Luhaga Joelson Mpina (born 5 May 1975) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Kisesa constituency since 2005. He was the Minister of Livestock and Fisheries for 3 years in the Magufuli cabinet.
Chama cha ACT Wazalendo kimesema kimepokea barua kutoka Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) ikielekeza kuwa Mgombea Urais wa Tanzania kupitia chama hicho, Luhaga Mpina asifike ofisi za tume kwa ajili ya kurejesha fomu.
Taarifa iliyotolewa na Chama hicho imesema tume imetoa zuio hilo kutokana...
GT
Kwa akili ya kawaida hakuna asiyejua behind the scene kwamba Zitto anang'ata huku kule anakuja kupuliza.
Hizi sarakasi za mpina kuzuia kugombe Zitto is involved 💯 haya matamshi na mabarua mengi ni kujikosha tu but they know everything.
Mpina naye anasumbuliwa na ushamba kama hajatumwa na...
Tuseme tu ukweli.
CHADEMA ya Lissu na Heche walikuwa mbele sana ya wakati kudai Reforms kabla ya Uchaguzi.
Wakati kina Stephen Wassira, Amos Makalla, Damas Ndumbaro Waziri wa Katiba na Sheria, Jenista Muhagama, Hamza Johari Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Baba yao anayepanga nani awe nani...
Mwenezi ACT alitoa vifungu vinavyoonesha kuwa hana vigezo vya kugombe urahisi. Katika katiba ya ACT vifungu vifuatavyo vinamuengua
16(4)(I) Awe mwanachama wa ACT kwa muda usiopungua mwezi mmoja kabla ya tarehe ya mwisho ya uteuzi wa mgombea.
16(4)(iii) Awe tayari kutangaza mali binafsi na...
Kukatwa kwa Luhaga Mpina ni kuionyesha dunia kwamba ACT si projekti ya CCM. Na pia kuonyesha kwamba POLEPOLE anaongea uongo.
KWA WENYE UFAHAMU IKO HIVI KWA KIFUPI KABISA.
Mpina aliandaliwa na mpango huu ni wa MPINA+CCM+SAMIA kwa upande mmoja , ZITTO NA CCM NA MSAJILI KWA UPANDE WA PILI...
Wasalaam.
Hawa ni wale viongozi wenye tabia za kimalaya malaya kwa mujibu wa nukuu ya mwl nyerere. Watanzania wote wanalia kutokana na mifumo mibovu ya uchaguzi lakini cha kushangaza huyu bwana mpina na ACT wanajaribu kulaghai wananchi eti waingie kwenye uchaguzi na yeye atashinda na atalinda...
Katibu Mwenezi wa ACT Wazalendo Mkoa wa Dar es Salaam, Monalisa Ndala, amewasili katika Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Jumamosi Agosti 23, 2025 kwa ajili ya kikao cha dharura kilichoitishwa kujadili malalamiko aliyowasilisha dhidi ya uongozi wa chama hicho, hususan kuhusu uteuzi wa Luhaga...
Najaribu ku connect matukio ya Mpina na Samia wake.............................tunakudai, kukatwa, then kwenda CCM. Dorothy kuachia urais, Mpina kuchukua fomu...WHAT DOES ALL THAT MEAN? Quencher
All in all. main take home msg ni kuwa vyama vyote vilivyoingia kwenye uchaguzi ni matawi ya CCM...
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kisesa CCM kwa zaidi ya miaka 20, Luhaga Mpina sasa kaondoka kwenye Chama hicho na kujinga na ACT Wazalendo, huko amefika tu na kupewa nafasi ya kugombea Urais katika Uchaguzi Mkuu ujao
Kwa kipindi chote akiwa CCM, Mpina alikuwa mpinzani wa ubadhirifu wa mali ya...
Monalisa Joseph Ndala, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa ACT-Wazalendo Dar es Salaam, anasema kwa dhati ya moyo wake kuwa Dorothy Semu ni kiongozi mzuri kuliko Luhaga Mpina.
Umeaingia upande huo huna hata mwezi una mwaga masifa tu Kwa tume na polisi, Ukiingia huko hata kama una jua nyie ni chama sindikizi unatakiwa kujifanya radical , kuponda na kukosoa sana . Jifanye kama huoni mazuri yaliyofanywa
Zitto hebu mfundidhe jinsi munavyo ishi upande HUU...
Imeandaliwa na Ndg. Humphrey H. Polepole, Mwana CCM wa Imani
1. Msingi wa Kikatiba na Kikanuni
Katiba ya ACT Wazalendo (2024), Ibara 16(4):
"Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania au Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACT Wazalendo atakuwa ni mwanachama wa chama kwa kipindi...
Mpina ni mwanasiasa makini na mzalendo. Nampongeza kwa hii kauli yake ya kuheshimu vyombo vya dola pamoja na tume huru ya uchaguzi.
https://www.instagram.com/reel/DNgcF0SiDKW/?igsh=dXd4OXg4YWZ2NTdz
Derby ya Samia na mpina haiwezi kutokea kwa sababu ni derby ngumu
Mpina hata asiposhinda lakini atawahenyesha sana kwa kuwaeleza wapiga kura fact ngumu ambazo mpinzani mwingine kwa waliopo Sasa hawezi ! Mpina huwezi kumhonga Wala kumzuia kuongea lolote !!
Samia na timu yake sasa wanaweza...
Wananchi wa Shinyanga mjini mkoani humo wameeleza kuwa sababu kubwa zilizowafanya kumdhamini Mgombea wa Urais kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, ni imani yao kuwa atakwenda kuwatatulia kero zao ambazo zimeshindwa kupatiwa majibu kwa muda mrefu.
Wamesema changamoto zinazowakabili ni...
Fikiria kama huyo Luhaga Mpina akiondolewa kugombea Urais Uchaguzi huu, katika kubalance mambo mbalimbali na utamaduni wetu vitaonekanaje?
Nahisi hawa hawa ACT wazalendo kuna kamchezo wanafanya kuiumiza CCM
Haiwezekani wao kama chama walikubaliana na kumpokea Mpina na kumpa uanachama na...
Wakuu ivi mpina bado anawenge au hajapewa notes??
nimekuwa nikifatilia mpina akipanda jukwaani naona kuna kitu kina miss kwake ni kama vile hana notes anatumia past papers kujinadi, nani anatakiwa kumpa notes??
Yaani akiongea hata haletee ile feeling ya kuonyesha ana kitu cha kushawishi mtu...
Waswahili husema mwanzo wa ngoma ni lele na ukisikia zindindi, zinduna haziko mbali.
Hadithi ya secretariat ya CHADEMA kutimuliwa ilianza na barua ya kada wao ndugu Mchome. Kadhalika hadithi ya CHADEMA kuzuiwa kufanya shughuli za siasa ilianza na mashtaka yaliyofunguliwa na Said Issa Mohamed...
Mgombea urais kupitia chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina amepingwa kugombea urais baada ya Katibu Mwenezi wa ACT Wazalendo Mkoa wa Dar es Salaam na Naibu Waziri Kivuli wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Monalisa Joseph Ndala, kumwandikia barua Katibu Mkuu wa Chama hicho akipinga mchakato...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.