mpina

Luhaga Joelson Mpina (born 5 May 1975) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Kisesa constituency since 2005. He was the Minister of Livestock and Fisheries for 3 years in the Magufuli cabinet.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya Mpina kuzuiwa kugombea Urais Kupitia ACT inaendelea leo Septemba 8, 2025 Saa 8 Mchana Mahakama Kuu Dodoma

    Kesi ya Luhaga Joelson Mpina dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Tume Huru ya Uchaguzi ya kuzuiliwa kuwa Mgombea Urais Kupitia ACT Wazalendo, itaendelea Leo Saa 8 mchana katika Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma. Chama cha ACT kimesema Waandishi wa Habari wanakaribishwa Kuhudhuria...
  2. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mpina: Wanazungumza rudi nyumbani, nyumba ipi? Sitarudi CCM, inaumwa ugonjwa ambao hauponi kwa tiba

    Siku Moja baada ya mgombea mwenza wa CCM Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi kutoa kauli ya 'kumtaka' Luhaga Mpina kurejea kwenye chama hicho kutoka ACT Wazalendo aliko hivi sasa, Mpina amesema vigogo wa chama hicho tawala wasahau suala la yeye kurejea kutokana na kile alichodai kuwa chama hicho...
  3. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Naiona spirit ya Magufuli ndani ya Mpina

    Tatizo ni kuwa ana papala ukichanganya na mihemuko ya ujana anashindwa ku-calculate risk. Ila he is the new Magufuli.
  4. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe anayesema Mpina atawafunga Mafisadi kama Magufuli,ndiye Zitto aliyetutukana kama tunampenda Magufuli basi tukazikwe nae Chato

    Chawa wa Mama aliyediliki kusema kama mnamoenda sana Magufuli basi nendeni mkazikwe nae,je yeye amezikwa na Mama yake aliyekuwa anampenda,hili lilikuwa tusi kubwa sana kwa Watanzania,baada ya hapo Hajawahi kumuongelea vibaya Mama Samia hata kidogo licha ya Ufisadi kukithiri zaidi ya awamu zote...
  5. BigTall

    JamiiForums Tanzania GE2025 Abdul Nondo amjibu Mwanasheria Garatwa kuhusu suala la Luhaga Joelson Mpina

    ABDUL NONDO AMJIBU MWANASHERIA GARATWA KUHUSU SUALA LA MH.LUHAGA JOELSON MPINA. Salaam, ndugu Mwanasheria Garatwa. Nimeona andiko lako na uchambuzi wako juu ya suala la kuenguliwa mgombea wetu wa kiti cha Urais ,Mh.Luhaga Joelson Mpina huku ukielekeza lawama kwa chama chetu kufuatia kinachoitwa...
  6. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Video: Aliyoyasema Lissu kwenye interview hii na Stanslaus Lambert ndio kinachomtokea Mpina na wapinzani muda huu

    Wakuu, Nimekutana na interview hii ya Lissu ambayo alifanya na mtangazaji Stanslaus Lambert muda mfupi baada ya kushinda Uenyekiti CHADEMA Hapa Lissu alisema haogopi watu kuhama CHADEMA kwenda vyama vingine kugombea Ubunge kwani hata huko wanapoenda hawatachaguliwa. Anasema hapa, mamlaka za...
  7. kavulata

    JamiiForums Tanzania ACT -Wazalendo kwa Mpina walikumbatia mzinga wa nyuki wakidhani ni gogo la mbao ngumu.

    Sijui ni kwanini wapinzani hawakomi, kila uchaguzi wananaswa kwa mtego uleule wa CCM unaotegwa kwa aina ileile na kunaswa palepale chini ya mkanda. Orodha ya mitego ni ndefu sana (Marando, Mrema, Prof. Lipumba, Dr. Slaa, Lowassa, Sumaye, Lamwai, Mpina, Membe). Iko hiviii!! Kule CCM huwezi...
  8. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa ACT na sarakasi la Msajili wa vyama: waitishe haraka mkutano mkuu utakaobadili kanuni za chama chao na kumteua tena Mpina kuwa mgombea wao

    Hii sarakasi aliyofanya Msajili wa vyama vya siasa nchini la kumkata mgombea uraisi wa ACT Wazalendo kwa kutumia katiba na kanuni za chama hicho, mbona ni rahisi tu kwa wao ACT Wazalendo nao kuicheza hiyo sarakasi. Katiba na kanuni za chama ni mwongozo wa mkutano mkuu wa chama husika kwa...
  9. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kama CCM na Samia wanakubalika kama tunavyoaminishwa, inakuwaje wamuogope hata Luhaga Mpina

    Sisemi mengi. Kichwa cha habari kinajieleza. CCM itangazwe mshindi kwa vile tume imeishaipa ushindi.
  10. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Ajabu sana kwamba Kumzuia MPINA kurejesha Fomu , ni Hadi mitutu ya Bunduki ??

    Hawa watu Maisha yako YAMEKAA Kuua ua na Kuteka teka !!.
  11. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hivi pale ACT-Wazalendo tatizo ni ombwe la uongozi makini wa kitaasisi au shida ni uchu wa madaraka na kukurupuka kwa Luhaga Mpina kugombea urais?

    Hii ni kashfa kubwa na ya kipekee kwa uongozi mzima wa ACT-Wazalendo kitaifa, hasa katika kipindi hiki nyeti kuelekea Uchaguzi Mkuu wa kihistoria wa Tanzania. Swali la msingi ni: kweli viongozi wote wa ACT-Wazalendo hawajui taratibu za kikatiba zinazowataka wanachama wapya waendelee kuwa ndani...
  12. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Maandamano Mtwara leo ya wanachama wa ACT wakimkataa Mpina

    Kuna hii video inaonekana kama si halisi, naomba uhalisia wake. Na je, ni kweli kulikuwa na maandamano huko Mtwara leo Agosti
  13. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mpina kwiiiiisha, atakiwa kutorudisha fomu ya kugombea Urais

    Chama cha ACT Wazalendo kimesema kimepokea barua kutoka Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) ikielekeza kuwa Mgombea Urais wa Tanzania kupitia chama hicho, Luhaga Mpina asifike ofisi za tume kwa ajili ya kurejesha fomu. Taarifa iliyotolewa na Chama hicho imesema tume imetoa zuio hilo kutokana...
  14. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Mpina na Zitto wanatuchezea Kombolela Kwenye uchaguzi

    GT Kwa akili ya kawaida hakuna asiyejua behind the scene kwamba Zitto anang'ata huku kule anakuja kupuliza. Hizi sarakasi za mpina kuzuia kugombe Zitto is involved 💯 haya matamshi na mabarua mengi ni kujikosha tu but they know everything. Mpina naye anasumbuliwa na ushamba kama hajatumwa na...
  15. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wako wapi waliokuwa wanasema Tumefanya Reforms hakuna tena Wapinzani Kuenguliwa au Kukatwa? Mmeona ya Mpina sasa?

    Tuseme tu ukweli. CHADEMA ya Lissu na Heche walikuwa mbele sana ya wakati kudai Reforms kabla ya Uchaguzi. Wakati kina Stephen Wassira, Amos Makalla, Damas Ndumbaro Waziri wa Katiba na Sheria, Jenista Muhagama, Hamza Johari Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Baba yao anayepanga nani awe nani...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina katiba imemuengua

    Mwenezi ACT alitoa vifungu vinavyoonesha kuwa hana vigezo vya kugombe urahisi. Katika katiba ya ACT vifungu vifuatavyo vinamuengua 16(4)(I) Awe mwanachama wa ACT kwa muda usiopungua mwezi mmoja kabla ya tarehe ya mwisho ya uteuzi wa mgombea. 16(4)(iii) Awe tayari kutangaza mali binafsi na...
  17. This is...

    JamiiForums Tanzania Ya Mpina: CCM akili kubwa lakini wenye ufahamu wanaelewa

    Kukatwa kwa Luhaga Mpina ni kuionyesha dunia kwamba ACT si projekti ya CCM. Na pia kuonyesha kwamba POLEPOLE anaongea uongo. KWA WENYE UFAHAMU IKO HIVI KWA KIFUPI KABISA. Mpina aliandaliwa na mpango huu ni wa MPINA+CCM+SAMIA kwa upande mmoja , ZITTO NA CCM NA MSAJILI KWA UPANDE WA PILI...
  18. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania Luhaga mpina na ACT wazalendo ni wakuogopa km ukoma.

    Wasalaam. Hawa ni wale viongozi wenye tabia za kimalaya malaya kwa mujibu wa nukuu ya mwl nyerere. Watanzania wote wanalia kutokana na mifumo mibovu ya uchaguzi lakini cha kushangaza huyu bwana mpina na ACT wanajaribu kulaghai wananchi eti waingie kwenye uchaguzi na yeye atashinda na atalinda...
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Msajili wa Vyama vya Siasa,awaketisha ACT na Monalisa uteuzi wa Mpina

    Katibu Mwenezi wa ACT Wazalendo Mkoa wa Dar es Salaam, Monalisa Ndala, amewasili katika Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Jumamosi Agosti 23, 2025 kwa ajili ya kikao cha dharura kilichoitishwa kujadili malalamiko aliyowasilisha dhidi ya uongozi wa chama hicho, hususan kuhusu uteuzi wa Luhaga...
  20. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole kasema ACT ni kitengo cha mfumo wa CCM, Mpina katumwa na CCM kwenda ACT? Dorothy asingelitosha kucheza scene hiyo?

    Najaribu ku connect matukio ya Mpina na Samia wake.............................tunakudai, kukatwa, then kwenda CCM. Dorothy kuachia urais, Mpina kuchukua fomu...WHAT DOES ALL THAT MEAN? Quencher All in all. main take home msg ni kuwa vyama vyote vilivyoingia kwenye uchaguzi ni matawi ya CCM...
Back
Top Bottom