mpaka

Mpaka is a town in eastern central Eswatini in western Lubombo District. It lies about 22 kilometres (14 mi) northwest of Siteki on the MR3 highway.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Look around you mpaka chupi/boxer uliyoi_vaa shame on us

    Hellow wana JF. Look around you kila kitu kilicho kuzunguka kimetengenezwa nchi nyingini yani kila kitu mpaka chupi/boxer/taiti uliyoivaa hapo imetengenezwa kwenye nchi nyingine. Vitu vyote vya thamani tunavyo tamba na kuringa navyo hapo Bongo vyote vimetengenezwa nchi nyingine sisi tumekuwa...
  2. JamiiForums Tanzania TTCL FIBE wanachukua mda gani mpaka kuja kufunga?

    Na je kifurushi cha 70,000 unlimited unaweza connect watu wangapi?? Nataka kufanya MAOMBI. Maana hawa Savanna eneo nilipo huduma bado haijafika
  3. M

    JamiiForums Tanzania Polisi adaiwa kumkodi Bodaboda na kukataa kumlipa baada ya kumzungusha kwa saa 1

    Inadaiwa huyu askari alimkodi huyo boda boda kwenye video na baada ya kumzungusha kwa saa moja kagoma kumlipa, kwa mujibu wa maelezo ya boda kulitokea ugomvi ambao ulisababisha huyo polisi kumng'ata kidole huyo boda hali iliyomfanya yeye ampige ngumi ndipo alipomuachia. Hizi aibu kwa jeshi hili...
  4. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Madeleka: Nashangaa mpaka leo Polisi wameshindwa kukamata mtu hata 1 wa mauaji ya Oktoba 29, 2025

    Peter Madeleka:"Sasa kwa nini kwenye tukio hili kubwa, tena ambalo linahusisha mauaji ya watu zaidi ya mia tano, Polisi hawafanyi kazi yao, TISS pia inafanya kazi gani? Eh? Kwa hiyo kwenda kujificha kwenye kivuli kwamba kuna Tume yenye sura ya kimataifa, kuna majaji kutoka Uganda, na wengine...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Lets talk science kwa leo: Kwanini mpaka leo hakuna chanjo ya mafua?

    Nadhani mafua( common colds) yamekuwepo tangu kuwepo kwa binadamu. Pamoja na maendeleo makubwa ya sayansi na teknolojia, bado mpaka leo hakuna chanjo ya mafua. Tatizo ni nini? Tuchepuke kidogo siasa tupeane elimu juu ya mafua.
  6. JamiiForums Tanzania Kwa heshima na taadhima, naomba uiangalie hii video hadi mwisho

  7. JamiiForums Tanzania Mpaka mwakani mwezi wa sita nisipooa, nitawajaza sana mimba

    Nimechoka wakuu Kazi,majukumu na miangaiko nikajiwekea ngoja nitafute chapaa kwanza niache kuoa mpaka nitakapojipata, nikajiwekea nisipate mtoto mpaka nitapojipata nioe kwanza ndio niangaike na kujenga familia Sasa naona umri umeshaenda kibunda hakipatikani kadri mda unavyoenda naona...
  8. JamiiForums Tanzania Nchi yetu ina watu duni mpaka wanagombania bagia za bure?!

    Hili tukio inasemekana limetokea Mbeya! Watu wazima wanagombania bagia za bure! Africa inasikitisha na kukatisha tamaa sana. Kama hali Iko hivi Mbeya wanaosemekana ndio wazalishaji wakubwa wa chakula nchini huko kwingine hali ikoje?!
  9. K

    JamiiForums Tanzania Tumezubaa Tanzania mpaka kutawaliwa na kikundi cha wachache hivi?

    Kikwete family yake, Samia family yake wameweza kututeka, kubaka watu na kuiba pesa kwasababu ya ujinga wa wananchi.
  10. M

    JamiiForums Tanzania imekuwaje umebakiza miaka 25 tu ufikishe 60 na bado hujaona sababu ya kupata hata mtoto mmoja ?

    Ni kwa wale wenye choice ya kuwa na watoto, sio wenye changamoto kama za uzazi unaogopa diapers au unangoja wajukuu moja kwa moja?
  11. JamiiForums Tanzania Nilikuwaga mnene/ubonge kilo 127 nikapunguza uzito mpaka kilo 71, baadhi ya watu wananisema nimekonda

    Unene karaha aisee, mda mwingine unashindwa hata kufunga kamba za viatu Sex ilikuwa naikimbia mwenyewe, nilitunukiwa na mtoto wa ki-ghana aisee akaja ghetto ghafla bin vuuh, aisee nilipiga viwili kitabu sana. Asili ya mwili wangu ni mwembamba na nilikuwa bize na kazi no relationship, no...
  12. JamiiForums Tanzania Tahadhari kubwa : Madini sio rasilimali ya kudumu, tukiendelea hivi mpaka 2050 yataisha

    Wasalam ndugu zangu..... Kibaya zaidi Kampuni ya kigeni ikimaliza kuchimba inafunga na kuondoka, Itatuachia mashimo + kemikali + ajira zilizopotea. Kiuchumi tunaita Resource Curse laana ya Rasilimali. Una mali lakini unabaki maskini zaidi. TUTAPOTEZA VIZAZI 2 Kizazi cha leo kinapata...
  13. T

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wastaafu wa TTCL hawajapata pension zao mpaka leo tarehe 2. Hazina imekauka?

    Ni wale wanaopata pension zao kupitia msajili wa Hazina. Mpaka leo tarehe 2 bado hawajapata pension zao na wanateseka kweli.
  14. JamiiForums Tanzania Ni nani ana majeraha mabaya zaidi mpaka sasa miongoni mwa team zinazopambana katika vita vya ufisadi ndani ya CHADEMA?

    Na ni nani anakwenda kuibuka kidedea na mshindi wa vita hiyo ya ufisadi ndani ya chadema kati ya team Lema & Sugu wanaopinga ufisadi ndani ya chadema, dhidi ya team Heche & Mnyika wanaotetea ufisadi ndani ya chadema? Kwasababu sote ni mashuhuda wa vita hivyo vinavyoendelea na kuibua maswali...
  15. JamiiForums Tanzania Nahitaji 260,000k Tarehe 18 mwezi huu naombeni kazi au mchongo mpaka tarehe hiyo niwe nimepata hiyo hela

    JF Jeshi kubwa Niko hapa sihitaji mnipe Hela naombeni kazi au shughuli ya kufanya Ili mpaka kufikia tarehe tajwa hapo (Laki mbili na elfu stini za kitanzania) niwe na kiasi hicho Cha Pesa. Nipo Pugu Kinyamwezi hapa msaada wenu ni WA muhimu Sana. Thanks in advance
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa, Iran katupia missiles ngapi huko Marekani mpaka aelekee kushinda vita,?

    Wana jamvi hamjamboni? Kunazo tarifa lukuki zikitokea Iran ya Madale kuwa, Tayari huko vita vya Beberu mkuu na Iran ya wairan wanaouumia ukiachana na wairan wa Miswe, eti viko mwishoni mwishoni kuimalizika huku Iran akiwa ndiye mshindi wa vita kwa kumchakaza Marekani kisawasawa Swali langu ni...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Wanachopitia Chadema hakina tofauti na Mkoloni alivyowahi kuiminya Tanu kiuchumi mpaka timu ya Tanu (Yanga) ikawa inacheza mgongo wazi kwa kukosa jezi

    Katika historia ya harakati za ukombozi wa Tanganyika, kabla ya TANU kupewa mamlaka ya kuongoza nchi na baadaye kubadilika kuwa CCM, chama hicho kilikuwa kinapigania ukombozi dhidi ya wakoloni weupe. utawala wa kikoloni ulitafsiri harakati hizo kama tishio kwa utulivu wa kisiasa na hivyo kuweka...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Matokeo ya Wanafunzi wa CBE Mwanza Campus hayajapandishwa kwenye mfumo wa NACTVET

    Sisi ni baadhi ya Wanafunzi wa Diploma (March Intake 2025/2026) wa CBE Mwanza Campus hadi sasa matokeo yetu bado hayajapandishwa kwenye mfumo wa NACTVET, jambo linalotukosesha fursa za kuomba ajira na kujiunga na masomo ya juu. Tunapofuatilia chuoni mara nyingi tunaambiwa tusubiri bila kupewa...
  19. JamiiForums Tanzania Hawa jamaa haipiti siku sijakutana na tangazo lao la kazi,huwa wana matatizo gani mpaka wafanyakazi wanawakimbia?

    Wanajiita platinum credit Ikipita siku hawajatoa tangazo la kazi ni bahati sana. Sijajua wana tatizo gani!
  20. M

    JamiiForums Tanzania Ni surprise gani uliwahi kufanyiwa na mpenzi wako mpaka leo huwezi kusahau

    Kuna binti kakutana na Surprise ambayo naamini hawezi kusahau kamwe, alikuwa na mpenzi wake ambaye walikuwa na miaka 4 anakwenda mpaka kwa kwao na jamaa akiamini kwa hatua waliyofikia yeye ni mke bado kuthibitishwa tu. Kama kawaida siku moja alikwenda kwa mpenzi wake akalala mpaka asubuhi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…