Kuna maumivu ya kuachwa, lakini pia kuna maumivu ya kuachwa bila kula tunda

Mtu Kwao

JF-Expert Member
Sep 2, 2019
394
713
Wakuu salam! Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu.

Kiukweli unapoachwa na mtu uliekuwa unampenda sana maumivu yake ni makali mnoo.

Lakini pia kuna maumivu yale umeachwa halafu hukuwahi kula tunda na ulikuwa unahudumia kila kitu. Ila kwenye swala la kula tunda bado ulikuwa unazungushwa mpaka unaachwa hujui chochote kuhusu tunda la mpenzi wako asee hayo maumivu yanauma sana.

Je hii kitu ilisha kukuta kama ndiyo ulijisikiaje.


Uzi tayari!

1621327140453.png

 
Unahudumiwa kila kitu na tunda hujala? Basi shida sio kuachwa shida ni hujui kutongoza.

Labda maumivu hapo ni hujui kutongoza hivyo umehudumia ukidhani ndo kutongoza then hela ikaenda bure hivyo.

Hapa issue ni mindet yako dunia kuna wanawake zaidi ya billion4 huwezi kuwalala wote hivyo kutokula tunda sio big deal kabisa.

Shida ni mtu hajui kutongoza kwahiyo mwanamke anakuadhibu kwa kukuchuna then badae anaweza kuamua kukuonea kahuruma akakupa tunda sasa asipokupa ndo unapata maumivu ya kupoteza hela na kuachwa.
 
Wenzio washaacha kuhudumia bila kupata return wanamega kamasihara...heb utafte ule uzi kula kimasihara upate experience uache kulia lia...
 
Ndio maana unaambiwa usubiri Mwanaume akupende .Mwanaume wanapenda kwa kutumia Akili na wanawake ni feelings emotions .mwanamke ukimpenda Mwanaume zaidi utateseka duniani .Women
Luck emotional intelligence and that is a huge problem
 
Umenikumbusha mbal sana mkuu niliwah kuachwa bila kula tunda aisee roho iliuma ila sio sana coz nlkuwa cna pesa huduma nlkuwa sitoi nltokea kumpenda sana kale kabint

TUTAFUTEN PESA ILI TUWALE VZR IV VIUMBE ILA SIO WOTE WANATAKA PESA
 
umenikumbusha mbal sana mkuu niliwah kuachwa bila kula tunda aisee roho iliuma ila sio sana coz nlkuwa cna pesa huduma nlkuwa sitoi nltokea kumpenda sana kale kabint
TUTAFUTEN PESA ILI TUWALE VZR IV VIUMBE ILA SIO WOTE WANATAKA PESA
Kwel kabisa mkuu
 
Sema wasichana kama hao baadae wanarudi wanalialia kinoma.... Hapo kuna mtu tu kamchota akili anajilia tu mbunye
 
Ndo hivyo asee kwani hii dunia ni yetu
Nadhani unakosea jinsi ya kuomba mbunye mtoe out mkapate dina na vinywaji & muziki mpaka night kali badae muombe mkapunzike kwako maana usiku mkubwa,nakwambia mdogo wangu utakuja kunishukulu....
 
Ukiachwa bila kutia mbona ndio rahisi kusahau kuliko kuachwa huku ushamtia afu unampenda utakua unawaza unavomkunja na wenzio wanamkunja ila ka hujamla hiko kipengeke kitakupita uta move fasta zaidi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom