Moja Kwa moja kwenye Mada bila kuchoshana Wala kupotezeana muda, in short Manispaa ya Morogoro mnatuibia Kwa nguvu abiria tunaotumia stand kuu ya mabasi Msamvu.
Kitengo Cha ukusanyaji Ushuru stand ya mabasi Msamvu mnatumia mabavu kulazimisha Kila abiria anaetoka NDANI ya stand Ambae kwenye...
Hali ikoje huko uliko?
Hapa Moro limepita tetemeko la ardhi na dakika kadhaa kabla yake wamesikika kuku, mbwa wakitoa milio iliyoashiria kuwepo kitu kisicho cha kawaida.
NECTA na Morogoro Sec ni mtandao wa wezi kwa watahiniwa binafsi. Kujisajili kidato 4 kwa Sh. 160,000 ni kubwa.
Nani anapanga kikomo cha kulipia kwenye vituo vya kufanyia mitihani watahiniwa binafsi?.
Nimefika shule ya sekondari Morogoro kumsajili kijana wangu afanyie mtihani wake wa kuhitimu...
VIWANJA, VIWANJA.
viwanja vinne vikubwa vinavyouzwa katika eneo la Turiani, Morogoro vyote vipo block b karibu na barabara kubwa,Viwanja hivi vina ukubwa wa square meter 1150, 1270, 1149, na 2478, vyote vina hati . Viwanja vimezungukwa na huduma muhimu kama maji, hospitali, na umeme.
Viwanja...
JESHI la Polisi mkoani Morogoro limesema kuna ongezeko la vitendo vya ubakaji na ulawiti vinavyohusisha wanafunzi wenye umri chini ya miaka 18 wanaotendana ukatili huo wanapokuwa shuleni.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Alex Mkama alibainisha hayo mjini hapo wakati alipochangia mada...
Miaka ya nyuma kidogo kulikuwa na mwamba mmoja mbabe sana pale Morogoro akiitwa Hamisi Kambaya. Yule jamaa Bwana alikuwa ana kawaida ya kumtania demu wake kwamba siku akimzingua atajinyonga.
Sasa siku hiyo walikuwa pale uwanja wa golf Morogoro jamaa akamtania tena demu wake leo najinyonga...
Morogoro kwasasa si mkoa salama, vitendo vya uporaji kwa kutumia bodaboda vimeongezeka, vikundi vya uhalifu vinasumbua sana katika baadhi ya mitaa na kufanya raia waishi kwa hofu.
Cha ajabu jeshi la polisi limeweka jitihada kubwa kupambana na bajaji, yaani ikifika saa 1 jioni, polisi wenye...
Sasa naomba kuanzia Kesho tarehe 6 Machi, 2024 na kuendelea tuwe tunahesabu Alama ( Points ) ambazo tutakuwa tunazipata katika Uwanja HATARI KWETU wa CCM Jamhuri Mkoani Morogoro ambako kwa UPUMBAVU WETU ndiyo tumeuchagua rasmi kuwa Uwanja wetu wa Nyumbani kwa Mechi zote za Ligi Kuu ya NBC...
Inasikitisha sana kuwa na Askari wanaolipwa mishahara, wamenunuliwa vitendeakazi, wamepewa magari mazuri na serikali lakini wapowapo tu hawafanyi kazi yao. Kuna matukio mawili yanafanana ambayo kikosi hicho kimeshindwa kabisa kuyatendea haki.
Mwaka 2022 katika eneo la Kihonda VETA mwanafunzi...
Sasa yapata miaka mitatu tangu tuaminishwe kuwa treni ya mwendo kasi toka Dar mpaka Morogoro ingeanza huduma yake lakini mpaka sasa hakuna kinachoendelea. Ninaomba majibu kutoka kwa Mtendaji Mkuu wa TRC. Atoke waziwazi kupitia luninga kuelezea umma ili tufahamu tatizo liko wapi.
Ningependa kuanza biasahra ya kuuza zao la mchele.
Source ambayo nimependa kuanzia ni Morogoro.
Ningependa kuoata ABCs za wapi pa kuanzia kutoja kwa wale wazoefu.
Natanguliza shukrani!
Kuna jamaa yangu anataka kuniuzia kiwanja kingulwira Morogoro, Kwa wenyeji wa kule vipi pakoje?
Hali ya hewa, huduma za jamii, biashara/kilimo
Naomba muongozo
🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰
🏆 ASFC
⚽️ Young Africans SC🆚Polisi TZ
📆 20.02.2024
🏟 Azam Complex
🕖 1:00 Usiku
Kikosi kinachoanza dhidi ya Polisi Tanzania
Mpira umeanza
Dakika ya 13
Goaaaaaaaal Guedeeeee
Dakika 45+1
Chuma cha piliii Farid Mussa⚽️🙌🏼
Dakika ya 45 niongeza 2
Gwedeeee goli la tatu dakika ya 46...
MBUNGE NORAH MZERU AKABIDHI MASHUKA YALIYOTOKA KWA RAIS SAMIA HOSPITALI YA GAIRO NA MAFIGA MKOANI MOROGORO
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Mhe. Norah Waziri Mzeru tarehe 17 Februari, 2024 baada ya Bunge kuhitimishwa amefika Hospitali ya Wilaya ya Gairo na Mafiga zilizopo Mkoa wa...
Kuna foleni kubwa sana, magari hayaendi haijulikani ni ajali naona wanajeshi wamekuja kuingilia kati kuongoza magari
Kuna muhimu sana kwa Serekali kupanua sasa hii Barabara
NBCPremierLeague
️ KMC SC Vs Yanga SC
17.02.2024
Jamhuri Morogoro
10:00 jioni
Kikosi kinachoanza dhidi ya KMC FC
Mpira umeanza
dakika ya 1
Mudathir anaipatia Yanga SC goli la kwanza
Goli la mapema zaidi, limefungwa na Mudathir Yahya akiitanguliza Yanga
KMC 0-1 Yanga
Dakika ya 10...
MBUNGE NORAH MZERU ATAKA KUJUA HATMA YA ZAHANATI YA KATA YA MAFISA MKOANI MOROGORO
"Je, lini Serikali itamalizia ujenzi wa Zahanati ya Uwanja wa Ndege katika Kata ya Mafisa Mkoani Morogoro?" - Mhe. Norah Waziri Mzeru, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro
"Katika kusogeza huduma za afya kwa...
Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile amefanya ziara kutembelea reli ya kati kujionea hali ya uharibifu uliojitokea baada mvua kunyesha kuanzia January 25 mwaka huu.
Mhe. Naibu Waziri akiwa kwenye Kiberenge ameanzia ziara katika eneo la Lukobe Manispaa ya Morogoro, Munisagara na Mzangaza...
Niliwahi kusoma kwenye gazeti la RAI kuwa tuliagiza udongo toka Misri kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya Morogoro enzi za Serikali ya mzee Mwinyi.
Inadaiwa ni kipande cha kutoka Fire kwenda Kimara.
Kuna ukweli kwenye hili?
Mvua zinazoendelea kunyesha nchini zimezidi kuleta athari kubwa kwa wananchi, uchumi na miundombinu. Mamlaka ya hali ya hewa imetangaza uwepo wa mvua mikoa ya Morogoro Iringa, Ruvuma, Songwe, Mbeya na Njombe nk, hivyo kama raia wema ni vyema kupeana taarifa barabara korofi ambazo zimekumbwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.