mpenzi

  1. Dasizo

    JamiiForums Tanzania Kauli gani ukiambiwa na mpenzi wako unaanza kuhisi hili penzi halina muda mrefu linakwisha?

    Kauli gani ukiambiwa na mpenzi wako unaanza kuhisi hili penzi halina muda mrefu linakwisha?
  2. S

    JamiiForums Tanzania Huwa unajisikiaje unapokuwa umetoka na mpenzi wako halafu mkakutana na ex wake uso kwa uso?

    TAFITI zinaonesha yafuatayo: Wanaume kuna kibaridi fulani hivi kinakupata nakuanza kujiuliza maswali kibao. Jamaa alimkula demu wangu mpk akatupa kule? Mastaili anayonipa mpenzi wangu usikute jamaa ndiyo alimfundisha. Eeh? Kwahiyo mm natafuna makombo ya jamaa?. Jamaa huyu ananionaje mimi...
  3. Equation x

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu mpya anakimbia shoo kwa kutoa visingizio

    Ni wiki ya pili sasa niko naishi na mpenzi wangu mpya ndani ya nyumba moja, pika nipakue; mwanzoni kabla ya kuja aliniahidi kutoa shoo kabambe kila siku, na alipofika siku za mwanzo alikuwa akitoa shoo kabambe, mpaka kidume nikasema kimoyo moyo hapa kweli nimepata mke. Sasa tangu juzi, amekuwa...
  4. Candela

    JamiiForums Tanzania Nimempenda mpenzi wa Mtu

    Habari wadau, ebana niende kwenye mada, Niliingia mahusiano na dada mmoja nikijua ana mtu wake na mahusiano yangu na yeye yalitokea tu bila kumtaka, yaani katika kuzoeana basi siku moja nikajikuta nimekula tunda. Baada ya hapo nikasema WTF siwezi kuwa nae huyu nikataka kukausha lakini...
  5. Dasizo

    JamiiForums Tanzania Ni kipi ukipewa na X wako huwezi kukataa?

    Wadau hebu tupeane A ,B C za ma ex wetu
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi afariki nyumbani kwa mpenzi wake

    Emmanuel Kayuni (21) mwanafunzi katika shule ya Mansa, amefariki akiwa nyumbani kwa mpenzi wake katika mji wa Ndola alikokwenda baada ya kutoroka shule huku wazazi wake wakijua anaendelea na masomo, tovuti ya Zambian observer imeripoti. Baba mzazi wa marehemu aitwaye John Kayuni, alisema mtoto...
  7. kiko2

    JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi/love partner

    Wanajamii, salaam! Naomba kwanza kwa kuwa sio kila post unayoiona u comment, comment inayokuhusu tu au ulioombwa ushauri. Mimi ni mwanaume, -miaka 38 -rangi chocolate -mkristu Ninahitaji la mwanamke, -miaka anzia 28 kuendelea -rangi yoyote -dini mkristu au muislamu -kabila lolote -kama ana...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mpenzi

    Habari wakuu, nahitaji la kuwa mpenzi, hivyo binti alie tayar anaweza Kuni pm tukayajenga. Sifa zangu Age 23 Elimu: bado nipo chuo Rangi: black, Dini: mkristo Vigezo, Age 20-25 Elimu, sio issue sana. Dini, mkristo kama ni si mkristo awe tayar kubadili. Mengine ni ziada
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kipimo sahihi kwamba unapendwa na mpenzi wako au hupendwi ni pale unapokua huna kitu

    Hiki ni kipimo sahihi cha kujua kama mpenzi wako anakupenda kweli au anapenda tu pesa zako na hapa naongelea zaidi kwasisi wanaume. Unakuta mtu ana mpenzi wake wa kike na anajinadi kwa watu kwamba mimi mwanamke wangu ananipenda, umetumia kigezo gani kujiaminisha hayo unayotamka ? Umeingia...
  10. Equation x

    JamiiForums Tanzania Nilivyomtamani rafiki wa mpenzi wangu, na kuambulia 'block'

    Siku moja, nimejichokea zangu mida ya saa nne usiku, nikaamua niende 'club' nikapate 'vibe' la kule ili niweze kuondoa 'stress' za maisha. Muhudumu akaniletea bia zangu tano za kuanzia, nikazinyonya zote zikaisha; akaniongeza tena zingine. Baada ya kufika ya nane, akili ikahama, nikajiuliza kwa...
  11. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Niite basi mpenzi

    Niite Lyrics Niite basi mpenzi uwe wangu Nikakutambulishe kwa ndugu zangu Shida zote ulizo nazo ni za kwangu Njoo home, njoo home Niite basi mpenzi uwe wangu Nikakutambulishe kwa ndugu zangu Shida zote ulizo nazo ni za kwangu Njoo home, njoo home I really can get no sleep Think about your love...
  12. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Watu wa karibu yako wenye tabia za umalaya usipende kuwapa ukaribu na mpenzi wako

    Mdaa huu tupo na jamaa kachanganyikiwa baada ya kusikia rafiki yake kumzunguka na kumpa mimba mpenzi wake. Tulimkanya sana jamaa ila kwa vile tukisema ukweli tunaonekana wachawi na watu wa wivu. Kisa kipo hivi huyu jamaa ana rafiki yake walijuana kikazi wote wakiwa bado wanaanza safari kufikia...
  13. McCollum

    JamiiForums Tanzania Napoteza hamu ya mahusiano muda mfupi baada ya kuyaanzisha. Je, hii ni hali ya kawaida?

    Habari kwa wanajukwaa, ni matumaini yangu muwazima wa afya. Kwa wenzetu ambao wanapitia changamoto za kiafya nawatakia kupona au kupata ahueni kwa haraka. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada, mimi ni kijana wa umri wa kuelekea 30's kwakuwa sasa niko kwenye 20's mwisho huko. Sikujua...
  14. tpaul

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wako akianza kukuletea msharti, achana naye tafuta mpenzi mwingine; kwani kuachana shilingi ngapi?

    Habari wana MMU? Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Naomba kuwashirikisha kisa kimoja na mpenzi wangu Salma. Tumekuwa kwenye mahusiano kwa takribani miaka 2 ijapokuwa kimtindo. Siku za nyuma nilimfungulia kibiashara akawa anajishughulisha nacho lakini baadaye alikula mtaji...
  15. Hold on

    JamiiForums Tanzania Taja herufi ya jina la mwazo la mpenzi wako na lako nikwambie kama mnaendana

    Nataka kukusaidia si ajabu unalazisha mapenzi pasipo na mapenzi mwisho uje ujinyonge kisa wivu ww hapa chini andika mfano Mpenzi wangu Grory mimi Isiaka nashughulikia bure ila uwe mpole comment na kama sitokujibu usisite kuniambia
  16. Dr Count Capone

    JamiiForums Tanzania Umewahi kuchezea block toka kwa mpenzi wako? (Ushuhuda)

    Waungwana shida ziko palepale! Twendeni kwenye mada Nafikiri sote humu tushakuwa kwenye mahusiano kwa muda fulani, na kila mahusiano yana vimbwanga vyake, asikwambie mtu kila mahusiano yana changamoto zake. Sasa hapa tunajadili kama uliwahi kuchezea blocki toka kwa mpenzi wako iwe ktk Harakati...
  17. MILL8

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu u mzuri

    1. Imelala yoo mwamvuli nitaelezea kdogo kuhusu hilo,umuhimu wake kwangu namsamini sana wala sio muongo na ananijali sana tu.mungu amlinde amweke daima anichunge mimi wake,sitamwacha hata iweje kwan nampenda sana kuliko chochote kilichopo nyumbani kwangu. Nnaishi nae kwangu mm nambalikia kwa...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ishara gani za Kisaikolojia ukiziona zinamaanisha leo Mkeo / Mpenzi wako anaenda kukusaliti kwa Mwanaume mwingine?

    Kazi yangu Kubwa leo katika Uzi huu ni Kusoma tu Comments zenu ili nizichakate na nikizielewa na kuziamini Mwanadamu wa Kike ambaye niko nae akirejea Kesho Asubuhi apande Basi la Kimbinyiko arejee mazima Kwao.
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Amber Lulu apigwa na mpenzi wake na kujeruhiwa vibaya

  20. willpower

    JamiiForums Tanzania Binti alituchanganya mimi na classmate wangu, tukampangia tukio

    Salamu za Januari wajumbe, Miaka ile ya ujinga, nilikuwa na mahusiano na binti mmoja, mahusiano yalinoga haswa kuna wakati nikadhani kabisa kuwa sasa huyu atakuwa mke na mama wa watoto wangu. Binti mweupe, sura na haiba ya kike, mwili wa wastani, kiuno kimejitenga vyema kama kisiwa cha Mbudya...
Back
Top Bottom