morogoro

  1. Roving Journalist

    Morogoro: RC Malima awasisitiza Wananchi kutunza miundombinu baada ya REA kuanza kusambaza umeme katika Vitongoji 166

    Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imeanza kusambaza Umeme kwenye Vitongoji 166 vilivyopo Mkoa wa Morogoro baada ya kukamilisha nishati hiyo kwenye Vijiji 652 kati ya 669 sawa na Asilimia 97.5. Mradi huo wenye gharama ya shilingi bilioni 17.9 unatarajiwa kutekelezwa katika...
  2. Waufukweni

    KERO Dampo lililopo Kilimahewa hapa Morogoro linatutesa Wananchi

    Mimi ni mkazi wa Mtaa wa Kilimahewa, Kata ya Mafisa Manispaaa ya Morogoro huku kwetu kuna Dampo ambalo halitunzwi vizuri na uchafu wake umekuwa ukisambaa maeneo tofauti hali ambayo inaweza kusababisha kutokea kwa magojwa ya Mlipuko. Hili Dampo limekuwa ni kero sana, taka zinazagaa barabarani na...
  3. Waufukweni

    Dampo lililopo Kilimahewa hapa Morogoro linatutesa Wananchi

    Mimi ni mkazi wa Mtaa wa Kilimahewa, Kata ya Mafisa Manispaaa ya Morogoro huku kwetu kuna Dampo ambalo halitunzwi vizuri na uchafu wake umekuwa ukisambaa maeneo tofauti hali ambayo inaweza kusababisha kutokea kwa magojwa ya Mlipuko. Hili Dampo limekuwa ni kero sana, taka zinazagaa barabarani na...
  4. TheForgotten Genious

    Wazawa Wengi wa Morogoro hawajui kusoma na kuandika vizuri

    Nimekutana na wazawa wa Morogoro kutoka sehemu tofauti tofauti, wanaume kwa wanawake. Watu hawa ni kawaida kukuta mume na mke hawajui kusoma na kuandika vizuri na wengine ni ukoo mzima, wanatatizo gani hawa. Ndugu zetu?
  5. Zee la madawa

    Natafuta mwanamke wa kuoa aliyekuwepo morogoro au mpanda ili niweze kuhama

    Wakuu kama kuna mwanamke hapa mwajiriwa aliyepo morogoro au mpanda nifunge nae ndoa ili niweze kuhama huku niliko wilaya ya pangani mkoa wa Tanga mimi ni muajiriwa sekta ya Afya maana huku niliko nahisi nitakufa masikini kwa kujitakia!Tafadhalini ajitokeze PM iko wazi......
  6. Roving Journalist

    LGE2024 Morogoro: Matukio yaliyojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024

    Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Morogoro. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kushiriki na wengine. Ramani ya Mkoa wa Morogoro HISTORIA YA MKOA WA MOROGORO Morogoro ni mji uliopo...
  7. Mzee Rufiji

    Mwili wa mtoto uliokutwa kwenye mashamba ya miwa Kilombero wazikwa

    4:18 PM Mwili wa mtoto Rashmi Abdalah (5) ukiondolewa kwenye mashamba ya miwa wilayani Kilombero. Picha Happiness Mremi Kilombero. Mwili wa mtoto Rashmi Abdallah (5), mkazi wa Kijiji cha Katurukila, wilaya ya Kilombero, mkoani Morogoro, uliokutwa kwenye mashamba ya miwa wilayani humo, umezikwa...
  8. Mkalukungone Mwamba

    Morogoro: Mtendaji wa Kijiji akiwasha, ataka kuzuia mkutano wa ACT Wazalendo kwa madai hakuwa na barua kutoka OCD

    Tukio hili limetokea wakati Mtendaji wa Kijiji cha Tuninguo, kata ya Mvuha, alipozuia Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Bara, Isihaka Mchinjita, asiwakaribishe wananchi katika ziara yake. Mtendaji alijitetea kwa kusema kwamba hakuwa na barua kutoka kwa Mkuu wa Polisi Wilaya (OCD), akizuia pia...
  9. Hismastersvoice

    Nilikamatwa Morogoro stesheni ya SGR nikituhumiwa kusafirisha chupa ya mil.500 ya maji ya kunywa!

    Ijumaa tarehe 20 saa 1:15 asubuhi haikuwa siku njema kwangu, nilifika stesheni ya SGR nikiwa na furaha ya kuanza safari ya kuelekea Dar es Salaam, baada ya kukaguliwa tikiti yangu nikaambiwa niweke begi kwenye mtambo wa ukaguzi kisha nikaenda upande wa pili wa mtambo kulipokea begi. Nilipofika...
  10. Vichekesho

    DOKEZO UTAPELI: Afisa Elimu mkoa wa Morogoro anatapeli fedha kwenye shule zilizopo chini yake

    Yeye kwa kushirikiana na wahalifu wengine ofisini kwake, wametengeneza mfumo bila kuishirikisha taasisi ya serikali inayotengeneza websites na mifumo yote ya serikali yaani eGA. Mfumo huo ambao hautumii kikoa (domain) ya serikali ya Tanzania yaani .go.tz, unatumia domain ya .us ambayo si...
  11. GENTAMYCINE

    Morogoro is my Third Home hivyo naomba kujua kuna nini Kinaendelea huko hadi hii hali imetokea?

    MOROGORO - Moto mkubwa unavyoteketeza safu ya milima ya Uluguru kwa zaidi ya wiki moja sasa , milima hiyo ina umuhimu wa kipekee kwa kuwa ni vyanzo upatikanaji wa maji yanayotegemewa na wananchi wa Manispaa ya Morogoro na mikoa jirani. Chanzo: habarileo_tz Mdogo wangu wa damu kabisa steveachi...
  12. ukwaju_wa_ kitambo

    Mji kasoro bahari Morogoro

    MOROGORO IMEKOSA NINI? Swali la dhati kabisa kujiuliza? Magwiji wengi kwenye fani za siasa,michezo na muziki MORO JAZZ BAND MBARAKA MWISHEHE aliiweka kwenye ramani Morogoro Achana na BIFU la AFANDE SELE na PHILIP NYANDINDI A.K.A OTEN bifu la kugombea Ukubwa au ujogoo wa mji wa MJI KASORO...
  13. Roving Journalist

    Kamishina Aretas Lyimo: Wananchi wa Mkoa wa Morogoro na mikoa mingine, shirikiana na Mamlaka kupiga vita kilimo cha bangi

    MAMLAKA ya kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya kwa kushirikiana na wananchi na vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama imefanya operesheni maalum mkoani Morogoro kwa muda wa siku tisa katika vijiji vya Nyarutanga, Lujenge na Mafumbo vilivyopo wilaya za Morogoro vijijini na Kilosa. Katika...
  14. Tanki

    Hebu tuambiane ratiba za Minada au Magulio kwenye mikoa ya Dar es salaam, Morogoro, Tanga, Dodoma n.k

    Habari wakuu, naamini hii itasaidia Kwa wafanyabiashara na wanunuzi. Hebu Leo tuambiane siku ambazo magulio / minada / hufanyika. Naomba nianze na Dar es salaam nilipo. Kivule Sokoni = Kila Jumanne Kitunda = Kila Ijumaa TABATA Kinyerezi (Mahakamani jirani na Kinyerezi park ) = Kila Jumatatu...
  15. Kyambamasimbi

    DOKEZO TANROAD Morogoro, Zebra ya Msamvu imefutika madereva wanatumia uzoefu kusimama Ili watu wavuke na mamlaka zimekaa kimya mpaka watu wagongwe?

    Ni mwaka sasa tangu kivuko Cha waenda kwa mguu kifutike eneo na msamvu stand ya Dodoma, madereva wa barabara kubwa kama hii wanatumia uzoefu kusimama kuwa hapa Kuna kivuko. Mamlaka zipo na zimekaa kimya au mpaka watu wagongwe? Tusiishi kwa matukio tubadilike.
  16. Cleverman324

    Mkoa gani nje ya Dar naweza kufanya kilimo cha mboga na matunda?

    Wasalam wadau, Naomba mawazo yenu. Binafsi nimekuwa mid town hunter kitambo Sina ujanja wa kutosha kuhusu haso za nje ya Dar, sasa naomba ushauri wenu kuhusu location nzuri ya haso za uhakika nje ya jiji la Dar kwa mtaji wa mil 7+ Natamani nijue eneo nitakapoweza kufuga na kufanya kilimo cha...
  17. Fazzah5x

    Naweza pata gari za kwenda Morogoro usiku huu kutokea hapa Dar?

    Habari hivi naweza pata usafiri huo kwa usikuu huu? Na shida kidogo kwenda Morogoro
  18. Mr George Francis

    Nakupenda sana kijijini kwetu Tangeni, Mzumbe - Morogoro

    NAKUPENDA SANA KIJIJINI KWETU Tulio wengi Tumetokea kijijini kama sio sisi basi wazazi wetu na kama sio wazazi wetu basi hata babu na bibi zetu. Sisi ni wale watoto wa tabaka la walio wengi. Yaani tabaka la watu masikini. Leo tupo mjini tunapambana. Maisha yetu bado sio mazuri na hatujafikia...
  19. TAWA

    KERO Watoza ushuru wa maegesho ya magari Manispaa ya Morogoro wanatoza ushuru kinyume na utaratibu

    Naripoti kutoka Morogoro manispaa: Kumekuwa na changamoto kwa wakazi wa manispaa ya Morogoro kutozwa ushuru wa maegesho ya magari na watu wa halmashauri ya Manispaa ya Morogoro kinyume na utaratibu. Ukiegesha gari bila kujali katika maegesho rasmi ya Manispaa au popote pale anakuja mtu wa...
  20. DodomaTZ

    Mwimbaji Qaswida aandaa tamasha Morogoro kusaidia Yatima

    Mwimbaji Qaswida maarufu hapa nchini, Abdulhamid Fannan ameandaa tamasha la kusaidia Yatima na wengine wenye uhitaji litakalofanyika Oktoba 5 mkoani Morogoro. Akizungumza na mwandishi wa habari hizi, Fannan alisema katika tamasha hilo atawashirikisha waimbaji mashuhuri kutoka nje ya Tanzania...
Back
Top Bottom