mpango

  1. JamiiForums Tanzania Kamal Kharaz amesema Iran ipo tayari kwa vita vya muda mrefu

    Katika mahojiano maalum, Mshauri wa Sera za Mambo ya Nje katika ofisi ya Kiongozi Mkuu wa Iran, Kamal Kharazi, alimwambia mwandishi wa CNN Frederik Pleitgen kuwa ni “simulizi la uongo” kudai kwamba uwezo wa kijeshi wa Iran umepungua kwa kiwango kikubwa, na akaongeza kuwa haoni tena “nafasi ya...
  2. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Balozi wa Iran: Hatuna Mpango wa Kuishambulia Kenya...

    Iran has allayed fears of alleged plans to target Kenya amid an escalating war with the United States and Israel. During a press briefing in Nairobi on Monday, Iranian Ambassador to Kenya Dr Ali Gholampour noted that Kenya does not provide a US military facility with the capability to attack...
  3. JamiiForums Tanzania ZECO: Changamoto ya umeme Zanzibar inachangiwa na miundombinu ya kusafirisha umeme, kuna mpango wa kuweka njia kutoka Bara

    Baada ya Mwananchi kupitia JamiiForums.com kulalamikia changamoto ya umeme kukatika mara kwa mara maeneo ya Kwahani Mkoa wa Mjini Magharibi, Wilaya ya Mjini, Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO) limetoa ufafanuzi kuhusu hali hiyo. Hoja ya awali iko hapa ~ Shirika la Umeme Zanzibar mnatukwaza kukata...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais azindua mpango wa ushirikiano kati ya taasisi za elimu na viwanda

    TAARIFA KWA VYOMBO HABARI MAKAMU WA RAIS AZINDUA MPANGO WA USHIRIKIANO KATI YA TAASISI ZA ELIMU NA VIWANDA Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ametoa wito kwa sekta binafsi kushirikiana na Vyuo, kuwekeza katika tafiti hususan za sayansi na...
  5. JamiiForums Tanzania Dkt. Nchimbi: Mpango wa Ushirikiano kati ya Vyuo na Sekta ya Viwanda ni Hitaji la Lazima

    https://www.youtube.com/live/PjZMsQ0hrxU Akizungumza katika uzinduzi wa Mpango wa Ushirikiano kati ya Taasisi za Elimu na Sekta ya Viwanda uliofanyika leo, Februari 9, 2026, jijini Dar es Salaam, Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, amewahimiza Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran: Hatuna mpango wa kuachana na programu ya nyuklia, hatutishiki

    ''Iran imelipa gharama kubwa kwenye programu ya amani ya nyuklia na urutubishaji wa uranium.-Abbas Araghchi - Kwanini tunasisitiza sana kwenye urutubishaji wa uranium na hatuna mpango wa kuachana na programu hii hata kama vita vikiletwa kwetu ?Ni kwasababu hakuna nchi ambayo inaweza kuamuru...
  7. JamiiForums Tanzania PostGE2025 ACT: Tunapinga na Kulaani mpango wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar kuchoma Ushahidi wa Wizi wa Kura

    CHAMA CHA ACT WAZALENDO TUNALAANI NA KUPINGA MPANGO WA ZEC WA KUCHOMA USHAHIDI WA WIZI WA KURA ZANZIBAR – 4 FEBRUARI, 2026 – Wakati timu yetu ya Wanasheria ikiwa mbele ya Mahakama Kuu kuomba Kukagua na Kupata nyaraka muhimu za uchaguzi (Application for Discovery and Inspection), Tume ya...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Uzazi wa mpango upi salama?

    Habari wana JF?. Mimi Niko kwenye ndoa mwaka wa pili, nimebahatika kupata mtoto Mmoja ana mwaka na miezi miwili saiv. Tulikuwa tunatumia njian ya UZAZI WA MPANGO WA kitanzi na mke WANGU, na kitanzi chenyewe kawekewa kina kama miezi nane tu ila chakushangaza alikuwa hajaingia period tangu wiki...
  9. JamiiForums Tanzania Je Trump ana mpango wa kama aliomfanyia Maduro kwa Ali Khamenei wa Iran

    Kama ilivyokuwa kwa kukamatwa kwa rais wa zamani wa Venezuela Nicholas Maduro, kwanza, Marekani ililpeleka meli zake za kivita karibu na Venezuela. Kwa sasa, meli hizo sasa ziko karibu na Irani. Je, Trump kanogewa na hivyo anataka kumnyakuwa ayatollah Ali Khamenei ili kuzidisha kutunisha misuli...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia akizindua Mpango Mkakati wa KKK kwa Watoto wa Awali, Darasa la I na II

    https://www.youtube.com/live/6AuU7vpGdDs
  11. L

    JamiiForums Tanzania Wanaofikiria kumhujumu na kumkwamisha Rais wetu wanajisumbua

    Ndugu zangu Watanzania, Nawapeni tu taarifa ya kuwa kama kuna mtu ama watu ama kikundi cha watu iwe ni ndani ya Nchi ama kutoka nje ya Nchi kinachoweza kuwa na mawazo ama Dhamira ya kumhujumu Rais wetu na Kumkwamisha Rais wetu Mpendwa katika kulitumikia Taifa letu. Ni lazma wafahamu ya kuwa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Dkt. Mpango baada ya kustaafu; Anamiliki shamba la mfano wa kuigwa

  13. JamiiForums Tanzania Mpango wa Bakery 2026 na Ombi la Mawasiliano ya Wauzaji wa Mashine za Kukanda Unga

    Ndugu na mdau wa jukwaa hili ninatumia nafasi hii kuwasilisha wazo langu la biashara kwa mwaka huu wa 2026, nikiwa na matumaini ya kupata mrejesho, ushauri wa moja kwa moja, na hasa mawasiliano ya wadau wanaohusika na uuzaji wa mashine za kuoka na kukanda unga. Nina mpango wa kuanzisha biashara...
  14. JamiiForums Tanzania Somo letu leo kuhusu mpango biashara kwa wakulima na wafugaji

    Leo tunaendelea rasmi na somo la Uandaaji wa Mpango Biashara (Business Plan) kwa wafugaji na wakulima Hili ni somo muhimu sana kwa yeyote anayefanya au anayepanga kuanza kilimo na ufugaji wa kibiashara. Tutajifunza kwa kina: 1. Business Plan ni nini na kwa nini ni muhimu. Jinsi ya kuandaa...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali ina mpango gani na sarafu yetu?

    Hizi sarafu zilivyopotea mitaani serikali ina lengo gani? Kwamba ndio tuanze kutumia mia tano kama sarafu ndogo kuliko? Na kama ikiwa hivyo vipi kuhusu pesa yetu inapoelekea? Wataalam naombeni mnifafanulie tafadhali
  16. JamiiForums Tanzania Project 2025: Mpango wa Kisiasa unaohusishwa na Donald Trump

    Project 2025 ni mpango mkubwa wa sera ulioandaliwa na taasisi za kisiasa za kihafidhina nchini Marekani, hususan Heritage Foundation. Lengo kuu la mpango huu ni kubadilisha mfumo wa uendeshaji wa serikali ya Marekani kuanzia mwaka 2025 endapo rais wa mrengo wa kulia ataingia madarakani. Mpango...
  17. JamiiForums Tanzania Mpango wa kuanza ujenzi SGR Mijini wakati kipande cha Dodoma- Mwanza kinasuasua, nani ameubariki?

    Shirika la Reli Tanzania (TRC) limetoa taarifa kuwa hivi karibuni litaanza ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) katika miji, hususan Dar es Salaam, kama sehemu ya utekelezaji wa maagizo ya Serikali yenye lengo la kupunguza changamoto za usafiri mijini. Baada ya kusoma taarifa hii, nimekuwa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kuna mpango wa kuyagawa maeneo kadhaa ya Dunia, CCM isipodhibitiwa Tanzania ijiandae

    https://x.com/clashreport/status/2007126491885355164 Baada ya Somalia, kituo kinachofuata ni Yemen, Sudan, Libya, Syria, Kama Iran haitaweza kuzuia kinachoendelea ijiandae kuwa na vinchi ndani ya nchi. Siuoni Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kama Samia na viongozi wa aina yake wataendelea...
  19. JamiiForums Tanzania Mpango wa Kujenga kiwanda Huru cha Silaha cha Israeli

    Netanyahu Atangaza Mpango wa $110 Bilioni wa Kujenga kiwanda Huru cha Silaha cha Israeli Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ametangaza uwekezaji mkubwa wa shekeli bilioni 350 (takriban dola bilioni 110) katika muongo ujao ili kuendeleza sekta huru ya silaha za ndani. "Niliidhinisha jumla...
  20. JamiiForums Tanzania GenZ chondechonde, wajumbe wa Serikali za Mitaa na vijiji mtawaonea bure kushambulia familia zao. Achaneni na mpango huu

    Hii ni link ya audio video ya GeZ wakijadiliana namna ya kulianzisha tena pengine kabla hata 25/12 na kuendelea.... https://youtu.be/oLG8oqkpG5c?si=8NzhnwgIimcza0Es Kinachopangwa na kujadiliwa ni maandamano ya kuanzia 25/12. Lakini kilichonishitua zaidi mimi si maandamano yenyewe..... Ni kile...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…