mpango

  1. JamiiForums Tanzania Tetesi: Wizara ya Uvuvi imeachana na mpango wa kukopesha vizimba kutokana na ukosefu wa fedha

    Wizara haitatoa vizimba wala boti tena kwa wavuvi, hiyo ndio taarifa rasmi ambayo bado haijawa rasmi. Serikali imeamua kufanya hivyo kutokana na ukosefu wa fedha hasa ikizingatiwa bajeti kadhaa zimepita. Hii taarifa nimeipata kutoka Wizarani Dodoma.
  2. E

    JamiiForums Tanzania Aliyemzuia Mpango na Majaliwa kugombea atamzuia Samia pia

    Watu wenye akili waliomsikiliza Polepole leo inatosha kujua kila kitu kishapangwa na kete inasogezwa moja moja. Ndugu zangu nampenda Samia lkn akili ndogo ya kuvukia barabara inatosha kukufungulia fumbo hili.
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 ACT yalalamikia utaratibu wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar unawakosesha Wananchi wengi haki ya kupiga kura

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI ACT-Wazalendo, tumeshangazwa na kushtushwa na Ujumbe mfupi wa SMS, kutoka Tume ya Uchaguzi Zanzibar, ambao wanatumiwa wananchi, kufika katika Ofisi za Uchaguzi za Wilaya kuchukua Vitambulisho vyao vya kupiga kura (Vote I'd), kuanzia tarehe 17/07/2025, katika Siku na...
  4. JamiiForums Tanzania Baada ya Kassim Majaaliwa philip mpango Humphrey Polepole nani anafuata ?

    Wazungu linapotekea jambo la muendelezo huwa wanamsemo wao maarufu who is a next? Wakiwa na maana nan anafuata. Ndio macho na masikio ya watanzania sasa yatakua wazi mda wote kusikiliza nan anafata badala ya aliekua wazir mkuu kasim majaliwa na vice president mpango na balozi wa Tz Cuba...
  5. JamiiForums Tanzania Mpango, Majaliwa na Polepole ni watu walioamua kuacha kuendelea kufanya kazi na utawala huu. Je nini kinaendelea?

    Makamu wa Rais Muheshimiwa Philip Mpango alidai kuwa ametosha kuwa Makamu wa Rais na hakutaka kuendelea kuwa Makamu kwa muhula wa Urais ujao ambao Rais Samia bado anautetea. Mpango ametaka kustaafu kwa hiari cheo icho ambacho amedumu nacho kwa Muhula mmoja wa Urais. Hatujakaa sawa Waziri Mkuu...
  6. JamiiForums Tanzania Ndugai, Majaliwa na Mpango wamepigwa bao na Polepole

    Sasa ni rasmi kuwa Ndugai, Mpango na Majaliwa wote walipigwa boot. Swali langu kwa nafadi zao ilikuwaje hawakuliona hili mpaka wamexifiwa na bwana mfogo tu Polepole. Su walilewa madaraka wakadhani wamefika? Hii timing ya Polepole imeonyesha kijana ana akili kuliko hawa Wazee. In fact watu wa...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi Serikali ina mpango gani kwenye mikopo ya elimu?

    Hivi Serikali ina mpango gani na hawa vijana kwenye mikopo ya elimu? Kuna utaratibu mpya wa kupata barua za utambulisho kwenye mfumo maalumu wa serikali unaitwa NAPA Lakini watendaji wa vijiji hawajapewa mafunzo yoyote kuhusu huo mfumo Matokeo yake vijana wanashindwa kufanya lolote kwenye...
  8. JamiiForums Tanzania Sina mpango wa kuoa kwa sasa bado nadebedesha." Pawpaw

    " Sina mpango wa kuoa kwa sasa bado nadebedesha." Pawpaw Muigizaji nguli kutoka kiwanda cha Nollywood kule Nigeri Osita Iheme maarufu kama Ukwa au Pawpaw, amesema kua Hana mpango wa kuoa wala kupata watoto. “Nina miaka 43 tayari, sina mpango wa kuoa, nataka tu kuishi maisha yangu na...
  9. JamiiForums Tanzania Hamas inashauriana na vikundi vingine vya Palestina juu ya mpango wa kusitisha mapigano

    Hamas inasema inashauriana na makundi mengine ya Wapalestina kabla ya kutoa jibu rasmi kwa pendekezo la hivi punde la usitishaji vita upya huko Gaza na kuachiliwa kwa mateka lililotolewa na Marekani. Rais Donald Trump alisema Ijumaa asubuhi kwamba alitarajia kujua ndani ya saa 24 ikiwa Hamas...
  10. JamiiForums Tanzania Mpango rahisi wa lishe ya kila siku kwa mgonjwa wa Kisukari

    Huu ni mpango bora na rahisi wa lishe kwa mgonjwa wa Kisukari( Type 2) ili kusaidia kudhibiti kiwango Cha sukari kwenye damu. ASUBUHI (SAA 12- 1) Uji wa dona au ulezi (usitie sukari, tumia maziwa kidogo ya mgando). Mayai 1-2 ya kuchemsha au maharage kiasi. Parachichi au kipande kidogo cha...
  11. JamiiForums Tanzania Philip Mpango, Kassim Majaliwa Wajitenga na Siasa chafu za Rais Samia? Wahuni kupewa Rungu?

    Mwanasiasa wa Tanzania si rahisi kkuachia Madaraka Makubwa. Makamu wa Rais Dr. Philip Mpango, na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Walikuwa hawana Upinzani ndani ya Serikali ya CCM. Viongozi hawa wanajulika kwa kutopenda Uchawa. Rais Samia amekuwa akilaumiwa kufumbia macho Mauaji ya Wale wanao...
  12. JamiiForums Tanzania Je, Mpango wa Kumuua Tundu Lissu kwa Sumu Ukiwa Kizuizini Ni Dalili ya Taifa Lenye Hofu ya Ukweli na Kukwama Kisaikolojia Kabla ya Uchaguzi Mkuu 2025?

    Kwa mujibu wa taarifa rasmi ya CHADEMA, kuna taarifa za kijasusi zinazoibua hofu kuhusu mpango wa kumuwekea sumu Tundu Lissu akiwa kizuizini. Swali kuu ni: tunapoingia uchaguzi mkuu wa 2025, je, hii ndiyo lugha ya kisiasa tunayoruhusu kama taifa? Kama msomi wa saikolojia ya siasa, jaribio la...
  13. JamiiForums Tanzania Yuko wapi Makamu wa Dr Mpango ?

    Jana sijaona akitambulishwa bungeni Je ratiba ilipangwa vipi bila yeye kuwepo Ila Viongozi wengine wote wawepo ? Isipokuwa yeye na mkuu wa Majeshi? Je ni ratiba au Kuna sababu nyingine? Au ndio kastaafu Kama tulivyoalifiwa kabla ya muda?
  14. JamiiForums Tanzania Iran: Haina nia ya kujadili mpango wake wa nyuklia

    Iran imekanusha kurejea kwenye meza ya mazungumzo na Marekani kuhusu mpango wake wa nyuklia, baada ya kumalizika vita vya siku 12 kati yake na Israel na kuishutumu Marekani kuchochoea vita hivyo kwa kuishambulia. Mzozo ulioibuka kati ya Israel na Iran, ulivuruga ratiba ya mazungumzo hayo kati ya...
  15. JamiiForums Tanzania Trump kuipa Iran dola bilioni 30 iachane na mpango wake wa nyuklia

    🚨 BREAKING NEWS 🚨 Rais wa Marekani, Donald Trump, anadaiwa kufikiria kutoa Dola Bilioni $30 (shilingi trilioni 78 za Tanzania) kwa Iran ili iachane na mpango wake wa nyuklia. Je, kiasi hiki cha pesa kinaweza kuifanya Iran kusalimu amri au ni mbinu nyingine ya kisiasa ya Trump kutafuta...
  16. JamiiForums Tanzania Trump akanusha taarifa za kijasusi kuwa mashambulizi hayakuharibu mpango wa nyuklia wa Iran

    Rais wa Marekani Donald Trump amejibu ripoti kuhusu tathmini iliyovuja ya kijasusi juu ya shambulizi la Marekani dhidi ya Iran. Akichapisha ujumbe kwenye jukwaa la Truth Social, Trump alivisuta vyombo vya habari vya Marekani na taarifa zao. "TAARIFA ZA UWONGO CNN, PAMOJA NA NEW YORK TIMES...
  17. JamiiForums Tanzania Dr Wilbroad P. Slaa: Afichua mpango wa siri CCM kuitaka CHADEMA iandae wagombea uchaguzi mkuu 2025

    https://youtu.be/DzhhwThYJOY?si=IRsW6tOKSbFXAH_f Very unfortunately kuwa, wanasema haya wakati kwa mlango wa nyuma wanawatesa CHADEMA walio kinyume na mawazo yao maovu.... Mfano; CCM wanawezaje kuwa na hoja ya namna hii wakati Mwenyekiti wa chama kikubwa CHADEMA, mshindani mkuu wa chama...
  18. JamiiForums Tanzania Nasikia kuna mtu anafanya warm up nafikiri utakuwa mpango wa kuingiza wapiga penati

    Hakika kumekucha safari hii sio mchezo Sub zote zimeisha Ila tunaingiza wapiga penati ambao wako wanafanya warm up. Sasa tusiangushane.
  19. JamiiForums Tanzania Mtibeli naomba ufanye mpango uwe na Account You Tube

    Mtibeli fungua account You tube tuwe tunakupata vizuri . Ahsante
  20. JamiiForums Tanzania Mikopo na Mzigo Mkubwa wa Madeni Nchini Kwetu Tanzania: Wakati wa Uwajibikaji, Uwazi na Mpango Madhubuti wa Kulipa-100 Trillion

    Katika kipindi cha miaka ya karibuni mpaka budget ya jana ikisomwa na Mh. Nchemba, mzigo wa madeni kwa taifa letu la Tanzania umeongezeka kwa kiwango kikubwa sana na cha kutisha. Takwimu za zilizotolewa hata jana zinaonyesha kuwa deni la taifa limevuka zaidi ya shilingi trilioni 100...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…