moto

Grand Prix motorcycle racing is the premier class of motorcycle road racing events held on road circuits sanctioned by the Fédération Internationale de Motocyclisme (FIM). Independent motorcycle racing events have been held since the start of the twentieth century and large national events were often given the title Grand Prix. The foundation of the Fédération Internationale de Motocyclisme as the international governing body for motorcycle sport in 1949 provided the opportunity to coordinate rules and regulations in order that selected events could count towards official World Championships. It is the oldest established motorsport world championship.Grand Prix motorcycles are purpose-built racing machines that are unavailable for purchase by the general public and unable to be ridden legally on public roads. This contrasts with the various production-based categories of racing, such as the Superbike World Championship and the Isle of Man TT Races that feature modified versions of road-going motorcycles available to the public. The current top division is known as MotoGP since 2002 when the four-stroke era began. Prior to that, the largest class was 500cc, both of which form a historical continuum as the official World Championship, although all classes have official status.
The championship is currently divided into four classes: Moto Grand Prix, Moto2, Moto3 and MotoE. The first three classes use four-stroke engines, while the MotoE class (new in 2019) uses electric motorcycles. The 2019 MotoGP season comprises 19 Grands Prix, with 12 held in Europe, three in Asia, two in the Americas, and one each in Australia and the Middle East.
The most successful rider in Grand Prix history is Giacomo Agostini with 15 titles and 122 race wins. In the top-flight series, Agostini holds the title record with eight, followed by active riders Valentino Rossi with seven and Marc Márquez with six. As of 2019, Rossi holds the record for most top-flight race wins with 89.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy: Masoko na Stendi zote zinazomilikiwa na TAMISEMI kujengewa Visima vya Maji ili kukabiliana na moto

    Waziri wa TAMISEMI, Mhe. Ummy Mwalimu amesema Serikali itajenga visima vya maji kwenye masoko na stendi za mabasi zote zinazomilikiwa na Halmashauri ili kukabiliana na majanga ya moto pindi yanapojitokeza. Chanzo: Radio One
  2. JamiiForums Tanzania Kamishna Jenerali wa Zimamoto: Changamoto ya maji Kariakoo ilisababisha kuchelewa kuzimwa kwa moto

    Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji John Masunga amesema sababu ya kuchukua muda mrefu kudhibiti moto katika Soko la Kariakoo ni kutokana na kutokuwa na sehemu za kuchukulia maji ndani ya Kariakoo hivyo iliwalazimu kuyafuata Airport. Changamoto ya mfumo wa maji uliopo katika eneo...
  3. JamiiForums Tanzania Majanga kama hili la Moto Kariakoo yanazidi kutukumbusha umuhimu wa Sekta Binafsi kwenye Uchumi

    Najua bado itatuchukua muda sana kwa watunga sera kulielewa hili suala, maana ni suala la kifalsafa zaidi. Fikiria kama ungekuwa na huduma ya Fire ambayo ni ya binafsi, ambao wana kandarasi ya kuzima moto kwenye jiji, utendaji wake ungekuwa wa tofauti sana. Private sekta ipo efficient sana...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali yaunda Kamati kuchunguza chanzo cha moto Soko Kuu Kariakoo. Waziri Mkuu asema hatua zitachukuliwa moja kwa moja ikijulikana kuna mkono wa mtu

    Habari wakuu, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla akiwa Soko Kuu la Kariakoo, amesema serikali imeunda tume ya watu kumi kuchunguza na kupata ukweli wa chanzo cha moto na athari zilizopatikana ikiwemo mali zilizoteketea, pia amesema Waziri mkuu yuko njiani kuja kukagua na kuongea na...
  5. JamiiForums Tanzania CAG alishaliona hili kuhusu janga la moto na miundombinu ya kupambana nalo tukampuuza

    Aliposema haya na mengine mengi yenye maslahi ya umma, viongozi wetu dhaifu, wafupi wa kimo na upeo walimbeza, wakamdhalilisha na kumtweza Prof Assad... leo Zimamoto wanakwambia "tulizima moto maji yakaisha, tukaenda kuchota maji.. moto ukazidi" Nachofahamu mimi kwa upeo wangu mdogo, ni kuwa...
  6. JamiiForums Tanzania Morogoro: Shule ya Wasichana ya At-Taanun Islamic inawaka moto usiku huu

    Habari za muda huu, Shule ya At-Taanun Islamic Girls iliyopo Morogoro inawaka moto usiku huu! Taarifa zaidi zitakuja.
  7. JamiiForums Tanzania Soko la Kariakoo lateketea kwa moto

    Soko Kuu la Kariakoo jijini Dar es Salaam linaungua moto usiku huu huku jitihada za kuuzima zikiendelea. Akizungumza na Mwananchi kwa simu, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amethibitisha tukio hilo. Makalla ambaye yuko kwenye eneo la tukio, amesema; “Ni kweli soko linaungua na tuko...
  8. JamiiForums Tanzania Geita: Moto wateketeza vifaa vya wanafunzi

    Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Wilaya ya Geita kwa kushirikiana na askari wa GGM wamedhibiti moto uliowaka kwenye moja ya darasa la Shule ya sekondari Geita iliyopo mjini Geita. Moto huo ambao chanzo chake hakijajulikana umeanza kuwaka saa 3 usiku na kuteketeza magodoro na masanduku ya wanafunzi...
  9. JamiiForums Tanzania Zimamoto IIala wadhibiti moto Kariakoo (Julai 4, 2021)

    Kariakoo inaungua na moto muda huu ====== Dar es Salaam: 04.07.2021 Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam, limefanikiwa kudhibiti moto uliokuwa ukiwaka katika nyumba inayomilikiwa na familia ya Mussa Pazi, iliyopo mtaa wa Mafia na Msimbazi, Kariakoo. Chanzo cha...
  10. JamiiForums Tanzania Tupo wana CCM huru tunaounga Katiba Mpya Movement, CHADEMA endeleeni kuchochea Moto

    CCM ina makundi ya wanachama wa aina kadhaa lakini, haya makundi ndio 'prominent'. CCM kindakindaki yaani hawa ni kama CCM lialia. Hawa wapo wengi kiasi na ni wazee wazee Kwa wingi wao. Hawana maslahi yoyote na chama, wengi wao wamepigika mno ki maisha. Hata hawajui kwa nini wanaipenda chama...
  11. JamiiForums Tanzania Basi la Kandahar (Karagwe-Moshi) laungua moto huko Karagwe

    Kuna taarifa kuwa basi la KANDAHAR toka Karagwe to Moshi limeungua huko Karagwe, Tunaendelea kufuatilia ili kuwaletea taarifa kamili, Ila tuwaombe wenye ndugu zao ambao wamesafiri leo kutokea Karagwe na bus la kampuni ya KANDAHARI mjaribu kuwatafuta kujua hali zao!
  12. B

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Mtoto ateketea kwa moto wakati wa operesheni ya Kiserikali

    Habari hii ni kutoka Kaliua, Tabora ambako wale jamaa wasiokuwa na chembe ya utu walikuwa wametia timu kwenda kufanya yao. Unachoma vipi nyumba ambayo wanaweza kuwemo ndani watoto wadogo, wazee au wasiojiweza? Piga picha kumwona mtoto wa miaka 4 yuko je. Eeh mola wetu umrehemu malaika wako...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mobius ni gari inayoundiwa Kenya, ni Moto

    Hii gari ya Kenya aki walahi ni beautiful sana. Mobius ni gari inayoundwa Kenya. #BuyKenyaBuildKenya #MadeInKenya Wengine kutoka Kusini waendelee tu kuunda gari linaloitwa nyumbu.
  14. JamiiForums Tanzania Mambo ambayo unapaswa umpe binti yako katika karne hii yakayomsaidia katika maisha

    SAFIRI SALAMA NA BINTI YAKO, USIMUACHE; HUKO MBELE HAKUFAI. Kwa Mkono wa Robert Heriel Andiko hili lamfaa mtu yeyote yule, hasa wazazi wenye watoto wakike. Bila shaka litakuwa msaada kwa sehemu kubwa ikiwa litazingatiwa. Nilipokuwa mwaka wa pili pale UDSM nikiwa naishi Sinza Kwaremi, nilipata...
  15. JamiiForums Tanzania Mizeituni Bar ya Manzese yateketea kwa moto

    Hivi ndivyo ilivyokuwa ambapo haijulikani chanzo cha mlipuko huo
  16. JamiiForums Tanzania Kituo cha redio kimeweka wimbo usio na staha, nimekasirika maana nilikuwa na mtoto wangu

    Haya ni mambo ya kipu..avu sana...😠, Tena nimekasirishwa sana na hii radio station iliopiga hii nyimbo nikiwa na binti yangu kwenye mkebe..☹️. Yaani hawa mbwa wamesababisha nime disconnect kabisa mziki kwenye gari yangu..😕 shenzi type kabisa...😡 Mtoto anapenda carrot, alivyo wa moto amenipiga short
  17. JamiiForums Tanzania Simu kupata moto

    Wadau ni nini kinasababisha simu kupata moto wakati umewasha data? Simu yangu ni Tecno Spak 4 huwa inapata sana moto nikiwasha tu data.
  18. JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz azidi kumpelekea Moto Burnaboy tuzo za BET

    Jua linazidi kuchomoza Kwa mtanzania Diamond Platnumz kwenye tuzo za BET dhidi ya nguli wa Mziki Burna Boy ... Akiwa under high criticism kuhusu support kwenye nchi yake mwenyewe nguli huyu wa Bongo fleva asiyejua kukata tamaa wala kupumzika ameendelea kupambana to the bitter end... Na sasa...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa tunaoona nje ya box, Ole Sabaya ni fagio la Wanaharakati uchwara mitandaoni na anguko la Mbowe

    Yaani hata darasani mwalimu hata ungefundishaji kuna wabafunzi vilaza ambao ukisema tisa wanasema sita yaani hawa huwa ni wanafunzi mbumbumbu wasiojielewa. Kuna kikundi kimeibuka kutunga uongo ambao ni vichaa tu wanaweza kuwaamini dhidi ya Sabaya. Yaani hawa watu wanashindwa kuelewa kabisa...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa usalama wa chombo chako cha moto fikiria Blackhorse Africa

    Blackhorse africa ni kampuni ya kisasa yenye uwezo wakukuondolea wasiwasi wa magri yako bajaji, pikipiki na trecta, kwa teknolojia ya kisasakabisa unaweza ukakiona chombo chako cha moto kupitia simu yako popote ulipo unaweza ukajua spidi yake, unaweza ukajua kipo wapi, kimesafiri umbali gani na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…