Kwa wapenda movie za aliens Series ya invasion ni series Bora kabisa

Fifteen

JF-Expert Member
Oct 5, 2021
419
506
Habari jukwaani kwa wawafatiliaji wa movie za aliens sizani kama Kuna movie Bora kuizidi invasion ambayo iko season two episode ya 7 week hii ubora wake ni

1. kwanza Aliens hawajavamia america tu ni world wide.

2. Aliens hawaongei kingereza Wala hawafati linguistics yetu.

3. Mapambano hayaongozwi na USA pekeake kama movie nyingi.

4. Inaonyesha Kua Aliens ni different species sio kama tunavoonyeshwa kwenye movie zingine.

Hii movie wamejitahidi sana kuweka uhalisia.

Screenshot_20230823-225803.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom