movie

Movie Movie is a 1978 American double bill directed by Stanley Donen. It consists of two films, Dynamite Hands, a boxing ring morality play, and Baxter's Beauties of 1933, a musical comedy, both starring the husband-and-wife team of George C. Scott and Trish Van Devere. A fake trailer for a flying-ace movie set in World War I entitled Zero Hour (also starring Scott) is shown between the double feature.
Barry Bostwick, Red Buttons, Art Carney and Eli Wallach also appear in both segments, with Harry Hamlin, Barbara Harris and Ann Reinking featured in one each. The script was written by Larry Gelbart and Sheldon Keller.

View More On Wikipedia.org
  1. W

    JamiiForums Tanzania Nashauri BASATA ipitie pia hizi movie zinazotafsiriwa na hawa maDJ wa mitaani, nyingine zinapotoshwa kimaudhui

    Nimetoka kuangalia movie inayoitwa 'Tears of the sun' ya Bruce Willis iliyotafsiriwa na huyu DJ Mac wa Acheche Production, hakika tafsiri yake ya udini ameitia chumvi mno. Yaani kila baada ya maneno matano sita, anataja ugomvi wa kidini kitu ambacho hata movie yenyewe haisemi hivyo; anaongopa...
  2. Dcxkobe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yamenikuta Kama ya kwenye movie

    Mwaka 2019 nilikua na msichana mpenzi wangu mwaka huo huo nkaondoka kwenda kuitafuta maisha nkamwambia acha nikasake noti nikizipata nitakuja nikuoe mwaka huu mwezi uliopita ndio nimerudi nimemkuta ameshaolewa na ana watoto wa 2 dah yamenikuta ya kwenye dhadkan ya sunnly shety
  3. Willy T

    JamiiForums Tanzania Ni movie gani kali ambayo huwezi kuisahau?

    Wapendwa kimtazamo ni movie gani ambayo ilikuvutia sana au ilikukugusa kwa namna moja hadi nyingine Mfano. Kuna bongo movie moja inaitwa vivia ukiangalia unaweza kulia Pia kuna Captain Philips bonge la movie Death race Kuna moja mauwaji ya #Rebel
  4. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Hii movie: The Channel, 2023

    Kuna hii movie ya 2023, inaitwa The Channel. Ni simple tu, kwamba mshikaji (ex marine) anaenda na wenzie kama wanne hivi (nao ni ex marine) akiwemo kaka yake mmoja kupora bank. Mission ilikua simple, in and out ndani ya dakika chache. Ila kuna mtu aliwauza, wanatoka wanakuta polisi...
  5. Dcxkobe

    JamiiForums Tanzania Mnaikubuka hii movie?

    Mnaikubuka hii movie ya Ajay davigan inaitwa Vijay path aise Kuna song umo demu alikua anawaza baada ya mshikaji kumualika kunywa chai aise vya kale zahabu zile alaaa zinavyopigwa Yan madogo wa ckuiz wanazngua. Ule uhalisia wa bollywood hakuna Tena nachi inaimbwa Kama amapiano
  6. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Mara yako ya mwisho kuangalia movie za kihindi ilikuwa lini?

    Me mara yangu ya mwisho kuangalia movie za kihindi ni mwaka 2017 ilikuwa movie moja hivi inaitwa 'Shanklaj' Kwenye hii movie bana starling alipiga teke tembo, hadi tembo ikapaa, nikasema sitokaa tena niangalie Hindi movies. wewe kwa upande wako ilikuwa lini? au bado unatazama.
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Let it shine: Movie ninayoweza kuitazama hata mara kumi

    FILAMU NILIYOITAZAMA ZAIDI YA MARA KUMI. LET IT SHINE (2012) Tyler James Williams, mtoto wa mchungaji, ndiye mhusika mkuu kwenye simulizi hii akiwa sambamba na Coco Jones. Nilianza kumfahamu Tyler kwenye EVERYBODY HATES CHRISS na kufurahia uhusika wake. Uchambuzi huu unamwangazia zaidi yeye...
  8. Marashaaa95

    JamiiForums Tanzania Natafuta audio/soundtrack ya kwenye movie ya my darling

    WAKUU Nilikua natafuta SOUNDTRACK ya movie ya MY DARLING ya Mussa Banzi ndani ya ile movie kaimba yule KIPOFU aliitwa TAFU Eeebwana eeeh lile Beat sijui alinyonga P FUNK MAJANI Maana ni balaa nikikumbuka. Beat kali,Ujumbe mkali na muimbaji aliimba kwa hisia sana . YouTube hii movie haipo ,nahisi...
  9. Majighu2015

    JamiiForums Tanzania Movie ya EONII hakuna kitu

    Nimeingalia movie ya EONII lakini haijanifurahisha kabisaaa. Advertisement waliyofanya AZAM ni kubwa sana lakini movie sifuri. Teknolojia iliyotumika ni kubwa kuliko movie yenyewe. Characters waliocheza movie wamemezeshwa maneno ya kuongea hata mzuka haupo. Angalau Azam wangetafuta professional...
  10. F

    JamiiForums Tanzania African movie

    Black emanuelle
  11. Urban Edmund

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi, tunaoendelea na tunaotamani kuifatilia movie ya THE WALKING DEAD tukutane hapa

    Katika kujaribujaribu kuangalia Movie ili kupata burudani, elimu au kupitisha wakati nimekuwa nikiziangalia movie tofautitofauti lakini nilikuja kukutana na hii The Walking Dead Nimeipenda na nimejikuta natamani kujua kinachoendelea kila wakati maana ipo kiEpisodes na Seasons sasa mependa...
  12. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna movie yeyote tamu na kali inayoizidi Apocalypto?

    Ndugu zangu nimetizama movie nyingi sana kali, ila hii Apocalypto 2006 ni bonge la movie.
  13. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Ufahamu uhalisia wa behind the scenes, ya movie mbalimbali

    Najua kila mmoja ana hobby azipendazo, I we kuangalia mpira, kusikiliza Nyimbo, kuSoma vitabu na hata kupika. 👉Ila Mimi ni mmoja ya watu ambao mapenzi yangu makubwa yapo katika movie na series. Nimekuwa nikipenda uigizaji, uandishi na utayarishaji was movie na tamthilia mbali mbali, hivyo leo...
  14. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Wanawake: Kweli mke wa mtu uniombe uje uangalie movie ghetto kwangu?

    Wanawake chonde chonde tupunguzieni kesi na lawama, mko siriazi kweli? Mke wa mtu analazimisha aje aangalie movie za karate na Judo ghetto kwangu hivi hii ni nini? Maadili yameenda wapi heshima imeuzwa wapi. Uchumi wa Dunia uyumbe na umakini pia wa kujiheshimu nao uyumbe. Tafadhali tuyaepuke...
  15. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania SISU ni movie inayoongoza kwa uongo duniani

    wakuu kuna movie mpya inatamba kwasasa inaitwa sisu. Ni movie nzuri ila ina uongo wa kushato wazee. Kwanza mzee sisu anazuia risasi kwa bakuli la bati sijui, anazama ndani ya maji na kuvuta pumzi ya maiti bila kufa. Ananyongwa na wanajeshi wa nazi usiku kucha lakini asubuhi bado ni mzima...
  16. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Movie gani imekubamba mwaka huu 2023 so far

    So far tunaelekea june kuugawa mwaka, mpaka sasa movie gani ya mwaka huu 2023 imekubamba? Mimi mpaka sasa kuna hii The covenant
  17. Artifact Collector

    JamiiForums Tanzania Bongo movie hazifundishi ujasiri bali msisitizo upo kwenye mahusiano

    Kama ulishawah angalia bongo movie hata kwa uchache wake utagundua bongo movie hazifundishi ujasiri kabisa visa vyao karibia vyote ni vya mapenzi hii imepelekea kuwa na kizazi ambacho sio majasiri Tanzania hatuna majasiri kabisa hii ni kwa sababu mtoto anakua katika mazingira ambayo...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Tucheze mchezo wa picha kwa kutumia movie ulizowahi kuona

    Hapo juu ni picha ila kuna vifaa au vitu flani ulishakiona katika movie, taja movie zote 25 au baadhi, mfano: hapo kuna SAW na Enter the dragon.... Tiririka👇
  19. SirAlfred006

    JamiiForums Tanzania Movie kali zaidi za kijeshi

    Kali mno
  20. BRN

    JamiiForums Tanzania Movie zenye Maudhui ya Kula/Kuliwa Tunda Kimasihara

    Kama kichwa cha Uzi hapo juu na wale waliowahi kupitia Uzi wa kula Tunda Kimasihara wa rikiboy watakuwa wanaelewa ninachomaanisha. Hizi ni movie ambazo Maudhui yake yamehusisha washiriki wake kufanya ngono au kuwa wapenzi bila kutarajia kwa sababu mbali mbali,nitazitaja hapa na maelezo kidogo...
Back
Top Bottom