movie

Movie Movie is a 1978 American double bill directed by Stanley Donen. It consists of two films, Dynamite Hands, a boxing ring morality play, and Baxter's Beauties of 1933, a musical comedy, both starring the husband-and-wife team of George C. Scott and Trish Van Devere. A fake trailer for a flying-ace movie set in World War I entitled Zero Hour (also starring Scott) is shown between the double feature.
Barry Bostwick, Red Buttons, Art Carney and Eli Wallach also appear in both segments, with Harry Hamlin, Barbara Harris and Ann Reinking featured in one each. The script was written by Larry Gelbart and Sheldon Keller.

View More On Wikipedia.org
  1. Kinjekitile Jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Kwa anayejua mahali pakupata filamu ya Vuta N'Kuvute

    Habarini wana jamvi, Ninaomba mnisaidieni kwa yoyote anayefahamu sehemu ya kupata movie ya Vuta N'Kuvute au Tug of War anifahamishe au kama ana link anisaidie maana nimeitafuta sana lakini sijaipata.
  2. fredyyboy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wapenzi wa movie za science (space, technology)tukutane hapa

    Nimekuwa mlevi wa movie za Aina hii Science) kama vile space movie nazikubali sana Bila shaka sipo mwenyewe dondosha movie lako Kali la Aina hii hapa.
  3. Niache Nteseke

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania MSAADA: Naomba 'link' ya filamu ya Vuta N'Kuvute | Tag of War

    Wakuu heshima kwenu. Natumai mpo salama kabisa, kama mada inavyojieleza hapo juu naomba msaada niweze ku-download hiyo movie ya kibongo inaitwa TAG OF WAR mwenye direct link naomba anisaidie tafadhali. Natanguliza shukran.
  4. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Huyu mhasibu hakuangalia vizuri zile movie zinazofundisha

    MHASIBU wa Kampuni ya Your Home Choice ya Keko, Dar es Salaam, Deodatus Luhela (35), anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kutoa taarifa za uongo kuwa ametekwa na kujeruhiwa na majambazi kisha kuporwa Sh. milioni 60 za mwajiri wake. Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam...
  5. Ali Nassor Px

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania BONGO MOVIE | Special Thread

    Top ten Bongo movie series of all time. Licha ya tasnia ya bongo movie kukubwa na changamoto nyingi kama ukosefu wa soko, badget ndogo ya kutengenezea film, Ukosefu wa watu wapambanaji na wabunifu katika Tasnia. lakini haifanyi kufcha au tushindwe kutaja na kusifia kazi bora ambazo ziliwahi...
  6. master of cities

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta movie Kali za kijasusi

    Wakuu kwema natafta movie Kali za kijasusi , ikiwezekana wazee wa black market wawemo , drug dealer , kusalitiana na kugeukana , bila kusahau kuwe na vyuma ( risasi) za kutosha , movie ziwe angalau zimechezwa kuanzia mwaka 2005-2022... Nikipata za kichina itapendeza zaidi mana wale jamaa...
  7. February Makamba

    JamiiForums Tanzania Movie ya Rango ilitabiri huu Mgao wa maji na Umeme utaisha lini

    Kuna watu wanahisi huu mgao labda ni kitu cha muda mfupi, yani labda by December mambo yatakuwa shwari. Hii imenikumbusha ile scene ya movie ya Rango ambapo Rango anakutanishwa na Mayor wa kijiji cha Dirt kwa mara ya kwanza. Kijiji cha Dirt kimekuwa kina shida ya ukame na watu hawana maji kwa...
  8. Akilihuru

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pitia hapa kama unahitaji movie yoyote ya Kizungu, Kihindi na Kichina

    Kwema wakuu, Hii thread ni special kwa wale wana JF wenzangu wanaopenda movie mbali mbali za kizungu, kihindi na kichina. Lakini kwa bahati mbaya wamesahau majina ya movie husika, pamoja na wale waliocheza movie hizo. Kwa leo naomba nianze na movie hizi kadhaa za kizungu, kihindi na kichina...
  9. Poker

    JamiiForums Tanzania INSYUKA ni movie bora sana kuwahi kuigizwa na wasanii wa Tanzania haina mpinzani

    Hi movie ilitakiwa ipewe heshima yake katika ulimwengu wa sanaa kwa namna bora ya uigizaji na namna ilivyoweza kuleta muamko mkubwa ndani na nje ya tasnia ya bongo movies. Nadhani hio ndio ilikuwa turning point ya bongo movies. Sidhani kama itakuja kuwa na mpinzani labda kwa baadae sana. Kudos...
  10. Abu Ubaidah Commando

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilikuwa nacheki bongo movie kupitia Azam, ni fedheha sana

    Nilikuwa nacheki bongo movie mchana wa leo kupitia azam 😁 dah ni fedheha sana, ni aibu mno, mimi ni mfuatiliaji mzuri sana wa ERTUGRUL na kwa sasa OSMAN, kwakweli waturuki wapo mbali sana, hii historia ya Ottoman inatufundisha mambo mengi sana ambayo huyakuti katika movie zetu za kibongo wala...
  11. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Iran: Televisheni ya taifa yadukuliwa wakati wa taarifa ya habari

    Tukio hilo limetokea baada ya taswira ya mtu aliyevaa kinyago usoni kuonekana akizungumza kisha ikatokea picha ya Kiongozi Mkuu Ali Khamenei akiwa amezungukwa na Wanawake wanne waliouawa hivi karibuni. Wadukuaji wanajiita Adalat Ali au Watetezi wa Ali wakihusishwa na waandamanaji wanaopinga...
  12. koba lee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Movie ya LOU ya mwaka 2022

    Mzuka wanajamvi? Sina mengi ila nilitaka kushare haka kataarifa kafupi niliko nako kuhusu hii movie ya Action, Crime na Drama. Kuna yule mtoto katika hii filamu anatumia jina la Vee ambaye mama yake ni Hannah, ebana kumbe huyu dogo Vee mama yake halisi ni mbongo namaanisha ni mtanzania...
  13. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Movie 10 kali za kuziangalia kuanzia Oktoba 2022

    Kwenye list yako ya filamu za kuziangalia hakikisha umeweka hizi hapa; 1. All That Breathes 2. Emily 3. Wendell & Wild 4. Black Adam 5. The Banshees of Inisherin 6. My Policeman 7. Decision to Leave 8. Triangle of Sadness 9. The Lost King 10. Ticket to Paradise
  14. Planet Data bundles

    JamiiForums Tanzania Nahitaji movie /series hizi hapa

    Location Dar!! -Haves and haves not season 4 kuendelea -Tyrant season 4 -Deep state season3 -Queen of south season4 -Condor season 3 Movie -the witch (ile ya kizungu) -Oblivion -inception (2010) Mode of payment -Exchange : Tunabadilishana series mi nakupa nilizonazo naww unanipa hizo -Nalipia...
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania The Gray Man: A Movie Review

    Kwa wale wapenzi wa Movie, kuna huu mzigo wa Netflix, The Gray Man..., Yes, kuna possibilty watu wengi wamekwisha itazama.., Sadly imepata reviews mbovu sana from Rotten Tomatoes na Critics wengine.., Opinion yangu (inaeza isiwe important sana) ni tofauti kidogo.., Huu mzigo ni hatari sana...
  16. TODAYS

    JamiiForums Tanzania MAZISHINI LONDON: Movie Linaendelea Bimkubwa aibiwa simu

  17. 6 Pack

    JamiiForums Tanzania Ten years now, tasnia ya movie imekosa mbadala wa Kanumba nchini

    Vipi wakuu, kwema huko mitaani. Ebwana inasikitisha kuona nchi kubwa kama TZ, iliyosheheni watu wenye vipaji mbali mbali vya uigizaji, anakosekana mtu wa kuziba pengo aliloacha hayati Kanumba. Mwanzo mwanzo Rey alikuja na mikwara ya kujifanya kuwa yeye ndo mwenye uwezo wa kuliziba na kulifunga...
  18. JOTO LA MOTO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "ONLY ONE KING" the movie.

    TITLE:ONLY ONE KING MTUNZI:JOTO LA MOTO SEHEMU YA KWANZA NJE.IKULU YA MFALME MKUU-MCHANA Jengo kubwa jeupe, ndani ya uzio wa ukuta na nyaya za senyenge nzito juu. Kwenye eneo la kilomita za mraba kama elfu kumi hivi. Nje kuzunguka jengo wanaonekana Askari kadhaa wakiwa wamevalia maalum huku...
  19. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Shutuma nzito dhidi ya waigizaji wa bongo movie

    Tunapenda kupeleka shutuma hii kwa waigizaji wa bongo movie hasa episode za ndoa/mahusiano/mapenzi. Waigizaji hawa wamekuwa wakiingiza ubaya, ubabe, ufedhuli, kiburi, umalaya, wizi, utapeli, ushirikina, mauaji, matumizi ya dawa za kulevya, ndani ya mapenzi kitendo ambacho kimekuwa kikifundisha...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Wajuzi naomba mnitoe ushamba, hivi star wa movie za mapigano anapatikanaje?

    Zamani nilifikiri inatokana na uwezo wa kupigana wa mtu, hivyo niliamini Jack chan, Jet Li, Jack Bauer na wengine ni mafundi haswaa wa kupigana kuzidi wanaocheza nao. Lakini najiuliza ina maana ni kweli kwamba wale wengine wote hawajui kuwazidi? Nikiangalia picha nyingi za mapigano ni nakshi za...
Back
Top Bottom