Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Ambwene Yesaya (A.Y), ameeleza mtazamo wake kuhusu mjadala wa “mdundo wa taifa” katika mahojiano na kituo cha redio cha East Africa Radio, Aprili 10, 2026 akisisitiza kuwa muziki hauwezi kulazimishwa kuwa na mwelekeo mmoja bali hujijenga na kukua kiasili.
AY...