mpina

Luhaga Joelson Mpina (born 5 May 1975) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Kisesa constituency since 2005. He was the Minister of Livestock and Fisheries for 3 years in the Magufuli cabinet.

View More On Wikipedia.org
  1. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Hamphrey Polepole, Luhaga Mpina na Dr Josephat Gwajima

    Hawa ma comrade huko CCM kwenye chama chao, wasipuuzwe. Wanayo maono kuhusu chama chao na wameonyesha uthubutu zaidi ya yehote yule ndani ya chama, huenda ni chambo au wana tengeneza kitu na umoja ambao labda kuna walio nyuma yao. Mungu awasaidie hawafanyi na hawa zungumzi kwa ubaya ni kwa mema.
  2. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jimbo la Kisesa wamesema NRNE, kwamba bila jina la Mpina, hakuna uchaguzi wa mchujo

    Salaam ! Sasa Ile operation yenye nguvu ya NRNE imeingia chama Cha kijani, sasa ni Jimbo la Kisesa. Nikiripoti kutoka Jimbo la Kisesa, ni Mimi mwana mabadiliko rabbon! NRNE 💪 🔥 Karibuni 🙏
  3. G Sam

    JamiiForums Tanzania Taa nyekundu kwa wapinzani washiriki. Mpina mwenye kaupinzani kiduchu hatakiwi bungeni. Itakuwaje kwenu nyie wa vyama vingine?

    Nyie wapinzani washiriki mmeona huko? CCM wanataka bunge la pure and poor machawa. Nyie endeleeni kusindikiza ila kama Mpina ambaye ni mpinzani mwenye kaupinzani kiduchu ameenguliwa na hatakiwi itakuwa nyie pangu pakavu? CCM safari hii ndiyo imepania kabisaa kwamba haiachii kitu na ndiyo maana...
  4. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hamna Mpinzani wa Kumshinda MPINA Kisesa kwenye Uchaguzi , Kumkata jina lake, Maana yake CCM lazima waibe Uchaguzi tu ili washinde Hilo Jimbo

    Hili liko Wazi, Kwa Kisesa huwezi itenganisha na MPINA, MPINA ndio Kisesa na Kisesa ndio MPINA. Kama CCM wanamkata MPINA mwenye Jimbo lake, maana yake hamna mwanaCCM pale anayekubalika, hii Inakua picha halisi kua UCHAGUZI HUU WA KIHUNI, CCM WATAUPORA TU. Huwezi kukata MTU anayekubarika(...
  5. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mpina hawajamtendea haki pamoja na watanzania tulio wengi wenye kupinga maovu ya serikali

    Hizi tetesi za mpina kukatwa na wajumbe ni za kweli?Kama ni za kweli basi hii Nchi inawapumbavu wengi sana.Haiingii akilini mtu ukiwa msema ukweli bila uoga unakuwa adui wa serikali hadi kupokonywa Kwa mabavu haki ya kuwa mbunge ili kuendelea kuwapambani watanzania.Watanzania wamechoka kuendelea...
  6. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ushauri Mpina: Kagombee kupitia chama chochote, utapita maana wananchi wako upande wako kwa 100%

    1. You are a very resourceful person. 2. Umekatwa kwa fitina za mkuu wenu wa chama. 3. Nakushauri nenda ACT kagombee, utapita maana wananchi ni wako by 100%. Labda wakuengue kwa sababu za kishenzi as usual!/kukuibia kura kwa amri ya Mkuu wa chama chako na ushenzi mwingine kama huo
  7. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Unajiuliza, huko CCM na Dola yake, Kuna wenye akili kweli? Hivi Uwezo wa Akili wa LUHAGA MPINA ni wa Kumkata ?. Au Gambo ni wa kushindwa na Makonda ?

    Ukweli ni kwamba, Makonda Hana namna yoyote ya kumshinda Gambo, Makonda ni MTU katili sana, MTU ambaye akipata Mamlaka kubwa ya juu ,atawaumiza watu wengi. Kama sio Jela kama ilivyokua Kwa Sabaya, Makonda alipaswa ajitokeze mbele ya Taifa na Kuliomba msamaha Taifa Kwa aloyafanya Watu wanaweza...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Samia, ''Nitamteua Mpina Ubunge'', Pia Kikwete , "Samia atakapomaliza 2030". Je CCM imeshatangaza Rais kabla ya Uchaguzi?

    Kwa yanayoendelea naona kabisa Kuwa CCM imeamua kuwa Mungu. Kauli za Viongozi wa CCM Zinaleta sintofahamu, wanaongea Kauli za uchochezi na zinazoweza leta Mgongano, CCM inaongea as if Rais wa TANZANIA KWA 2025-2030 kama kwamba Ameshatangazwa kuwa ni Samia. Nasema hivi wazi wazi huu ni UJINGA na...
  9. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wagombea 14 wa Ubunge Jimbo la Mpina utata mtupu, Meatu wazua utata kwa wana CCM

    Taarifa za CCM Mkoa wa Simiyu kuwa kuna wagombea 14 wa Ubunge Jimbo la Kisesa waliochukua fomu na Wagombea 13 jimbo la Meatu zimeibua sintofahamu kubwa na baadhi ya wanachama kudai kuwa wagombea ni wa mchongo ili kuvuruga mchakato wa uchaguzi ndani ya Chama. Minong'ono imekuwa mikubwa baada ya...
  10. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Kwanini Kassimu Majaliwa kazingua saa za salama?

    Nasema hivi, kasimu hakujiuzuru kwa kupenda la hasha! Huyu alikuwa anautaka ubunge sema cctimu imemtema Yaani ndani ya miezi miwili kauli mbili tofauti mara ntagombea mara stogombea Lakini mbona umezingua dadikia za mwisho?😝 Wajf nisaidieni yule Alima mdee amejiunga ccm? Je luaga mpina ana...
  11. ngara23

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Kisesa hakuna aliyechukua form ya ubunge, wanamtaka Luhaga Mpina tu

    Wakati wa Jimbo la Kisesa hawajachukua fomu ya ubunge hadi Leo Wanachama wa CCM wameshinikiza Mpina ndo agombee pekee Mwenyekiti wa CCM Taifa alimwita Luhaga Mpina kuwa ni mbunge wa Taifa na sio mbunge wa Kisesa na huwa hawatetei wananchi wa Kisesa Pia Mwenyekiti wa CCM alisisitiza wananchi...
  12. Richard

    JamiiForums Tanzania Wazanzibari kimyakimya wafanya maendeleo makubwa wa haraka huku akili za watanganyika zikielekezwa kwa Tundu Lissu, Askofu Gwajima na Luhaga Mpina

    Juzi nimefika Zanzibar nimeshangaa maendeleo ya kasi uwanja wa Ndege wa kisasa na nasikia terminal 2 na terminal 3 zaja. Hali kadhalika juzijuzi kumefanyika mkutano wa wawezekaji katika sekta ya Utalii na siku zijazo ndege za kutoka Ulaya na kwingine zitakuwa zikitua Zanzibar zikileta watalii...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kosa la Luhaga Mpina ni nini hadi aandamwe kiasi hiki?

    Nimekuwa mfuatiliaji wa karibu wa Bunge ambalo linahitimisha uhai wake leo, lakini kuna jambo limekuwa likinitatiza na kujiuliza Kosa la Mpina ni nini hadi aandamwe kiasi hiki? https://youtu.be/PN81WsF_xtk?si=k9ZKT_YzOEruZsfw https://youtu.be/dJ3VufyOuLE?si=bfhouP59K5a_gcSP...
  14. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa hoja ya Mpina juu ya matriloni yaliyolipwa na serikali bila ridhaa ya Bunge na raia wa kigeni kushika nyadhifa za juu serikalini haijabiwa

    Mbunge wa taifa ni mbunge wa taifa tu. Yupo kwa ajili ya maslahi ya taifa na jibo lake Mbona hatujapata majibu? Matrilion kulipwa Icsid?
  15. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kabisa Luhaga Mpina ni Mbunge wa taifa

    Nakubaliana na maneno ya Luhaga Mpina kuwa yeye ni mbunge wa taifa. Angalia anavyopambana kwa ajili ya kupigania maslahi ya umma na taifa kwa ujumla. Angalia alivyopambana juu ya zao la pamba kwa manufaa ya watu wa jimbo lake. Hii ni wazi kuwa ni mbunge wa taifa na jimbo lake kwa ujumla.
  16. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Luhaga Mpina: Tumewatetemesha nchi nzima wametupa kombe la kitaifa

    Mbunge wa Kisesa, Mhe. Luhaga Mpina amesema wananchi wa Meatu hawakuchagua tu Mbunge wa Jimbo, bali wametoa Mbunge wa Taifa anayetetea kila aina ya mtanzania, wakiwemo wanyonge wasio na sauti, na kukemea mafisadi na wala rushwa Akizungumza na wananchi wa Mwandoya, Wilayani Meatu, Mpina amesema...
  17. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Luhaga mpina amvaa Bashe, Tuna changamoto ya mnunuzi mmoja katika zao la pamba, hii kesi haijaisha

    Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina ameendelea kuikosoa vikali Wizara ya Kilimo kwa kuruhusu mfumo wa mnunuzi mmoja katika ununuzi wa zao la pamba, akidai kuwa mfumo huo unaua ushindani na kushusha bei ya mazao ya wakulima. Akizungumza katika mkutano wa hadhara na wananchi wa Mwandoya, Wilayani...
  18. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Luaga Mpina asema, Hana Suluhu na yeyote hata maadui wake Hana nao Suluhu, anachotaka ni Maendeleo ya Tanzania tu

    Hii huenda ikawa ni Hotuba ya Kufungia mwezi ya MH MPINA !!. https://www.youtube.com/live/ckgp9uI6Hlo?si=BQRpVLwOv-w813FD
  19. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina asema watake, Wasitake Watasimamiwa tuu! Mabaomu ya Mpina, watu Leo wanalala na Viatu!

    MPINA Kahapa mbele ya Mbingu, Haiwezekani Fedha ya Mtanzania iliwe na wahuni wachache . Ahapa Kwa Damu kua Atawasimamia tu Watake Wasitake https://www.youtube.com/live/ckgp9uI6Hlo?si=BQRpVLwOv-w813FD No Reforms ,No Election!!!
  20. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Wananchi wenye lafudhi ya kisukuma waliopewa baiskeli za CCM wasema Luhaga Mpina hakukosea, aliongea mambo ya msingi

    Wakuu, Wananchi sio wajinga, wanao uelewa wa kuchambua kati ya mbichi na mbivu. Licha kuwa wamepewa baiskeli mpya za CCM lakini bado wanaonekana kusimama na kuamini katika kile kilichosema na Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina mbele ya Rais Samia na kwamba hakukosea kwani alizungumza mambo ya...
Back
Top Bottom