Mpaka kufika 2030 hatutoboi nawaambia

Mpaka kufika 2030 hatutoboi nawaambia

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,760
Reaction score
37,366
Hii mafa JF wekeni pin kabisa.Tokea October 29 2025 mpaka sasa kama shuguli za serikali zimeamisha kuwa shuguli za propaganda,matumizi ya ovyo kwenye mamlaka,mda mwengi kujisafisha na kuumbuka.

Jinsi siku zinavyozidi kusogea na hali inavyozidi kuwa ukichaa na damu za watu.
FB_IMG_1784870513996.jpg
 
Duh,
Akili gani hizo?
Una apartments umepangisha unaishi kwingine mbali, mpangaji akiuza ngada utaifishiwe?? Utajuaje kama anauza?!
 
Wale waliopangisha wapangani wenye biashara za duka la mahitaji ya nyumbani itakuwaje? 😁😄😁
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom