Kupitia kampeni hii, wateja wateweza kununua simu janja kwa mawakala waliodhinishwa na Samsung kupitia malipo nafuu ya mkopo ya kuanzia shilingi 1200 pekee kwa siku, wiki au mwezi kwa kipindi cha miezi 12.
Lengo kuu la kampeni ya ‘Samsung Kibingwa’ ni kuwawezesha Watanzania ambao wanatumia simu...
Unapotokea mjini kwenda Mbezi, ukiwa eneo la KIMARA STOP OVER, kuna kituo cha mafuta kinachoitwa RUPIA.
Wakati wa Serikali ya awamu ya 5 nyumba nyingi na vituo vingi vya mafuta vilibomolewa ili kupisha ujenzi wa barabara.
Mara tu Serikali ya awamu ya Sita ilipoingia tulishangaa kuona kituo kile...
Anonymous
Thread
hifadhi ya barabara
kituo
kituo cha mafuta
kituo cha mafuta hifadhi ya barabara
mafuta
morogoromorogoro road
ujenzi wa kituo cha mafuta
MHE. NORAH WAZIRI MZERU, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro Anauliza Swali Bunge kwa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia.
"Serikali imechukua hatua mbalimbali kuhakikisha Wanafunzi wasichana wanaokatiza masomo kwasababu ya kupata ujauzito wanarejea Shuleni. Hatua hizo ni pamoja na kutoa...
Mkuu wa police Tanzania,hawa askari wako wa kituo cha police Dumila,Morogoro weredi wa kazi umekuwa jiwe kwao.
Kwanza Dumila ni sehemu ambayo askari wake rushwa imetawala sana,dumila ni mji wenye wizi usio na mfano,bangi inavutwa hadharani tu. Achilia mbali matukio hayo,sehemu ya njia tatu...
PICHA: Mle mbuga ya mikumi, na kona za iyovi na maeneo mengi kipande hiki matobo barabarani ni mengi mno gari zinapasua matairi na malori plus mabus mengi yanachochora...Fanyeni mrekebishe hii kasoro kwa wakati.
Mikumi mjini kilimani
Morogoro region is the legend town soon to be called a city!
My memories tell me this...Morogoro used to be a city of all vibes ranging from variety of sports,sport persons and other entateirment figures and activities next to Dar City. Morogoro was an important industrial hub hosting many...
Habari walimu.Mimi ni mwalímu nipo elimu idara ya msingi halmashauri ya mji bàriadi -simiyu nahitaji mtu wa kubadilishana naye Mimi nije pwani , morogoro au dar.Namba za simu 0745388532
Wakuu hawa madada Poa sio Poa kabisa yaani Mimi mkulima wa ufuta ambaye almost miezi mitatu napambana na ufuta wanitapeli na kuniibia madada Poa wa morogoro wale washamba? Kweli simba ni simba hata akipakwa rangi ya pundamilia tu hapa juzi nilikuwa nawasifia madada Poa wa morogoro kumbe siku...
Safari ilianza Saa 12:01 na kufika Morogoro Saa 1:55
Hongera Rais Samia. Hongera Dr Mpango. RIP Shujaa Magufuli
========
Ilikuwa safari ya dakika 114 zenye bashasha, abiria zaidi ya 600 wakiwa kwenye mabehewa 14 ya treni ya umeme iliyoanza safari ya kwanza leo Juni 14, 2024 ikiongozwa na...
Wakuu, kuna kaproject naenda kufanya hivi karibuni huko Morogoro, nahitaji kujua ni maeneo gani yenye utulivu na usalama kwa mtu mwenye familia kuishi na yaliyo na maendeleo kwa maana ya makazi na miundombinu mizuri. Yasiwe mbali sana na mjini. Nipeni list wakuu.
Halafu mbona kama watu...
Habar wanajf
Napenda kufahamishwa mazingira ya hii kata ya dakawa morogoro kiutafutaji.
Napanga kuhamia hapo ila si mbaya nikapata machache km vile huduma za kijamii upatikanaji wake,
Binafsi nina bajaji guta ambalo ni nyenzo ya uchumi nikiwa huko.
Kwa mtu aleko dakawa au ana uzoefu si vibaya...
SERIKALI KUJENGA SHULE 56 ZA MICHEZO NCHI NZIMA, KILA MKOA KUPATA SHULE MBILI
Akijibu swali namba 559 la Mhe. Norah Waziri Mzeru, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro; Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amesema Serikali ina mpango wa kujenga Shule 56 za Michezo...
Kwanza picha linaanza Ile style yake ya mbuzi kagoma lahaula nusu nimwage ubongo wakuu nikajikuta nalia huku nauma meno wigi la nywele lake aisee huyu binti ni mnoma Sana aisee na kwenye kukatika Ndiyo babake aisee
Wakuu kiukweli pesa yoyote niliyopata kwwnye semina kiukweli nimemwagia yeye...
Asalaam Aleykum warahmatullahi wabarakatu.
Kwa heshima na Taadhima, nawaomba Baraza la malumaa pamoja na Mwenyekiti wao wauchunguze msikiti huu wa Kingo uliyopo Morogoro ambao hivi sasa upo kwenye ujenzi.Nawapongeza sana kwa hatua waliofikia.
Tatizo kubwa la msikiti huu pamoja na kuwa na imamu...
Peace,
Wakuu kwa hapo je Moro kuna maduka ya vifaa vya mazoezi nahitaji kumnunulia mtu vifaa basic kwa ajili ya home workout kama vile bench press, dambells na tredmil.
Mimi niko Mwanza maduka hapa ni mengi hata Dar pia maduka ni mengi sana changamoto kusafirisha vifaa vya mazoezi ni gharama...
Natumai wote mko sawa humu ndani.
Naombeni msaada mtu yeyote au mfanyabiashara yeyote aliyepo Dar anipe maelekezo vizuri kuhusu mchele.
1. Bei zipoje sasa mashineni
2. Je ni kweli muda si mrefu bei zitashuka na zikishuka huwa zinafikia bei gani
3. Usafiri mpka dar kwa kilo mia bei gani na...
Kuna taarifa nimezipata kutoka kwa mtu wangu wa karibu anadai Watu 11 wamefariki Dunia ndani ya Kiwanda cha Mtibwa Sugar kilichopo Morogoro kutokana na hitilafu za kiufundi.
Wenye taarifa kamili tujuzeni
==== ===
Watu 11 wakiwemo raia watatu wa kigeni wamefariki dunia na wawili wamejeruhiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.