morogoro

  1. Roving Journalist

    LGE2024 Morogoro: Msimamizi wa Uchaguzi Kilosa amjibu Joseph Haule (Prof. Jay) kuhusu Wagombea wa CHADEMA kuenguliwa

    Michael John Gwimile, Mkurugenzi na Msimamizi wa Uchaguzi Halmashauri ya Kilosa. Soma Pia: Prof. Jay: Wagombea wetu wote Wilaya ya Kilosa wameenguliwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
  2. Munari

    Kiwanja SQM²600 (20*30) chauzwa 2.3.M Morogoro municipal

    Mwenye hela ya chap njoo uwekeze Kinapitika barabara > Details zingine njoo tuzungumze Pm
  3. N

    House4Rent Chumba cha kupanga Morogoro Mjini

    Salaam wadau....Natafuta chumba cha kupanga morogoro mjini. Kiwe self, itapendeza nikipata maeneo ya karibu na hospital ya mkoa. Mwenye connection tuwasiliane tafadhali.
  4. Meneja Wa Makampuni

    Bei za nauli za treni za kwenda Morogoro na Dodoma zinatakiwa ziwe juu zaidi ili kuweka uwiano wa biashara kati ya mabasi na treni

    Katika kuhakikisha kwamba sekta ya usafirishaji wa abiria nchini inakuwa na uwiano mzuri wa kibiashara kati ya mabasi na treni, kuna haja ya kuangalia upya bei za nauli za treni kwa safari za kwenda Morogoro na Dodoma. Ili kuboresha uwiano wa biashara na kutoa nafasi kwa mabasi kuendelea...
  5. T

    Oparesheni agua leseni inayoendelea Manispaa ya Morogoro. Faini Sh 100,000 kwa wasio na leseni inaingia mifukoni mwa maafisa mapato. Uhakika huu hapa.

    Kutokuwepo uelewa wa namna ya kufungua akaunti ya kufanya malipo mbalimbali ya Halmashauri nchini wa Tausi Portal ni chanzo cha maafisa mapato kujinufaisha. Huenda wizi huu unafanyika katika Halmashauri zote nchini. Katika oparesheni inayoendelea ya kukusanya madeni inayoendelea kwa...
  6. T

    Hivi, kati ya Katavi na Morogoro, ni sehemu gani nzuri ya kuishi na kutoboa maisha?

    Kama mada tajwa hapo juu wakuu hivi ni mkoa gani rahisi kutoboa Kati ya katavi na morogoro hasa hasa kwa watumishi wa umma maana kuna mikoa mingine kutoboa ni kipengele kiukweli maana hali ya maisha ipo juu sana kwahiyo kati yq katavi na morogoro ni mkoa upi rahisi kutoboa?
  7. Abdul Said Naumanga

    TBT: Ajali ya moto Morogoro (2019), ni lipi la kujifunza?

    Kwenye tarehe 10 Agosti 2019, Tanzania ilikumbwa na tukio la kusikitisha na kutisha ambalo limebaki kuwa kumbukumbu mbaya kwa wengi. Ajali ya moto iliyotokea mjini Morogoro, karibu na eneo la Msamvu, ilihusisha lori la mafuta lililopinduka na kulipuka, na kupelekea vifo vya watu zaidi ya 100...
  8. Songambele

    Wazee wa Vizuizi wameyatimba Madambwe yameondolewa Kibaha - Mlandizi.

    Wazee wa vizuizi wameyatimba, Morogoro Road shwari Madambwe ya Rushwa na kubambikia Madereva vyeti yameondolewa. Tumeshaandika thread nyingi humu kulalamika kuhusu Jeshi letu kuongeza barriers hatarishi humu na kukusanya 2,000 kwa madereva, jana tumeona shwari mpaka mlandizi hakuna hata kimoja...
  9. M

    Morogoro: Mwanaume wa miaka 46 ajinyonga kwa kutumia chandarua, alikuwa na changamoto afya ya akili

    Mwanaume mmoja aliyefahamika kwa jina la Emilian Makalla (46) Mkazi wa Bigwa Barabarani wilaya ya Bigwa Mkoani Morogoro amejinyonga kwa kutumia chandarua na kufariki dunia nyumbai kwake huku chanzo kikiwa hakijafahamika. Kwa mujibu wa ndugu wa marehemu wameeleza kwamba Emillian alikuwa...
  10. S

    KERO Morogoro: Wananchi wa Mindu hawana Huduma ya Maji, wanatumia ya kwenye makorongo

    Mimi Mkazi wa Mindu, Manispaa ya Morogoro jamani huku kwetu kuna kero ya maji mno licha ya kuwepo kwa bwawa lakini sisi hatuna huduma ya maji mpaka imekuwa kero inatulazimu kutumia maji ya kwenye Visima na Makorongo hali ambayo ni hatari kwa Afya zetu na ni hatari kupata magojwa ya milipuko...
  11. M

    Mnada wa mifugo Morogoro upo wapi Jumatano au Alhamisi?

    Wadau naomba msaada titanium anayefahamu mnada wa mifugo morogoro kesho Jumatano, Alhamisi na Ijumaa unakuwa wapi?
  12. mdukuzi

    Wakoloni walitaka jiji la Dar es Salaam lijengeke kuelekea Pugu,ghafla likaelekea Bagamoyo na Morogoro

    Master plan ya wakoloni ilitaka mji au jiji la Dar es Salaam lijengeke kuelekea Pugu.majengo yaliyopo mtaa wa Nkrumah ,viwanda Pugu Road,na uwekezaji mwingine kwa njia hiyo ni ushahidi tosha. Baada ya Uhuru mji ukaelekea Bagamoyo Road na Morogoro Road. Kumbuka Pugu Road ina uwezo wa kufika...
  13. Stephano Mgendanyi

    LGE2024 Zangina, Katibu Uenezi CCM Mkoa wa Morogoro Alipokuwa Ifakara Kuhamasisha Wananchi Kujiandikisha

    ZANGINA S. ZANGINA, KATIBU UENEZI CCM MKOA WA MOROGORO ALIPOKUWA IFAKARA AKIHAMASISHA WANANCHI KUJIANDIKISHA Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Morogoro, Ndugu Zangina S. Zangina alipokuwa akitimiza majukumu yake ya kuhamasisha wananchi wa Ifakara na...
  14. Roving Journalist

    PreGE2025 Morogoro: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Mada hii itakuwa na 'Updates' mbalimbali za Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Morogoro. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kushiriki na wengine. Ramani ya Mkoa wa Morogoro HISTORIA YA MKOA WA MOROGORO Mkoa wa...
  15. Mindyou

    LGE2024 Morogoro: CHADEMA wafichua uwepo wa vituo vya kuandikisha wapiga kura kwenye kambi ya Jeshi ya JKT

    Wakuu, Baada ya videos kusambaa mtandaoni kwamba kumekuwa na uandikishwaji mkubwa wa wanafunzi underage kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, sasa hivi kumeibuka shutma mpya dhidi ya zoezi hilo. Akiongea leo asubuhi, kada huyu wa CHADEMA amefichua kuwa kuna baadhi ya vituo vya kujiandikisha...
  16. R

    Maeneo gani Morogoro hayana vumbi kali

    Unakuta nyumba nzuri ila vumbi la mazingira linaingia Hadi ndani ni tabu tupu. Wapi kwenye unafuu? #Morogoro manicipal
  17. Zee la madawa

    Morogoro, Mpanda na Mwanza ni sehemu poa sana na mna nafasi yenu peponi

    Kataa au ukubali sehemu tajwa hapo juu kusema ukweli ni poa sana kuishi na kufanya makazi na watu wake wala hawana shida na wageni kabisa yaani ukiishi kwenye hiyo mikoa unapata ladha ya furaha ya maisha sio kama wale wa kanda ya kaskazini wamejaa ubinafsi na majungu tu na wivu kwa wageni...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    Siku ya kwanza napanda lori nilikuwa natoka Mwanjelwa Mbeya naelekea Dar es Salaam. Niliomba njia nzima, nikashuka Morogoro, chakufia nini?

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Dadeki! Haya Maisha bhana kûna mambo ukiyakumbuka unabaki kucheka tuu. Bhana! Bhana! Kûna Dili nilikuwa nafukuzia Mbeya. Sasa Dili lenyewe likabuma, Pesa ya Guest Ikawa imeisha, Pesa ya nauli haitoshi kwani nilikuwa nimebakiwa na elfu ishirini na Saba na nauli...
  19. sinza pazuri

    Wakati Diamond Platnumz akitoka kwenye international shows ulaya na Africa.. Ali Kiba anaenda kufanya show ya kuzindua duka mkoani Morogoro

    Wakuu nna habari ya kuwajuza kuhusu industry yetu ya burudani. Ali Kiba wiki hii mwishoni ataenda kufanya show ya kuzindua duka la mavazi. Hongera sana Kiba kwa kuaminika na muuza duka na kukupa nafasi ya kupafomu mbele ya wateja wake. Diamond ndani ya wiki hizi mbili amekuwa busy na show za...
  20. Hismastersvoice

    DOKEZO Halmashauri ya manispaa ya Morogoro wekeni lami barabara ya zamani ya Iringa kuanzia SUA, Magadu mpaka Mzumbe

    Natoa pendekezo kwa halmashauri ya manispaa ya Morogoro iweke lami kwenye barabara hii muhimu, miaka ya zamani old Iringa Road ilikuwa na lami ambayo baadae iliondolewa kutokana na uchakavu badala ya kutengenezwa! Barabara hii kuanzia njiapanda ya SUA kuelekea Magadu hospitali ya jeshi mpaka...
Back
Top Bottom