morogoro

  1. B

    Naombeni msaada wa kuifahamu kikosa morogoro kiundani

    Nina kusudi la kuenda kilosa kutafuta maisha,naombeni msaada wa wapi pakuanzia. Kodi ya chumba ni bei ghani kule?? Watu wanaopatikana huko ni wanaroho nzuri au hawataki wageni?? Utafutaji wa kule ni wa aina gani'je biashara na kilimo zinalipa kwa huko?? Nina mpango wa kwenda kuishi mvumi kilosa...
  2. I

    The Chanzo: Kesi za Ubakaji na Ulawiti Zazidi Kuongezeka Tanzania. Mjini Magharibi, Morogoro, Arusha yaongoza orodha kwa kesi nyingi zilizoripotiwa

    Kwa mujibu wa Ripoti ya Takwimu za Uhalifu na Matukio ya Trafiki, kesi za ubakaji na ulawiti zimeendelea kuongezeka nchini Tanzania. Mwaka 2022, kulikuwa na matukio 6,827 yaliyoripotiwa ya ubakaji, lakini idadi hii iliongezeka hadi 8,691 mwaka 2023. Mjini Magharibi inatajwa kuwa na matukio...
  3. Endasak Masqaroda

    Ushauri wangu kwa LATRA, RPC na RTO Morogoro

    Habari wana bodi. Mimi ni mdau wa sekta ya usafirishaji na katika observations zangu nimegundua tatizo na nashauri watajwa hapo juu katika mkoa wa Morogoro kama ifuatavyo. Manispaa ya Morogoro iliamua kuhamishia mabus madogo yote yanayokwenda nje ya mji yawe yanaanza safari zake stand ya...
  4. James Hadley Chase

    Kwanini Magomeni Mwembe Chai inafanana na Morogoro?

    Magomeni, Mikumi, Kimamba, Rudewa na Kidodi. Ni miongoni mwa Kata zilizopo Wilayani Kilosa, mkoa wa Morogoro. Mji wa Turiani, Dakawa na Mziha, ni miongoni mwa Kata zilizopo Wilayani Mvomero, Mkoa wa Morogoro. Na Matombo (yaani matiti ya mwanamke), ni sehemu ya milima iliyopo Wailaya ya Gairo...
  5. Kadodo1

    Mikoa ya Morogoro, Dodoma, Singida, Manyara, Arusha, Kilimanjaro na Tanga: Zifuatazo ni hatua za kufuata katika kuboresha mita yako

    TAARIFA KWA WATEJA KANDA YA KATI NA KANDA YA KASIKAZINI MABORESHO YA MITA ZIMEBAKI SIKU Kwa Mikoa ya Morogoro, Dodoma, Singida, Manyara, Arusha, Kilimanjaro na Tanga Zifuatazo ni hatua za kufuata katika kuboresha mita yako HATUA YA KWANZA: Pindi unaponunua umeme kwa simu au wakala wa kuuza...
  6. donocean

    Karafuu (clove) kutoka morogoro.

    Kwa mahitaji ya karafuu kutoka morogoro tuwasiliane bei Tsh 22,000/= kwa kilo. Grade one isiyo na vumbi.
  7. Mohamed Said

    Morogoro Imempa Mtaa Salum Abdallah wa Cuban Marimba Cha Cha Band

    MTAA WA SALUM ABDALLAH WA CUBAN MARIMBA CHA CHA BAND Morogoro wamemuenzi mwanamuziki maarufu Salum Abdallah Yazidi kwa kumpa mtaa ambao yeye aliiishi katika uhai wake. Kumbukumbu yangu ya Salum Abdallah naivuta kuanzia mwaka wa 1957 niko Mtaa wa Kiungani na Sikukuu nyumbani kwa mama yangu...
  8. Kadodo1

    KAA TAYARI: Wateja wa LUKU wa Mikoa ya Morogoro, Dodoma, Singida, Manyara, Arusha, Kilimanjaro na Tanga. Kuna zoezi la Maboresho ya Mfumo

    KAA TAYARI: Ni zoezi la Maboresho ya Mfumo wa LUKU kwa wateja wa Mikoa ya Morogoro, Dodoma, Singida, Manyara, Arusha, Kilimanjaro na Tanga Sasa ni zamu yenu, tunawafikia hivi karibuni..! USIBAKI NYUMA Usiache kufuatilia Taarifa kwenye Mitandao ya kijami na vyombo vya habari kuhusu zoezi hili...
  9. M

    Mwenye sunstone, kama unajua location au mtu. Zinahitajika

    Mwenye sunstone na uko Dar es Salaam, Morogoro karibu tuzungumze Niko katika kutafuta ya mawe ya Sunstone. Ikiwa wewe ni mwenye kuchimba au unayo sunstone na unaishi Dar es Salaam au Morogoro, basi njoo tuzungumze. Offer hii ni ya muda , wahi tuzungumze.
  10. Stephano Mgendanyi

    Bilioni 4.14 Zakamilisha Mradi wa Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Morogoro

    BILIONI 4.14 ZAKAMILISHA MRADI WA UJENZI WA HOSPITALI YA WILAYA YA MOROGORO Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro ilipokea fedha jumla ya Shilingi Bilioni 4.14 (Tsh. 4,140,000,000) kutoka Serikali Kuu kwa ajili ya kutekeleza mradi wa Hospitali ya Wilaya katika Makao Makuu ya Halmashauri yaliyopo...
  11. Tuko

    Wananchi wafunga barabara Morogoro

    Wananchi wa Mayanga, kata ya Lubungo mpakani na kata ya Lukobe wamefunga barabara inayopita maeneo hayo leo tarehe 12 mwezi wa nane 2024 kuanzia saa mbili asubuhi. Hadi kufikia saa sita mchana hamna kiongozi aliyefika hali inayosababisha mkwamo wa vyombo mbalimbali vya usafiri.... Sababu ya...
  12. A

    KERO Viongozi wa Idara Morogoro hawajauelewa vizuri Mfumo wa PEPMIS, tunaumia sisi Watumishi wa chini

    Serikali ilinzisha Mfumo wa Public Employee Performance Management Information System – PEPMIS lengo likiwa ni kurahisisha utendaji kazi na kuweka uwazi kwa kuwa inajulikana wazi suala la Urasimu ndani ya Taasisi za Serikali zipo kwa kiwango cha juu. Kwa wenzangu ambao hawafahamu, Mfumo huu wa...
  13. Roving Journalist

    Waziri Aweso: Bilioni 195 kumaliza tatizo la maji Morogoro. MORUWASA Mkizingua tunazinguana

    Waziri Aweso aunguruma Morogoro Salam za Wizara ya Maji zikitolewa na Waziri wa Maji Jumaa Aweso kwa wananchi wa Manispaa ya Morogoro waliokusanyika katika uwanja wa Jamhuri katika Mkutano wa hadhara wa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan katika ziara inayoendelea mkoani Morogoro leo terehe 06...
  14. Ojuolegbha

    Rais Samia kufungua miradi mbalimbali ya maendeleo mkoani Morogoro

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kufungua miradi mbalimbali ya maendeleo mkoani Morogoro leo tarehe 5 Agosti, 2024.
  15. W

    Mwenye sunstone na uko Dar es Salaam, Morogoro karibu tuzungumze

    Niko katika kutafuta ya mawe ya Sunstone. Ikiwa wewe ni mwenye kuchimba au unayo sunstone na unaishi Dar es Salaam au Morogoro, basi njoo tuzungumze. Offer hii ni ya muda , wahi tuzungumze.
  16. Roving Journalist

    Serikali yatoa Sh Bilioni 55 kukarabati barabara zilizoathiriwa na mvua za El Nino Morogoro

    Rais Samia Suluhu Hassan ameeleza kuwa Serikali itahahakisha inasimamia Utekelezaji wa ujenzi wa miradi ya barabara na madaraja iliyopo katika Ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ya mwaka 2020-2025 pamoja na kurejesha miundombinu iliyoathiriwa na mvua za El nino. Rais Dkt. Samia ameeleza hayo...
  17. J

    PreGE2025 Rais Samia awaonya wanasiasa wanaoanzisha vijiji ndani ya hifadhi

    Rais Samia Suluhu Hassan ameonya Wanasiasa, hususani wabunge na Madiwani kuanzisha vijiji katika maeneo ya hifadhi pindi wanapoona chaguzi zinakaribia na hawakubaliki. Rais Samia amesema hayo leo Jumatatu Agosti 5, 2024 katika mkutano wa hadhara alipozungumza na wananchi wa Ifakara katika...
  18. Stephano Mgendanyi

    Lifahamu Daraja la Ruaha Mkuu - Morogoro

    LIFAHAMU DARAJA LA RUAHA MKUU - MOROGORO Muonekano wa Daraja la Ruaha Mkuu lenye urefu wa mita 133 katika barabara ya Mikumi- Kidatu - Ifakara sehemu ya Kidatu - Ifakara kilometa 66.9 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami Mkoani Morogoro. Daraja hilo limejengwa na Mkandarasi Reynolds...
  19. Kamanda Asiyechoka

    Aibu kubwa: Mkuu wa nchi yupo Morogoro yenye shida ya maji kila kona. Lakini hajatamka neno moja juu ya mradi wa Kidunda

    Hii ni dhahiri kuwa hayupo serious na maisha ya wananchi. Zaidi ya kampeni za chinichini alizoanza kwa kulaghai wananchi ili wajazane kila anapopita. Mradi wa Kidunda una umuhimu sana kutatua shida za maji kwa mkoa wa Morogoro. Nilitegemea kiongozi makini aombe msamaha kwa kutotekeleza mradi...
  20. M

    PreGE2025 Rais Samia anasepa na kijiji kwa Kijiji Morogoro

    Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ameendelea na ziara yake ya kikazi mkoani Morogoro. Ziara hii ni muendelezo wa ziara zake za kutembelea mikoa mbalimbali ya Tanzania kwa ajili ya kuzindua miradi ya kimkakati, kuhamasisha maendeleo na kitatua kero za wananchi. Wakati Rais akifanya ziara...
Back
Top Bottom