Look around you mpaka chupi/boxer uliyoi_vaa shame on us

Look around you mpaka chupi/boxer uliyoi_vaa shame on us

fact only

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2024
Posts
2,408
Reaction score
3,828
Hellow wana JF.

Look around you kila kitu kilicho kuzunguka kimetengenezwa nchi nyingini yani kila kitu mpaka chupi/boxer/taiti uliyoivaa hapo imetengenezwa kwenye nchi nyingine.

Vitu vyote vya thamani tunavyo tamba na kuringa navyo hapo Bongo vyote vimetengenezwa nchi nyingine sisi tumekuwa wazee wakupokea tu na sio kuzalisha.

Hata kwenye familia yako kama hauzalishi umasikini utakupiga utakosa thamani dharau na kuonekane useless kwenye familia yako hakuta kauka.

Bongo Wengi tunatembea tumekufa kimaono hatuna future ya uzalishaji yani hata viwanda vidogo(sindo) navyo ni mtihani kwetu.

kama hatuzalishi nakuuza bidhaa hatuwezi kutoka kwenye umasikini hata aje Rais nani hapa nchini.(kwenye uzalishaji kuna chain pana sana ya kuukata umasikini).

Hakuna inchi inayo zalisha(viwanda) alafu ikawa ipo kwenye umasikini/ufukara mkubwa. Viwanda/uzarishaji ndiyo kilakitu katika duni hii.

BILA VIWANDA/UZALISHAJI THERE IS NO WAY KWAMBA TUNAWEZA KUTOKA KWENYE UMASIKI/UFUKARA NEVER.
 
Lawama ziende mboga mboga!

Tanahitaji balance kuwa na 50/50 import & export ya bidhaa zote .

Ili kuwa na uchumi himilivu (fursa zinazoongezeka) wa kuweza kukabiliana na tatizo sugu la ajira, ugumu wa maisha n.k

wakati wao ziko bidhaa hawapokei kutoka kwetu sisi kila bidhaa tuna ruhusu kuingiza kutoka kwao bila kujali adhari za kiuchumi

Sasaivi hata zile bidhaa ambazo mababu zetu waliweza kutengeza zinatoka China.
 
Ukweli wamatumbi wanapenda mteremko

Ni kheri mtu aongelee kukonda kwa jux kuliko kujifunza skill ya aina yoyote
 
Vitu vyote vya thamani tunavyo tomba na kuringa navyo hapo Bongo vyote vimetengenezwa nchi nyingine sisi tumekuwa wazee wakupokea tu na sio kuzalisha.
Kwa hili kama kuna watu bado wanategemea kutoka nchi za nje basi kuna uwalakini kichwani mwao. Mungu katujaalia warembo wa kila aina nchini mwetu
 
Lawama ziende mboga mboga!

Tanahitaji balance kuwa na 50/50 import & export ya bidhaa zote .

Ili kuwa na uchumi himilivu (fursa zinazoongezeka) wa kuweza kukabiliana na tatizo sugu la ajira, ugumu wa maisha n.k

wakati wao ziko bidhaa hawapokei kutoka kwetu sisi kila bidhaa tuna ruhusu kuingiza kutoka kwao bila kujali adhari za kiuchumi

Sasaivi hata zile bidhaa ambazo mababu zetu waliweza kutengeza zinatoka China.
Bidhaa zote Mkuu.

Hata ukikaa hivi sebureni kwako angalia kwa umakini vitu vingi vilivyo kuzunguka havija zalishwa hapa nchini.

Pia ukitoka tazama humo barabarani vitu vyote hatujazalisha hata kidogo.

Umasikini/Ufukara utatuua tusipo badilika.
 
Kwa hili kama kuna watu bado wanategemea kutoka nchi za nje basi kuna uwalakini kichwani mwao. Mungu katujaalia warembo wa kila aina nchini mwetu
😀 Mkuu najua wewe umeona hapo tu.
 
Kwenye nchi ambayo being a hype-man inalipa kuliko ubunifu na uzalishaji, viwanda vitatoka wapi?
 
Hao wanaozalisha ndo wanao-fund hizo taasisi.
Masharti yao na yetu hayafanani...
Nakueelewa mkuu lakini haina maana kwamba tushindwe kuzalisha hapa ndani.

Tunashidwa kuzalisha hata nguo zetu wenyewe, viatu, vifaa vya ujenzi, viatu n.k.

Tusijifiche kwenye kichaka cha hao wadau.
 
Back
Top Bottom