTs,
Mpina hana uwezo wa kujenga hoja.
Hivyo kushinda urais ni ngumu mno.
Alipaswa abaki kwenye ubunge tu.
Sababu ni kuwa watanzania kwa sehemu kubwa bado wanaamini CCM na hakuna chama cha upinzani kinachoweza kushinda kiti cha Urais kwa mgombea yeyote wa CCM.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.