Luhaga Joelson Mpina (born 5 May 1975) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Kisesa constituency since 2005. He was the Minister of Livestock and Fisheries for 3 years in the Magufuli cabinet.
Wanadunda tu mtaani
Juzi tu Gwajima na Mpina wamelipwa mafao ya mamilioni ya ubunge
Wanalindwa na CCM
Wanakula CCM
Wanalala CCM
Wanaishi ndani ya CCM
Lakini Wala hawakamatwi kubambikiwa kesi why ?
Lissu alifanya Nini special mpaka kupewa kesi? What's wrong with Samia ?
Samia Kama...
Kwa mwenendo wa uchaguzi wa mwaka huu mwaka huu namuona MPINA anashinda URAIS octoba 29,2025 nawaona wana CCM wengi watakwenda kumpa KURA MPINA kuwa RAIS ,
Nb:CCM yangu ina nafasi ya kujirekibisha ,vinginevyo Kiti cha Urais kinaweza kwenda upinzani kwa mara ya kwanza SITE wananchi wana...
Chama cha ACT Wazalendo kimependekeza majina ya wagombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Urais wa Zanzibar kufuatia kikao kilichofanyika jana Jumanne, Agosti 5, 2025 katika makao makuu ya chama hicho, kwenye ukumbi wa Hakainde Hichilema.
Soma pia: Mpina agonga hodi ACT Wazalendo na...
GTs,
Mpina hana uwezo wa kujenga hoja.
Hivyo kushinda urais ni ngumu mno.
Alipaswa abaki kwenye ubunge tu.
Sababu ni kuwa watanzania kwa sehemu kubwa bado wanaamini CCM na hakuna chama cha upinzani kinachoweza kushinda kiti cha Urais kwa mgombea yeyote wa CCM.
Aliyekuwa Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina sasa amehamia CCM na anatajwa kuwa mgombea uraia s wa chama hicho katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
Ilikuwa wazi kwamba Mpina asingepitishwa kwenye kura za maoni za CCM licha ya wananchi wa jimbo lake kumpenda. Hiyo ni kutokana na msigano wake na...
Ni Kweli MPINA Hauna Mpinzani KISESA hili liko wazi
Ila ilikupasa ukubaliana na Ukweli kua chini ya SAMIA SULUHU hutakiwi kua Mbunge Kwa Namna yoyote Ile .
Angetaka uwe Mbunge ,asingekukata, Angekubakisha CCM, ila alikukata Licha ya yeye kujua ukweli kua unakubalika.
Kilichomfanya akukate...
Ni ngumu Sana mtu kuwa waziri ndani ya hii nchi uvune Siri za baraza halafu ukawe mpinzani hii Tanzania haiwezekani.
Yaani mtu akae ndani ya baraza la mawaziri halafu badae mpinzani kwa Tanzania siasa zake zilivyo ni ngumu Sana
Je inawezekana ameenda kwa kazi maalumu na akimaliza atarudi...
DAR. Mbunge wa zamani wa Kisesa, Mkoa wa Simiyu, Luhaga Mpina ni mwanachama halali wa Chama cha ACT Wazalendo na tayari ameshakabidhiwa fomu ya kugombea urais wa chama hicho.
Taarifa za uhakika ndani ya ACT-Wazalendo zinasema, mwanasiasa huyo tayari amekabidhiwa kadi ya chama hicho cha upinzani...
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Dorothy Semu, akimsajili Luhaga Joelson Mpina katika Mfumo wa ACT Wazalendo Kiganjani na kuwa mwanachama rasmi wa ACT Wazalendo.
Pia soma >> GE2025 - Mpina ahamia rasmi ACT Wazalendo, kumvaa Rais Samia Oktoba 29, 2025
SIMIYU: Baadhi ya Wananchi wa Jimbo la Kisesa wamekusanyika na kueleza hisia zao wakipinga uamuzi wa Chama Cha Mapinduzi (#CCM) kukata jina la aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo, Luhaga Mpina katika mchakato wa awali wa uteuzi wa Wagombea.
Wamedai kutoridhishwa na majina yaliyopitishwa na kutoa...
Wakuu,
Hawa wananchi wamejikusanya kupinga kitendo cha CCM kumkata jina aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Kisesa kukatwa na chama hicho kwenyew mchakato wa Ubunge.
Soma pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge katika Uchaguzi Mkuu 2025
Wakuu
Makamu Mwenyekiti ACT-Wazalendo Bara, Mheshimiwa Isihaka Mchinjita, kupitia mahojiano na kipindi cha Supa Breakfast, amegusia uvumi unaosambaa mitandaoni kuhusu Mbunge wa zamani wa Kisesa, Luhaga Mpina kujiunga na ACT Wazelendo na kusema wanamkaribisha wakati wowote.
Mpina kapata adhabu ya kuwa mzalendo kwenye nchi ya kifamilia (Kikwete, Mwinyi na Samia). Kushindana na mafisadi na hizi familia. Hatakiwi CCM maana hiki si chama cha wazalendo tena
Inavyoonekana kila mtu anayempinga raisi wetu hana budi yatamkuta ya kumkuta.
Hao hapo ni baadhi tu ya majina ya watu waliokutana na dhahma kama matokeo ya kupingana na mawazo ya mama.
Kwa bahati mbaya hana muda wa kujibu hoja watu wakitoa hoja yeye anakimbilia kuwashughulikia.
Jazba mihemko...
Hili halina ubishi kuwa sasa kuna kundi kubwa wanaopinga kimyakimya huu utawala huu ambao haujali maisha ya Watanzania
Nidhamu ya woga haipo na ufisadi umetamami kila kona huku wananchi hawana uhakika wa kula hata mlo mmoja
Akina Luhaga mpina wapo wengi . Akina Gwajima wapo wengi ila wamekaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.