mpenzi

  1. JamiiForums Tanzania Mlikutana wapi wewe na mke/mume au mpenzi wako?

    Salaam wana fikra pevu. Je, unaweza kueleza ni eneo gani ulikutana na mwenza wako kwa mara ya kwanza, pia je ni kweli kwamba tabia na mwenendo wa mwenza (mke/mume) hutegemea zaidi na sehemu (mf. Kanisani, sokon, baa...etc) mlipokutana kabla ya kuanzisha mahusiano? Mwisho kabisa, ni sehemu...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Nahitaji elimu juu ya mahusiano haya na mpenzi wangu

    Habari zenu ladies and gentles, natumaini mko poa popote pale mlipo. Naomba kupewa mawazo, maoni, experience au ushauri juu ya hii changamoto ninayokutana nayo. Nina mpenzi wangu tumeanza mahusiano huu tunaenda ni mwaka wa 3 sasa. Tulianza mahusiano vizuri sana, nilikuwa naenjoy chats and...
  3. JamiiForums Tanzania Kuchora tatoo ya mpenzi wako ni kipimo sahihi cha upendo au ni ulimbukeni wa mapenzi?

    Kuchora tatoo ya mpenzi wako ni kipimo sahihi cha upendo au ni ulimbukeni wa mapenzi?
  4. JamiiForums Tanzania Unapokutana na mpenzi wako, mpe yote!

    Kumekuwa na tabia ya watu kujibana bana pale wanapokuwa kwenye mahusiano, au kwenye tendo la ndoa; na kupelekea upande mwingine kutokufurahia mahusiano yaliyopo. Na hii inapelekea kuwa na migogoro mingi kwenye mahusiano, kama wapenzi kuachana, kupigana, kurushiana maneno n.k. Kinachotakiwa...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Namuogopa mpenzi wangu nikisikia sauti yake

    Hello people. Ndugu zanguni nina hali fulani hivi siielewi. Nampenda sana shemeji yenu na kwa jinsi alivyo nimejikuta namuheshimu sana ila nahisi kama heshima imezidi hadi imegeuka woga hivi. Japo huwa ananisaidiaga financially akijisikia ila nahisi ninamzidi kipato na simtegemei ila sijui...
  6. JamiiForums Tanzania Je, kama kila ukijaribu myamalize ila mpenzi wako haoneshi kutaka yaishe je kuachana hapo ni uamuzi mzuri?

    Habari zenu bila shaka hamjambo em tupeane fikra hapa kidogo Je mwanaume kuomba samahani kwa mpenzi wako hua mwisho mara ngapi? Je suluhu pia isipofanya kazi kuachana ni uamuzi sahihi ? Tumeishi kwa furaha kwa mda mrefu ila vikombe kugongana lazima kabatini ila huyu mwenzangu kila nikitaka...
  7. JamiiForums Tanzania Fulsa Yako mpenzi

    Natafuta mpenzi sifa yake hizi hapa Awe mkazi wa Arusha , Awe mwalimu wa mazoezi good day
  8. JamiiForums Tanzania Mbakaji Bester na mpenzi wake Dkt. Nandipha walisafirishwa kwa Tsh. Milioni 175

    Serikali ya Afrika Kusini imetumia Tsh. Milioni 175 sawa na (R1.4 milioni) kukodi ndege kutoka Tanzania hadi Afrika Kusini kuwarejesha wafungwa Thabo Bester na Dk Nandipha Magudumana waliokamatwa Arusha Aprili 7, mwaka huu. Waziri wa Mambo ya Ndani wa Afrika Kusini, Aaron Motsoaledi aliiambia...
  9. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani ulishawahi kukatazwa na mpenzi wako hadi ukajiuliza hivi huyu ananichukuliaje?

    Ni kitu gani ulishawahi kukatazwa na mpenzi wako hadi ukajiuliza hivi huyu ananichukulia je?
  10. JamiiForums Tanzania Naombeni tafsiri nimeota mpenzi wangu Irene kajifungua mapacha

    Hello family, Nisaidieni tafsiri ya ndoto hii nimeota mpenzi wangu Irene mtoto wa Hedaru mwenye Babu na Bibi wa huko Gonja Kighale amejifungua mapacha wote wa kike, ni mpenzi wangu miezi sita sasa, wakati huu hana mimba imekuwaje nimeota hio ndoto ya namna hii? Saidieni tafadhari tujenge...
  11. JamiiForums Tanzania Huwa unavaa mavazi ya aina gani pale unapoenda kukutana na mpenzi wako mpya?

    Wakuu, nijibuni haya maswali:- Huwa unavaa mavazi ya aina gani, pale unapoenda kukutana kwa mara ya kwanza, na mpenzi wako mpya, mliyefahamiana naye kupitia mtandaoni? Na kwanini unavaa hayo mavazi?
  12. JamiiForums Tanzania Kauli gani ukiambiwa na mpenzi wako unaanza kuhisi hili penzi halina muda mrefu linakwisha?

    Kauli gani ukiambiwa na mpenzi wako unaanza kuhisi hili penzi halina muda mrefu linakwisha?
  13. S

    JamiiForums Tanzania Huwa unajisikiaje unapokuwa umetoka na mpenzi wako halafu mkakutana na ex wake uso kwa uso?

    TAFITI zinaonesha yafuatayo: Wanaume kuna kibaridi fulani hivi kinakupata nakuanza kujiuliza maswali kibao. Jamaa alimkula demu wangu mpk akatupa kule? Mastaili anayonipa mpenzi wangu usikute jamaa ndiyo alimfundisha. Eeh? Kwahiyo mm natafuna makombo ya jamaa?. Jamaa huyu ananionaje mimi...
  14. JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu mpya anakimbia shoo kwa kutoa visingizio

    Ni wiki ya pili sasa niko naishi na mpenzi wangu mpya ndani ya nyumba moja, pika nipakue; mwanzoni kabla ya kuja aliniahidi kutoa shoo kabambe kila siku, na alipofika siku za mwanzo alikuwa akitoa shoo kabambe, mpaka kidume nikasema kimoyo moyo hapa kweli nimepata mke. Sasa tangu juzi, amekuwa...
  15. JamiiForums Tanzania Nimempenda mpenzi wa Mtu

    Habari wadau, ebana niende kwenye mada, Niliingia mahusiano na dada mmoja nikijua ana mtu wake na mahusiano yangu na yeye yalitokea tu bila kumtaka, yaani katika kuzoeana basi siku moja nikajikuta nimekula tunda. Baada ya hapo nikasema WTF siwezi kuwa nae huyu nikataka kukausha lakini...
  16. JamiiForums Tanzania Ni kipi ukipewa na X wako huwezi kukataa?

    Wadau hebu tupeane A ,B C za ma ex wetu
  17. JamiiForums Tanzania Mwanafunzi afariki nyumbani kwa mpenzi wake

    Emmanuel Kayuni (21) mwanafunzi katika shule ya Mansa, amefariki akiwa nyumbani kwa mpenzi wake katika mji wa Ndola alikokwenda baada ya kutoroka shule huku wazazi wake wakijua anaendelea na masomo, tovuti ya Zambian observer imeripoti. Baba mzazi wa marehemu aitwaye John Kayuni, alisema mtoto...
  18. JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi/love partner

    Wanajamii, salaam! Naomba kwanza kwa kuwa sio kila post unayoiona u comment, comment inayokuhusu tu au ulioombwa ushauri. Mimi ni mwanaume, -miaka 38 -rangi chocolate -mkristu Ninahitaji la mwanamke, -miaka anzia 28 kuendelea -rangi yoyote -dini mkristu au muislamu -kabila lolote -kama ana...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mpenzi

    Habari wakuu, nahitaji la kuwa mpenzi, hivyo binti alie tayar anaweza Kuni pm tukayajenga. Sifa zangu Age 23 Elimu: bado nipo chuo Rangi: black, Dini: mkristo Vigezo, Age 20-25 Elimu, sio issue sana. Dini, mkristo kama ni si mkristo awe tayar kubadili. Mengine ni ziada
  20. S

    JamiiForums Tanzania Kipimo sahihi kwamba unapendwa na mpenzi wako au hupendwi ni pale unapokua huna kitu

    Hiki ni kipimo sahihi cha kujua kama mpenzi wako anakupenda kweli au anapenda tu pesa zako na hapa naongelea zaidi kwasisi wanaume. Unakuta mtu ana mpenzi wake wa kike na anajinadi kwa watu kwamba mimi mwanamke wangu ananipenda, umetumia kigezo gani kujiaminisha hayo unayotamka ? Umeingia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…