App ya movie (Movie Box Pro)

IBRA wa PILI

JF-Expert Member
Oct 12, 2017
1,448
2,290
Mambo vipi wakuu bila Shaka mko good ok, leo nimeona niwaletee hii app kwa wale wapenzi wa movies Aina zote basi app hii utapata mpaka season cha kufanya ni kwenda Google search then pakua au download kwenye cmu yako au hata pc isipokua App hii ipo Tu kama Netflix japo hii ulipii kupakua movie Zaid ya MB zako Tu.

IMG_20221215_135803.jpg

Lakini pia huwezi hamisha movie utabaki kwenye app humo na utaitazama humo pia mb ndogo quality nzuri (360P) japo ukitaka zaidi ya appo unapata kila la kheri kwa muda naona mpaka email huwa wanahitaji unapo ipakua so mwenye kuhitaji ataifata ambae ata hitaji ata iacha.

ukipakua anza na movie hizi Kwanza ufurahie

Screenshot_2022-12-15-14-46-18-47.jpg
Screenshot_2022-12-15-14-45-32-90.jpg
Screenshot_2022-12-15-14-46-48-14.jpg

Emancipation mwamba will smith kahusika inahusiana na maswala ya utumwa ni nzuri


blood red sky ni mother mmoja alikua na ugonjwa kama wa zombie alikua akitumia dawa wakat kapanda ndege wakatekwa naye alipigwa risas kutokana na ule ugonjwa akufa isipokua alirud akawa kiumbe kingne ivyo wale jamaa nao wakaanza isoma namba japo alikua anawazibiti wasi wazuru abiria lakin ilikua ni ngumu kifupi ivyo mkuu Steve morel kaeleza vzuri

Uncharted hii inahusu maswala ya kufata dhahabu sehemu flani ambako meli zilikwama huko na palikua na ramani ambayo ilikua ukiipata iyo ndio inakufikisha uko ila waligeukana na kuna majangir wengne nao walihitaj izo dhahabu ifate uinjoy zaid
Screenshot_2022-12-15-14-44-43-29.jpg
 

Attachments

  • Screenshot_2022-12-15-14-46-18-47.jpg
    Screenshot_2022-12-15-14-46-18-47.jpg
    93.5 KB · Views: 51
Nimeipakua ni nzuri ila tatizo movie zinakaa humo humo kwenye app. Vipi hakuna nyingine nzuri zaidi ya hii?
 
Uzuri kwa sasa hii app unaweza kuzitoa movie na kuweka ata kwenye flash na kuchek kupitia TV Una download na kuziondoa saaaafi
 
Back
Top Bottom